Kwanini Salmin Amoor Comandoo hakuwahi kufikishwa mahakamani?

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Nimekutana na mjadala kwa muuza Tangawizi mitaa ya Saigoni pale migomigo kama kawaida wanajadili kuhusu kinachomkuta Ole Sabaya lengai.

Januari 2001 katika viunga vya pemba na unguja inasemekana palitokea patashika kubwa kati ya wafuasi wa CUF ngangari na jeshi la polisi ngunguri.

Patashika hii ilipelekea askari polisi kuchinjwa na baadhi ya wafuasi wa CUF kuuawa na wengine inasemekana walitoswa baharini walipokuwa wanakimbilia mombasa.

Sakata hili lilizua taharuki kubwa sana na vyombo visema mabaya ya Africa ikiwemo BBC,DW na CNN viliripoti sana na hata baadae kupitia BBC HARD TALK ilibidi Mr Clean Hayati Benjamin Mkapa aongee kwa ukali kujitetea.

HOJA YANGU
Kwa namna yoyote ile wapo walioumizwa na sakata hili na wapinzani hasa wakiongozwa na chama kikuu cha upinzani wakati huo Civic United Front chini ya Ibrahim lipumba na hayati maalimu Seif walipiga kelele sana ila ziliishia hewani.

SWALI:
Je ni muda muafaka wa kumuuliza kisheria ndugu Commandoo Salmin Amour na wahusika wengine kama kina Fredrick Sumaye juu ya sakata hili ?

MAJIBU MNAYO SASA KARIBUNI KUJADILI
 
Ulinzi ni suala la Muungano, ungeuliza kwa nini Mkapa hakushtakiwa.

Tanzania hatuna sheria za kushtaki marais kwa mambo waliyoyafanya kwa kofia ya urais.

Mkapa ameomba radhi na kusema alisikitishwa na mauaji, ila yeye binafsi hakushiriki alikuwa nje ya nchi. Soma kitabu chake.
 
Kinga ni kwa Rais wa JMT au na yule wa Zanzibar?
 
Si rais tu.

Kwa sheria iliyopitishwa mwaka jana, rais, makamu wa rais, waziri mkuu,spika, naibu wa spika na jaji mkuu hawashtakiki binafsi, ukitaka kuwashitaki utaishitaki serikali nzima halafu mashtaka yanapitia kwa mwanasheria mkuu, ni kama ajishitaki mwenyewe. Kitu ambacho hakiwezekani.

Zanzibar katiba yao ibara ya 36 inakataza rais kushtakiwa. In any case suala la Ulinzi ni la Muungano, hivyo mashitaka ya habari za ulinzi/ polisi yanatakiwa kuelekezwa serikali ya Muungano, si SMZ.
 
Interesting ni katiba ile ile au marekebisho baada ya muafaka
 
Uyo komando wako naona kama adhabu anayoipata inamtosha kabisa kwan kwa sasa.
.... Haoni Mungu aliisha mpofua macho.
....Hatembei kwani nilibahatika kumuona pale airport akisukumwa ktk wheelchair.
....Mwili wote unamuwasha nahisi diabet imemla vya kutosha.
...Kifupi Uyo comando wako ni disabled.
Na kwa yanayompata angetamani uhai umtoke ili apumzike lakin Mungu wetu kipenzi anasema bado ngoja uipate adhabu yako hapa hapa duniani kabla hajamface uko mbiñgun aka ktk moto wa milele kwa makosa aliyowafanyia binadam.
Nimekutana na mjadala kwa muuza Tangawizi mitaa ya Saigoni pale migomigo kama kawaida wanajadili kuhusu kinachomkuta Ole Sabaya lengai.

Januari 2001 katika viunga vya pemba na unguja inasemekana palitokea patashika kubwa kati ya wafuasi wa CUF ngangari na jeshi la polisi ngunguri.
Patashika hii ilipelekea askari polisi kuchinjwa na baadhi ya wafuasi wa CUF kuuawa na wengine inasemekana walitoswa baharini walipokuwa wanakimbilia mombasa.

Sakata hili lilizua taharuki kubwa sana na vyombo visema mabaya ya Africa ikiwemo BBC,DW na CNN viliripoti sana na hata baadae kupitia BBC HARD TALK ilibidi Mr Clean hayati Ben Mkapa aongee kwa ukali kujitetea.

HOJA YANGU
Kwa namna yoyote ile wapo walioumizwa na sakata hili na wapinzani hasa wakiongozwa na chama kikuu cha upinzani wakati huo Civic United Front chini ya Ibrahim lipumba na hayati maalimu Seif walipiga kelele sana ila ziliishia hewani.

SWALI:
Je ni muda muafaka wa kumuuliza kisheria ndugu Commandoo Salmin Amour na wahusika wengine kama kina Fredrick Sumaye juu ya sakata hili ?

MAJIBU MNAYO SASA KARIBUNI KUJADILI
 
Uyo komando wako naona kama adhabu anayoipata inamtosha kabisa kwan kwa sasa.
.... Haoni Mungu aliisha mpofua macho.
....Hatembei kwani nilibahatika kumuona pale airport akisukumwa ktk wheelchair.
....Mwili wote unamuwasha nahisi diabet imemla vya kutosha.
...Kifupi Uyo comando wako ni disabled.
Na kwa yanayompata angetamani uhai umtoke ili apumzike lakin Mungu wetu kipenzi anasema bado ngoja uipate adhabu yako hapa hapa duniani kabla hajamface uko mbiñgun aka ktk moto wa milele kwa makosa aliyowafanyia binadam.
Kuna watu adhabu zao wanazitumikia kimyakimya.
Mungu hadhihakiwi!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom