Rais Samia Suluhu ni MwanaCCM anayetenda kazi chini ya miiko ya CCM

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,126
Nawashangaa sana wapinzani wenzangu na wakati mwingine huwa nawashangaa WanaCCM ambao wanatarajia matokeo tofauti na walivyotarajia.

Kwa hakika mabadiliko ndani ya chama kimoja yanaweza kutokea ila si kwa kiwango kikubwa.

Rais Samia Suluhu ni MwanaCCM anayetenda kazi chini ya miiko ya CCM kama alivyokuwa Magufuli na wengine.

Tutamlaumu ila lazima tutambue kuwa hawezi kutenda nje ya miiko ya CCM.

Kwa sehemu yake kajitahidi.
Hongera Rais Samia Suluhu.
 
Back
Top Bottom