Kwanini Wapinzani hawavai Barakoa?

Naomba sababu, kwà nini wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?

Miezi kaza iliyopita tuliona wanaharakati na wapinzani wakisisitiza Sana watu wavae Barakoa.

Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
1623697453080.png
 
Wapinzani hasa Chadema wana akili sawa na za nyumbu. Wanaongelea hili muda huu na ukimpa tu mgongo ashasahau alikiwa anapings nini au anaunga mkono nini?

Huko CCM kuna mijitu mijinga ya kuhurumia. Mmoja wapo ni wewe. Kwamba hapo ndiyo umemwaga nondo kweli kweli unasubiri sasa kupongezwa?

Hiiiiii bagosha!
 
Leo nimemuona Mbowe kavaa barakoa pembeni yupo Sugu bila barakoa, nikawa najiuliza hivi Sugu anatafsiri vp kitendo cha Mbowe kuvaa barakoa huku yeye Sugu hajava pamoja na Makamanda wengine? Ila mimi ndio maana huwa napinga huku watu kumtupia lawama Mwendazake kuwa kafanya watu wasivae barakoa na kudharau corona.
 
Naomba sababu, kwà nini wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?

Miezi kaza iliyopita tuliona wanaharakati na wapinzani wakisisitiza Sana watu wavae Barakoa.

Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.

Eeeh mbona wanaweza kushirikiana na CCM kabisa we unashangaa kuvaa barakoa
 
Back
Top Bottom