Freeman Mbowe akabidhiwa zawadi ya Ng'ombe na Wazee wa Mwanza kama Shukrani ya Kutambua mchango wake kwa mapambano ya Demokrasia ya Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,673
218,182
Zawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela.

Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa Mwamba katika kupigania Demokrasia nchini Tanzania.

Wazee ni Hazina.

No_Hate_No_Fear’s_Instagram_profile_post:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_Mhe.Freeman_Mbowe_Leo_a...jpg
 
Ndio hao hao anaodia Mwendazake alihakikisha wanawachukia wachaga, Leo tena mchaga yuleyule wamempa ng'ombe, na ndio hao hao kila uchwao chadema wanawaita Sukuma gang siyo?

Wasukuma waonyesheni watu kwamba, kumbe nyinyi ndio mlioshikilia umoja wa nchi hii

Chadema na genge loote ta Mbowe, muwaombe radhi wasukuma!
 
Mwendazake alikabidhiwa jogoo mkubwa sijui alikua na kilo ngapi?

All in all thanks Wana wa Mwanza ,na Mungu awabariki, Mwamba mh,Mbowe ni mwanasiasa bora Kati ya wanasiasa bora Dunian.
 
Back
Top Bottom