Wanaodaiwa kuteswa na Sabaya watema nyongo

Anonymous

Senior Member
Feb 3, 2006
125
321
Baadhi ya watu wanaoishi Kilimanjaro na Arusha wanaodai kufanyiwa vitendo vya ukatili na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya wamesimulia magumu waliyopitia kwa kiongozi huyo.

Sabaya ambaye anashikiliwa na vyombo vya dola kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili, alisimamishwa kazi na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 13, mwaka huu.

Kabla ya Sabaya hajasimamishwa kazi alikuwa akituhumiwa kuendesha ukatili, kutumia baadhi ya watu kutesa, kuwatisha wafanyabiashara na kuwalizimisha wampe fedha.

Hata hivyo, tuhuma hizo mara kadhaa alizikanusha akidai kuwa zimekuwa zikienezwa na wabaya wake wakiwemo wale waliokuwa hawataki kufuata sheria na taratibu ikiwemo kukwepa kodi.

Aliyeteswa afunguka

Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Hai, Simon Mnyampanda amedai kuwa ni miongoni mwa waliotekwa na kuteswa na Sabaya Aprili 27, 2019.

Akizungumza kwa simu na Mwananchi juzi, Mnyampanda alidai kuwa siku hiyo alijikuta mikononi mwa watekaji alipokuwa katika hoteli ya Giraffe alipoitwa na wahudumu wa hoteli hiyo.

Amedai kuwa wahudumu hao walimweleza kuna mgeni mmoja kati ya waliokwenda kwenye msiba wa kaka yake Freeman Mbowe hakuwa amelipia chumba, aliamua kumlipia pesa hiyo kwa sababu alikuwa anamfahamu.

Mnyampanda amedai baada ya mazungumzo hayo, dada mmoja aliingia na kwenda karibu na meza yake na kabla dakika tano hazijaisha, wakaingia vijana wa kiume wawili waliodai kuwa yule dada ni mke wao.

“Mmoja wao akaniuliza wewe umetoka wapi na huyu mke wetu? Wakati huo mmoja wao anasogea karibu yangu. Mimi nikawajibu kuwa huyu dada wala simfahamu. Nilipojibu hivyo nilipigwa kofi kubwa la shingoni, nilipogeuka nikakutana na bastola nikaambiwa niko chini ya ulinzi,” anasimulia.

Amedai kuwa walimchukua wakampeleka chumbani pamoja na yule mwanamke wakaanza kumtesa.

“Nikawauliza mnataka nini? Wakasema kwanza hujamaliza kuvua nguo, hapo nilikuwa nimebakiza bukta. Niliwaza mambo mengi sana huku nikiangalia njia za kujinasua,” alidai.

Katika harakati za kupambana kujiokoa, alimpiga ngumi mmoja wao, jambo lililowaudhi na wakampulizia kemikali machoni ambazo zilimfanya asione kwa muda.

Alidai walipomtoa nje alifanikiwa kuona kundi jingine na na magari matatu waliyopanda na kwenda kwenye barabara ya Arusha Moshi.

Alidai msafara huo uliokuwa ukiongozwa na gari la Sabaya ulipita maeneo ya Kwa Sadala, Mto Kikavu na walikuwa wakimuuliza kama anaona na aliwajibu kuwa haoni. Amedai akiwa ndani ya gari hilo waliendelea kumshambulia.

“Wakawa wanajadiliana mbona tunampiga sana hajibu, au atakuwa amekufa? Na mimi nikajikaza na kujifanya kuwa nimekufa. Mwingine akasema au tummalizie kwa risasi? mwingine akajibu huyo ameshakufa tutapoteza tu risasi, wakasema wanituipe kwenye mto, lakini Sabaya akaja tena na akawaambia sasa huyu tusimtupe mtoni, tukamfanye darasa kwa wenzake kuwa ameingia mwanaume Hai hataki tena Chadema wilayani mwao.”

Amedai kuwa wakati huo alikuwa ameshavunjika miguu yote na mikono huku baadhi ya vidole vikiwa vimesagwa.

“Wakaenda kunitupa huko Hai Day Sekondari karibu na makazi kisha wakatokomea. Baadaye nikaanza kupiga kelele, ilikuwa saa 9 usiku,” anasimulia kada huyo wa Chadema.

Amedai baadaye alikwenda kijana mmoja akamulika na tochi ya simu yake na akamtambua kwa sababu kutoka hapo hadi nyumbani kwake si zaidi ya mita 300. Kijana huyo aliita watu wakampeleka hospitali ambako bado anaendelea na matibabu hadi sasa.

Wengine walioteswa

Akizungumza na Mwananchi, Peter John ambaye ni mkazi wa Wilaya ya Hai alidai waliwahi kwenda ofisini kwa Sabaya ili wasaidiwe kusaidiwa kutatua mgogoro wa umiliki wa ardhi, lakini akatakiwa atoe fedha na alipotoa kidogo aliishia kuteswa mpaka alipotoa Sh5 milioni.

Mkazi wa Njiro, Ismal Juma alisema alinunua gari kwa kufuata taratibu zote, lakini alijikuta akishindwa kulipwa fedha baada ya kuuza kutokana na Sabaya kumtisha kuwa gari lake lilikuwa ni la wizi.

“Alinipigia simu na kuniambia nimemuuzia mlinzi wake gari la wizi na kama nataka amani nisidai tena malipo yangu,” alidai

Diwani wa Kata ya Sombetini, Jiji la Arusha, Bakari Msangi, akimwelezea Sabaya hivi karibuni alipozungumza na waandishi wa habari alidai, alikuwa akifanya ukatili na walinzi wake binafsi sita wanaotembea na silaha.

Diwani Msangi alidai Februari 9, mwaka huu, alipokea simu kutoka kwa mtu mmoja (jina linahifadhiwa) akimweleza kuwa Sabaya amevamia dukani kwake.

Alidai kuwa alipofika dukani alimkuta Sabaya na vijana wake wamewaweka chini ya ulinzi wafanyakazi na wateja waliokuwa kwenye hilo duka, wanawapiga.

Alidai kuwa Sabaya alikuwa anadai mfanyabiashara huyo ni mhujumu uchumi, wanafanya biashara haramu wanauza dola feki, wanauza bidhaa hawatoi risiti.

Tangu kushikiliwa kwa Sabaya, watu mbalimbali wameanza kujitokeza wakimshutumu kwa kuhusika kwenye matukio maovu. Hata hivyo, uchunguzi ulioitishwa na Rais Samia ndio unasubiriwa kwa hamu kubwa kutoa majibu ya tuhuma zote zinazomkabili kama zina ukweli ama vinginevyo wakati huu akiendelea kushikiliwa na vyombo vya dola.

Chanzo: MWANANCHI
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
 
Hiki ulichoandika hapa unaona kabisa vinaingiliana na uzi husika? Kabisa yaani ndani ya akili yako tautology imebalansi kabisa Etwege?

Mungu akurehemu sana mdogo wangu
 
Naona una kazi ya kusambaza hiki kipeperushi kila kona.....!
 
Nani amekuandikia huu uchafu?! Kila mahali unapost kitu hicho hicho?! Huna akili nyingine zaidi?
 
Habari zenu ndugu wana jf!

Nipende kuwakaribisha kwenye hii fursa adimu ya kujikwamua kiuchumi.
Crowd rising ni system ya kujipatia kipato kwa njia ya network (Network marketing) . Fursa hii imeanzia nchini Canada ikiwa na lengo hilo hilo la kuwakwamua watu kiuchumi ,baada ya kupata mafinikio makubwa imeweza nchi mbalimbali na kuleta mabadiliko chanya.
Bado hujachelewa unachotakiwa kufanya ni kutafuta shilingi elfu 20( Tsh 20000) uweze kujapatia official account. Kwa maelezo zaidi karibu Pm Asante.

NB:
*Failures wa maisha hamna nafasi katika uzi huu piteni kando

*Moderator msifute uzi huu
Pambafu!
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
Hivi lumumba camp si mnyang'anywe hizi laptop jamani....buku 7 sasa hivi hampewi mmebaki mnajipendekeza sasa sijui kwa nani na kwa manufaa ya nani or ni sukuma genge??

Maza hana hiyo time asee

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwenzake alikuwa akiajiri hata majambazi maadamu tu wamsaidie kummaliza mbowe
 
Kama aliweza miliki genge la wahuni na akachoma shule ya sekondari Ikizu anashindwa vipi kufanya uhalifu
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
Crap
 
Kitu ambacho ungefanya ni kujibu hizo tuhuma walizotoa hao watu waliohojiwa na gazeti la Mwananchi kwanza, halafu baadaye ndipo ungekuja na hii hoja yako.
 
Je haya yanahusianaje na tuhuma za ujambazi zinazomhusu Ole 7ya?
 
Huyu Sabaua haonekani kuwa ni mwanadamu, wala hastahili kywepi kwenye Ukimwengu huu tuliopewa na Mungu. Huyu atakuwa ni miongoni mwa wahudumu huko jehanamu aliyeamua kuja kupumzukia Duniani.

Mamalaka za mahakama na za kiutawala zihakikishe huyu shetani hapati nafasi ya kujumuika kayika Ulimwengu wa watu wema.

Marehemu alikuwa akiyajua haya yote. Waziri Mkuu alijulisha, naye akimweleza marehemu lakini hakuna kilichofanyika, na huenda alipongezwa.

Marehemu alikuwa ni nbo ya uovu, ja kwake, waovu ndio aliowapenda.

"Nimekuteua wewe mpini maana wewe ni kichaa mwenzangu". - marehemu. Ina maana Tanzania kwa zaidi ya miaka 5 iliendeshwa na kichaa aliyekiri kwa kinywa chake kuwa yeye ni kichaa.
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
Ulichoandika kina uhusiano wowote na mada?
 
H

Kweli mama yako hakuzaa,alitoa uchafu tumboni.
 
Hivi sabaya alipata wapi silaha mfano pingu,smg,nk za kutendea uhalifu kwa ushahidi wa video bila OCD kuhusika, kwann nae asiunganishwe kwenye kesi za ujambazi wa Sabaya.
Silaha alipata wapi swali?
 
Back
Top Bottom