Serikali kutekeleza mradi wa uzalishaji Gesi Asili ya kimiminika

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
1,119
2,000
Wadau wa JF

Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Mjaliwa amesema Serikali ipo mbioni kutekeleza mradi wa kimkakati wa uzalishaji wa gesi asilia ya kimiminika (LNG) utakaogharimu dola za Kimarekani Bilioni.30

Mradi huo wa kimkakati ambao Rais Samia Suluhu Hassani amepania kuutekeleza katika awamu ya sita ambapo utakapoanza kutekelezwa utatumika kwa kipindi cha zaidi ya miaka 25

Mhesh Majaliwa alikuwa akizungumza na wadau wa maendeleo wa Mkoa wa Lindi leo kwenye Hoteli ya Sea View

KaziIendelee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom