Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TANESCO mmeamua kumjaribu Mhe Rais kwa kukata umeme kipindi hiki muhimu kabisa Watanzania tukisubiri kusikia kutoka kwake. Rudisheni umeme tafadhali
0 Reactions
3 Replies
920 Views
Nilikua nawaza kwamba: Lingejikita kujadili hoja nzito zifuatazo. 1. Uanzishwaji wa Viwanda ili kuongeza ajira 2. Ujasiriamali kwa vijana na lioneshe maeneo Mahususi 3. Uwekezaji wa kigeni ili...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Bunda, Boniface Mwita Getere amesema Mkandarasi alipewa Barabara tangu 2013 na amalize 2015 lakini hakumaliza. Alipewa tena 2015-2017, 2017-2019, 2019-2021 na bado hajamaliza...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ikiwa Viongozi Wakuu na baadhi ya waheshimiwa wakiugua hakuna taarifa yoyote ya Spika kutolewa kwa wananchi. Je, kuna sheria gani au ulazima gani wakutambulishana ME/KE wa mheshimiwa Fulani...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Mbunge Luhaga Mpina ametahadharisha mlipuko wa COVID19 usiwe kinga kwa watu waliozembea kukusanya mapato ya Serikali kwa kisingizio cha Ugonjwa huo. Katika mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Profesa Kabudi, Mwalimu nguli huyu wa udsm alisema ametolewa jalalani, Maoni yote ya katiba mpya aliyosimamia akasema hayana kazi kwa sasa, Zilikuwa ni enzi ni enzi kweli kweli Dr Bashiru, Huyu...
15 Reactions
25 Replies
2K Views
Moja ya matatizo ya serikali yetu ni kutokufuatilia kwa makini utendaji wa watumishi wa umma na inapofikia watumishi wakijipanga kwenye vikundi vyenye nia ovu na vinavyojiamini basi ofisi za umma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Lengo kuu ni Chadema ijibu mapigo ili wapate kisingizio cha kuzuia Mikutano ya Mbowe inayoendelea . ====== Hai. Mkutano wa Mbunge wa Hai (Chadema) mkoani Kilimanjaro, Freeman Mbowe uliokuwa...
8 Reactions
119 Replies
15K Views
Rais wangu, maelezo haya hayakusudii kukushawishi kuharibu utawala wa sheria wala kuingilia shughuli za Mahakama. Hayakusudii kukwamisha uchunguzi uliobakia, unaondelea isipokuwa kuweka kumbukumbu...
18 Reactions
347 Replies
72K Views
Mbunge wa Biharamulo, Ezra Chilewesa akiwa Bungeni ametambua juhudi za Hayati Magufuli kwenye jimbo lake kwa kuhakikisha anawatoa kwenye pori la Burigi ambalo lilitumika kwenye utekaji na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanzo, hatukuwatambua tulijua ni washirika wenzetu wazuri tunaosafiri kwenye safina moja kuelekea nchi ya maziwa na asali, Kaanani yetu. Kwa jinsi walivyokuwa wanasifu na kuabudu pamoja na...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Mbunge wa Gairo, Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini. Shabiby amesema 'fee' hizo ni nyingi mno...
44 Reactions
239 Replies
29K Views
Pesa za Mapaka ni aina flani hivi ya mapato(maendeleo) ambayo hupatikana kishirikina kwa kuumiza binadamu wengine hasa ndugu wa karibu. Kwamba mtu unaenda kalumanzila ili akutengenezee dawa ya...
2 Reactions
3 Replies
968 Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema licha ya kutekeleza majukumu, Wizara hiyo imekumbwa na changamoto mbalimbali Akiwa Bungeni, ametaja baadhi kuwa ni ugumu wa kutoa viwango...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna mambo ambayo wana CCM wenzangu hawataki kabisa kuyasoma wakiogopa pengine kwa kudhani kuwa yatakigawa chama ima yatachochea chuki baina yetu. Waswahili wanasema, unafuga chatu mwisho wa siku...
37 Reactions
47 Replies
5K Views
At primary school I had won, several times, academic prizes in a number of ward as well as district academic challenges. My mother always told me that ‘you are just like your father; he was...
1 Reactions
35 Replies
8K Views
Kuomba msamaha sio ushamba hata kidogo, Ole Sabaya angeenda Clouds FM kuomba msamaha na kutubu angesamehewa na wananchi kwa uchafu na ujinga alioufanya huku akilindwa na mfalme niliyempigania...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti -CHADEMA ni vigeugeu...
111 Reactions
331 Replies
29K Views
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda amesema kufikia mwaka 2025/26 Makao Makuu ya Wilaya zote yatakuwa na Mahakama za Kisasa ili kutoa huduma kwa wananchi. Amesema hayo baada ya mbunge...
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Back
Top Bottom