Binadamu amepitia zama mbalimbali katika kukabiliana na changamoto za kujikwamua kimaisha. Tumepita zama za mawe, chuma na sasa Elekitronikia.
Mapito yote hayo ni katika kutafuta namna Bora ya...
Ni dhahili mh. Rais ameamua kuuzima mjadala kwa makusudi wa kudiscuss Siku mia moja katika ofisi ya jumba jeupe.
Bila shaka katika kuelekea siku 100 kwenye madaraka mh rais ameamua kutangaza...
Tayari Mafunzo hayo yameanza kwenye Kanda imara ya Nyasa na kwamba yatakuwa yanafanyika kwenye maeneo mbali mbali
Mafunzo haya hayana uhusiano wowote na Operesheni haki , haya ni mafunzo ya...
Nawashangaa sana wapinzani wenzangu na wakati mwingine huwa nawashangaa WanaCCM ambao wanatarajia matokeo tofauti na walivyotarajia.
Kwa hakika mabadiliko ndani ya chama kimoja yanaweza kutokea...
Habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja...
Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM iliyokutana kwa dharura mchana huu chini ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndg Kheri Denis James imetengua uteuzi wa Kaimu Katibu wa Hamasa na...
Ilikuwa ni lazima upishe urekebishaji wa chama kwa mwenyekiti mpya wa CCM na hiyo ni kawaida sana kwa kila REGIME kupanga safu yake.
Baada ya Bashiru Ally na Humphrey Polepole wing ya vijana kwa...
Naomba sababu, kwà nini Wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?
Miezi kadhaa iliyopita tuliona Wanaharakati na Wapinzani wakisisitiza sana watu wavae Barakoa.
Naona sasa...
NUSRAT HANJE: BARAZA LA VIJANA NI KUONGEZA TU GHARAMA KWA TAIFA.
Wakuu natumaini mko vizuri.
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.. kwa pamoja mjibu "CHAMA KIENDELEE!!!"... Kwa mara...
Kwema Wakuu!
Nilikuwa napitia majina ya Ndugu zetu waliopewa nafasi za Ukuu WA wilaya. Kwa kweli mkeka upo vizuri Kwa sehemu kubwa
Nawapongeza wote Mliopewa Nafasi hizo. Pia nampongeza Mhe...
Mtu kama huyu msomi mzuri tu kwa nini watu wanafikiri hawezi kuwa mkuu wa wilaya? Au kwa vile aliamua kujiajili kwenye tasnia ya sanaa. Naona kuna kasumba inaanza kujengeka hapa nchini ya kufikiri...
Ili kupunguza malalamiko mitandaoni yanayopelekea viongozi wa kisiasa kutumbua Watumishi wa umma nakushauri uwaelekeze wakurugenzi, wakuu wa taasisi na Makatibu wakuu waweke wazi njia za...
Ukiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine, likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe...
Hizi teuzi huwa zina michanyato ya kutisha kabisa.
Kuna Ma RAS ni Ma Professor kama yule Kamzora wa kule Kagera na kuna RAS nazani wana Degree na wengine Diploma kabisa.
Kuna wakuu wa mikoa ni...
Brother Mako
Najua wewe ni mtu wa masihara na utani utani mwiiingi. Utani hoye!
Najua wewe ndivyo ulivyo toka long time kitambo.
Ila nataka nikueleze kitu, Kuwa makini sana na utani wako...
Inavyoonekana siasa ni mchezo mgumu sana kuusoma na kuucheza, vitu vingi kwenye siasa vinategemea probability.
Kipindi cha hayati wapinzani walitumia ukandamizaji uliokuwepo kuomba sympathe ya...
Nakupongeza nikiwa kama mkazi wa Morogoro mjini na nikiwa kama mdau wa mitandaoni na mpenda habari nimekujulia huko kwenye kazu yako ya uwakili.
Naomba ukifika pitia ilani ya chama na angalia...
Rais Mwinyi anasema alijutia namna alivyoliachia bunge hadi likafikia hatua ya kupiga kura na kuwaunga mkono kundi la wabunge waliojulikana kama G55 waliodai Serikali ya Tanganyika.
Lakini...
Mama kawaumiza sana Vijana wa CCM, hili wala halina ubishi wala haliwezi kuwa mada ila cha kusikitisha ni mambo wanayoyafanya hao MATAGA ni ujinga mtupu.
Moja, wameamua kujitoa kwenye makundi...
Kutoka WhatsApp Group nimepata hili.
=====
Kadri ya Rais Lovodymyry Zelensky wa Ukraine na Uteuzi wa Comedian Michopanga (Juma Chikako kuwa DC Rorya
Wakati vijana wengi wakikosoa bila hoja, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.