Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo
Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti
-CHADEMA ni vigeugeu...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda amesema kufikia mwaka 2025/26 Makao Makuu ya Wilaya zote yatakuwa na Mahakama za Kisasa ili kutoa huduma kwa wananchi.
Amesema hayo baada ya mbunge...
Nimemsikia Mbunge wa jimbo la Sengerema Tabasam Hamis Mwagao, akilia Kwa nini kampuni ya Global Fluids International (GFI) inayohusika na vinasaba vya mafuta imekuwa ikilipwa mabilioni ya pesa kwa...
Nipo kibaruani mchana wa leo (nimerudi kazini awamu ya sita baada kama nilivyohaidi), nimempokea mama na kichanga chake ambaye amejifungulia kazini kwenye kiwanda cha Mchina (sehemu sitaitaja)...
Kama tupo serious kwamba tumeanza kuamini hakuna aliye juu ya sheria na kwamba Taifa ni muhimu kuliko matamanio binafsi ya viongozi wa chama tawala Basi wafuatao wahojiwe;
1. Paul Makonda - Tukio...
ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, alifikishwa mahakamani jana. Ni matokeo ya tuhuma zinazomuandama kwa muda mrefu sasa.
Yameshasemwa na yanaendelea kusemwa mengi. Hisia ni...
Ukiptia mitandaoni na magazetini unagundua kwamba kuna watu wengi waliumizwa na utawala wa awamu ya tano. Utagundua pia watu sana hasira na baadhi ya wateule wa awamu hiyo na wapo tayari kulipa...
Mkuu wa magereza mkoani Arusha afande Godson Mwanagwa amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mh Lengai Ole sabaya aligoma kuoga na kufanya vurugu gerezani.
Afande Mwanagwa amesema Ole...
Katika awamu hii mpya ya sita chini ya Rais wetu, Mama Samia tunaona anatekeleza baadhi ya sera za mgombea Urais wa CHADEMA, Mh. Tundu Antipas Lissu. Mojawapo wa sea hizo ni nchi kurudisha...
Awamu ya Nyerere
Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana.
Awamu ya Mwinyi
Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa...
Tuhuma zinazomkabili aliyekuwa DC wa Hai kama zitathibitishwa mbele ya sheria itakuwa ushahidi usiokuwa na mashaka juu ya wapi taifa hili lilikuwa liekezwe siku za usoni. Sabaya aliyatenda haya...
Mei 13, 2021 Rais Samia Suluhu alimsimamisha Lengai Ole Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya na kuamuru uchunguzi dhidi yake. Zaidi soma - Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya
Baada ya kusimamishwa kazi...
Fack check
Supreme leader and Chief Advisor wa ACT Wazalendo Bw. Zitto Kabwe ameandika kwenye mtandao wa Twitter kua Tanzania haijawahi kutokea mkuu wa mkoa, RC ama mkuu wa wilaya DC kushtakiwa...
Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo...
Na Philipo Mwakibinga
Rais Mama samia amedhihiri kuwa anataka Tanzania yenye kiwango kikubwa cha Demokrasia, ambacho kinapimika kwenye viwango vya Kimataifa.
Badala ya kujifanya hatujamuelewa...
Na Mwl Matete
Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa...
Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Chato wameagizwa kuandika barua ya kujieleza sababu za kutoshiriki maadhimisho ya siku ya mazingira duniani.
Maadhimisho hayo mkoani Geita yalifanyika...
Afrika ya zama za Mwl Nyerere, Nkrumah, Jomo Kenyatta, Mobutu Seseseko, Augustino Neto. Tulishuhudia mapinduzi kila uchao sababu kubwa ilikuwa pengine uchanga wa nchi husika, maslahi ya wakoloni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.