Wakuu,
Duniani kuna watu na viatu, Bananga aamua kuwa mtu.
=====
Nadeclare interest
Mimi ni mshabiki wa diamondplatnumz
Nitapiga kura
Nitaomba kura kwa ajili yake
Kwangu mm michezo, muziki na...
Ukitaka kujua hapa Tanzania kubambikia watu kesi ni tatizo kubwa basi hudhuria mahakamani mara kwa mara.
Unaweza kusikia mtuhumiwa wa miaka 40 hati yake ya mashitaka ikitaja kuwa ana miaka 21...
Tanzania -Kenya relations will remains uneasy forever, please markmy words, na ndiyo hali halisi ilivyo na historia duniani ilivyo kwa dunia nzima kwa mataifa yanayshindana.
Nenda America ya...
WATU TUKISEMA ACHA KAZI IENDELEE TUNAMAANISHA, OK RAIS #SAMIA ATOA MILIONI 500 KWA KILA JIMBO.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameidhinisha kuingizwa kwa Milioni...
YALIYOJIRI LEO JUNI 5, 2021 DODOMA, WAKATI MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YA SERIKALI.
Namshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Habari wakuu na wanajamvi,
Kuna tetesi zinasambaa mitandaoni toka chini ya kapeti zinazodai ya kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Paul Makonda yupo mikononi mwa vyombo vya dola...
Taasisi hizi zikiwemo Polisi, na Usalama wa Taifa zimekuwa hazifanyi kazi zao kukidhi mahitaji ya KATIBA ya Nchi wala matakwa ya Uanzishwaji wa vyombo hivi bali kufuata utashi wa Raisi aliye...
Baadhi ya watu wanaoishi Kilimanjaro na Arusha wanaodai kufanyiwa vitendo vya ukatili na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya wamesimulia magumu waliyopitia kwa kiongozi huyo...
Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu ametaka wanyama watungiwe sheria ili wasiingie kwa wananchi, kwa kuwa wananchi pia wamezuiwa kuingia hifadhini
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson alimrekebisha kwa...
Wadau wa JF
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Mjaliwa amesema Serikali ipo mbioni kutekeleza...
Kaandika hivi kupitia twitter:
Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao...
Ninakumbuka kuwa huwa kuna Taasisi zinapima furaha ya wananchi kwa kila nchi. Kuna wakati yule Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar-es-Salaam aliyepita Prof. Mukandara aliwahi kuongea kwenye Kongamano la...
Habari za muda huu usomapo uzi huu!
Uko msemo wa kiafrika (Africa ya kati) kuwa "katika janga kuna Kuna mwokozi" na katika ubaya kuna mpambanaji.
CP Hamduni usibadilike. Linda nafsi yako...
Nimekutana na mjadala kwa muuza Tangawizi mitaa ya Saigoni pale migomigo kama kawaida wanajadili kuhusu kinachomkuta Ole Sabaya lengai.
Januari 2001 katika viunga vya pemba na unguja inasemekana...
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amewasikisha maombi matatu serikalini alipokuwa akichangia bajeti ya wizara ya mali asili na utalii bungeni ambazo ni:
1. Ameomba serikali...
Peter Msigwa ulisimamia haki, Hukuogopa vikao vya familia na undugu wako na Hayati Rais Magufuli.
Moja kati ya watu ambao wangeamua kuwa na kiburi basi ni Peter Msigwa angeweza fanya kiburi. Na...
Mengi sana yanasemwa kuhusu mafanikio ya Mwendazake kama vile watangulizi wake hawakufanya lolote. Kimsingi JK amefanya kazi kubwa sana. Kimsingi amefanya hata kazi za awali kwa yale...
Kwa ufupi napenda kutoa tips ya jinsi Tanzania katika hali ya umasikini wake kifedha ilivyoweza kujiandaa na Janga hili la COVID 19.
Hapa natumia uzoefu wangu wa kusaka taarifa mbalimbali na...
Zawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela.
Kwa niaba yangu na...
Tanzania ina viumbe wa ajabu!! ,watu wanaotazama leo yao tu na kesho haiwahusu kabisa.
Ninamshangaa sana watu wanaokataa katiba mpya na kudai hii ya zamani inatosha au eti Rais Samia anatosha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.