Mkoa mpya una manufaa gani kwa Wananchi?

Ikimba

JF-Expert Member
Mar 29, 2019
346
387
Tulivyo ambiwa nikwamba sasa hv mapato ya serikali yapo chini kiasi kwamba haiwezi kuongeza mishahala ya watumishi.

Sasa najiuliza haya mapendekezo ya mkoa mpya hela zinatoka wapi? Ukiuliza neno lao kuu wanakwambia nikusogeza huduma za wananchi krb!

Hii danganya Toto fanya mkoa wa Dsm mwananchi ambaye yupo mbali na makao makuu ya mkoa KLM 60, sasa je Dsm kuna huduma za kutosha? Nenda hospital na mtoto chini ya miaka 5 atapimwa alafu utaambia dawa hakuna kanunue nje,shule za msingi kaangalie watoto wanavyo rundikana secondary vivo hivyo,umeme,maji na barabara vyote nishida.

Kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera (Bukoba) ni hujuma kwa wana Kagera hakuna lingine, nionavyo mimi.
 
Tulivyo ambiwa nikwamba sasa hv mapato ya serikali yapo chini kiasi kwamba haiwezi kuongeza mishahala ya watumishi.Sasa najiuliza haya mapendekezo ya mkoa mpya hela zinatoka wapi? Ukiuliza neno lao kuu wanakwambia nikusogeza huduma za wananchi krb! Hii danganya Toto fanya mkoa wa Dsm mwananchi ambaye yupo mbali na makao makuu ya mkoa KLM 60, sasa je Dsm kuna huduma za kutosha? Nenda hospital na mtoto chini ya miaka 5 atapimwa alafu utaambia dawa hakuna kanunue nje,shule za msingi kaangalie watoto wanavyo rundikana secondary vivo hivyo,umeme,maji na barabara vyote nishida.Kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera (Bukoba) ni hujuma kwa wana Kagera hakuna lingine,nionavyo mimi.
Kwa Msomi kuuliza Swali kama hili kidogo inanipa Mashaka kama Vyuo Vikuu vya sasa nchini Tanzania vinatoa Brainiacs na Academicians hasa wa kuweza kuja Kuikomboa nchi Kiuchumi na hata Kijamii pia.
 
Back
Top Bottom