Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania ina viumbe wa ajabu!! ,watu wanaotazama leo yao tu na kesho haiwahusu kabisa. Ninamshangaa sana watu wanaokataa katiba mpya na kudai hii ya zamani inatosha au eti Rais Samia anatosha kwa...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Tumefatilia suala la Ole Sabaya kwa undani. Alichaguliwa na mamlaka za teuzi zilizochaguliwa na wananchi. Tatizo lililopo Tanzania kwa sasa sio wakuu wa Mikoa au wilaya, tatizo ni kupata viongozi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Siasa za Tanzania zimeingia patamu sasa. Maelekezo ya chama kwa wateule wake ya kusimamia na kuitekeleza ilani ya chama kwa nguvu zote yameingia shubiri. Kosa la sabaya la kutumia vibaya...
29 Reactions
51 Replies
5K Views
Tunaomba kila mkoa wasone kulingana na uhitaji wa mazingira wa eneo husika but this subjects must be tought to every child 1.mathematics 2.physics 3.chemistry 4.biology 5. Geography Na...
1 Reactions
5 Replies
866 Views
"Ninawasihi vijana wenzangu najua tumepigika kweli kweli lakini awamu hii Chadema imeleta fursa. Kila kijana atakayekuwa wakala wa usajili wanachama wa Chadema, kila utakaposajili mtu mmoja...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Kumbe mapato yamepanda kipindi hiki? Mwenye source tunaweza jua yamepanda kwa kiasi gani mwezi May?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi katika utaratibu wake kimetoa maelekezo kwa Wizara ya Fedha na Mipango kuelekea uwasilishaji wa Bajeti yake ya mwaka wa fedha 2021/2022 kwa kuzingatia kuwa Wizara ya Fedha na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Maandalizi ya kikao cha Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tabora Mjini yamekamilika, ambapo leo Juni 06, 2021 mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe ataongoza kikao hicho. Hii ikiwa ni mwendelezo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwema Wakuu!! Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya. Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja...
16 Reactions
51 Replies
4K Views
Huu ni wendawazimu. Ingekuwa hivi kule Magerezani kusingekuwa na wafungwa hata mmoja. Wote wangekuwa wameomba msamaha na wakasamehewa. Wanasiasa wezi huwa wanaamini wao si Watanzania wa kawaida...
14 Reactions
22 Replies
2K Views
Niseme Kwa ufupi sijui in details hasa yanayosemwa yalikuwa 'maovu ' ya Manji na sijui in details ni kiasi gani 'alionewa'.. Lakini kuna vitu najua kabisa Manji alishiriki 'kupiga ' nchi na...
30 Reactions
127 Replies
9K Views
Niwasalimu wadau wa Jf! Nirudie tena kwa kusema kuwa Tanzania pamoja na umasikini wake ilijiandaa vyema katika kukabiliana na majanga .maandalizi makubwa na yanayoendana na umasikini wetu ni...
9 Reactions
70 Replies
7K Views
Kuelekea siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa awamu ya tano, Dkt. John Magufuli, wageni mashuhuri wameanza kuwasili nchini, mmojawapo ni Nabii TB Joshua Jana aliwasili na kufanya mazungumzo na...
0 Reactions
171 Replies
32K Views
Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa CHADEMA ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi. CHADEMA inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi...
10 Reactions
115 Replies
6K Views
Mwenyekti wa kwanza wa CHADEMA, Mzee Edwin Mtei, alikuwa Gavana wa BoT. Mwenyeti wa sasa wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe, alikuwa mwajiriwa wa BoT. Kabla ya kupata uenyeti wa CHADEMA, Mh. Freeman...
9 Reactions
291 Replies
32K Views
Hii ndio taarifa mpya kutoka kwenye magazeti ya Tanzania , bado haijafahamika kama ameachiwa moja kwa moja au analiwa timing , bali ifahamike kwamba ni wachache wanaogusa ofisi ya TAKUKURU...
12 Reactions
70 Replies
9K Views
Hakika inashangaza Sana kwa UONGOZI wa MANISPAA ya SUMBAWANGA ambayo Mwaka 2004 iliyatwaa MASHAMBA ya Wananchi Eneo la KIZWITE na Kulipima VIWANJA na KUVIUZA. Kabla ya KUVIPIMA Manispaa...
1 Reactions
2 Replies
786 Views
Habar watanzania poleni kwa majukumu Mpaka Sasa kichwa changu naona kipo tu kama mzigo sababu ubongo ulishindwa kuelewa chochote maana Sabaya nilimuona mzalendo Sana Mpaka nilimkingia kifua...
23 Reactions
75 Replies
8K Views
Kama kweli alimteka na kumtesa kwa kipigo kikali Diwani wa Kata ya Sombetini, Bakari Msangi huko jijini Arusha basi alifanya kosa kubwa sana. Kwa mujibu wa tovuti ya Sauti Kubwa ni kuwa Bakari...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Ilifikia wakati Wananchi akiwemo mimi nilianza kupoteza imani kwa Viongozi wa Serikali kutokana na kutofautiana sana kati ya kauli na matendo yao, na kati ya mambo yalivyo na yanavyotakiwa kuwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom