Sijawahi kushuhudia wapinzani wa aina hii katika maisha yangu

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
Habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.

Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi

Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa

Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania.
 
habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.

wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi

Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania
Hapa JF sijawahi kuona uzi wa ovyo namna hii. Albadiri inakutafuna na mimi nasema wacha ikutafune tu mana hakuna namna
 
Hoja kuu ya upinzani ilikua ni ufisadi, Nafikiria 2020 watakuja na hoja gani wakati saivi ndio wamekua watetezi wa mafisadi na wanyonyaji wa hili taifa
 
Hapa JF sijawahi kuona uzi wa ovyo namna hii. Albadiri inakutafuna na mimi nasema wacha ikutafune tu mana hakuna namna
Tatizo wapinzani mkiambiwa ukwel hamtaki kusikia wanannchi tumewachoka badilikeni kwa hoja nyepesi za matukio ikulu hamuwezi kuingia hata kwa dawa zaid ya kupoteza idadi ya viti bungeni
 
habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.

wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi

Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa

Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania

Baada ya kushindwa kufanya kilichosahihi mmekuja na porojo.Kubalini ndiyo mliyoarrange wale waliomrushia risasi Lissu.

To many of us Lissu is real a role model of Mzalendo.Wengine wote ni wachumia tumbo.

Wanajifanya wanaumia sana kumbe wapigaji tu.Tumeona Kivuko Kibovu kikosa maelezo,International airport pesa zinapigwa tu kisingizio maendeleo kumbe mnaendeleza matumbo yenu.

Hakuna ndani ya CCM mwenye moral authority ya kujiita MZALENDO ndiyo sababu mnatumia SMG badala ya hoja.

Miaka 55 CCM ilichoweza kufanya na kufanikiwa ni MAUAJI,UTEKAJI na UTESAJI.
 
Tatizo wapinzani mkiambiwa ukwel hamtaki kusikia wanannchi tumewachoka badilikeni kwa hoja nyepesi za matukio ikulu hamuwezi kuingia hata kwa dawa zaid ya kupoteza idadi ya viti bungeni

Ni kama watanzania tulivyoichoka Serikali ya CCM ambayo kwa miaka 55 ilichoweza kufanikiwa ni MAUJI,UTEKAJI na UTESAJI.Kujifanya wazalendo kumbe majizi ya raslimali zetu.
 
Habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.

Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi

Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa

Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania.
si uwe mpinzani wewe?!!!
 
The ugly and stupid have the best of it in this world. They can sit at their ease and gape at the play. If they know nothing of victory, they are at least spared the knowledge of defeat. They live as we all should live-- undisturbed, indifferent, and without disquiet, why stupid people are full of confidence while the smart ones are full of doubt? too astonishing, We need an extra milestone, people are still in Dark, liberation is highly need and it should be taken as a matter of urgency.
 
Stupid people don’t always know that they’re stupid. They might be aware that something is wrong, they might notice that things don’t usually turn out the way they imagined, but very few of them think it’s because of them. That they’re the root of their own problems, so to speak. And that sort of thing can be very difficult to explain.
 
Habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.

Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi

Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa

Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania.[/QUOTE

Compare and contrast siyo unaongea bila mifano na hoja za msingi. No evidence no comment.
 
Habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.

Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi

Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa

Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania.

Inaonekana hata tafsiri halisi ya upinzani huijui ndugu yangu. Hapa unaonekana kulewa na mahaba ya kichama kama siyo kwamba na wewe umeshapewa rushwa kuyaandika haya yasiyo na mashiko. Kwa taarifa yako, kazi ya upinzani popote duniani ni kutafuta loop hole za chama kilichoko madarakani haijalishi ni ndogo kiasi gani. Upinzani huwa ni jicho la pili. Tatizo walililo nalo wapinzani hapa Tanzania ni kwamba watawala hawataki kukosolewa.

Hivi kwa akili yako ulitaka upinzani ukubaliane na serikali kwamba ndege haijakamatwa ilhali imekamatwa? Ulitaka wakubaliane na serikali kwamba tuvunje mikataba ya wawekezaji kwa kuwa tu kwa kufanya hivyo ndo unaonesha uzalendo hata kama baadae utatakiwa kulipa mamilioni ya dola kama fidia? Nafikiri kuna watu wanatazama mambo kimahaba na hao ndo kundi lile linaloshangilia kupigwa risasi kwa Mh. Lisu, ndo kundi linaloshangilia kukamatwa kwa viongozi na wabunge wa upinzani wanaosema ukweli, ni kundi linaloshangilia mabango ya kuongeza muda wa ubunge huku wao wakiwa wamekaa chini ya nguzo za umeme wakiomba wapita njia wawape hela ya kula mchana eti "hali ngumu!!"

Cha kusikitisha, kama wapinzani wanayoyafanya ni kutetea wahujumu uchumi mbona msukuma amepandishwa mahakamani wakati anamsaidia rais kupambana na wezi wa raslimali? Cha ajabu, hakuna ambaye ameandika chochote kupongeza jeshi la polisi kwa kuwakamata madiwani na Msukuma. Unajua tafsiri yake? Kabla hujaandika chochote tafakari kwanza...Pen Down!
 
Subiri waporosha matusi waje, ni hoja nzuri sana kwa wananchi wazalendo....

Hao wazalendo walio ndani ya CCM ni wapi??

1.Hawa walionunua Kivuko kibovu (cha mwaka 1948) kwa bilioni nane??

2.Waliopistisha Sheria mbovu za madini na gas?

3.Waliosainisha Mikataba mibovu ya madini na gas?

4.waliojenga barabara substandard

5.Hawa wanaoua,kuteka na kutesa Raia kwa sababu ya kukosolewa.

6.Wezi wa Raslimali zetu??

Unaongelea wazalendo wepi??Msitake kuendelea kufikiri watanzania ni wapumbavu kila siku,mjue mnakera sana,tena mwambieni anayewatuma kuandika utumbo mitandaoni aache mara moja.

Tanzania miaka 55 ya Uhuru chini ya CCM bado ni masikini ya kutupwa ilhali watawala matajiri mpaka wanakufuru
 
Habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.

Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi

Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa

Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania.

Vyama vya upinzani nchini Tanzania vipo kwa mujibu wa sheria na katiba na vinaendesha shughuli zake halali kwa mujibu wa sheria na katiba ya JMT,shida ni pale anapokuja kiongozi na kuwachukulia kama ni kikundi ambacho kinafanya shughuli haramu ....

Hii dhana ndy inaleta shida sana na ndiyo imetufikisha hapa tulipo.vyama vya upinzani vimekuwepo na kuendesha shughuli zao za siasa toka mwaka 1995 hadi sasa!

Tuheshimu katiba na sheria zilizopo na mambo yatakwenda sawa kabisa,isifike wakati mtu mmoja akajiona kuwa yeye ndy ana uchungu na hii nchi na wananchi wengine wote hawana uchungu na ni wasaliti!
 
Back
Top Bottom