Heri James karibu Ubungo. Kwa kadri ya uwezo wako umeifanyia mengi UVCCM

MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
686
1,000
Ilikuwa ni lazima upishe urekebishaji wa chama kwa mwenyekiti mpya wa CCM na hiyo ni kawaida sana kwa kila REGIME kupanga safu yake.

Baada ya Bashiru Ally na Humphrey Polepole wing ya vijana kwa maana ndani ya CCM ilikuwa lazima iguswe kama ulikuwa bado hujajianda basi ulikuwa bado mchanga sana wa siasa.

Taifa hili linakutegea sana kuwahudumia wananchi wa Ubungo kama DC wao. Kama kuna makosa uliyoyafanya ilikuwa kwa sababu ya ujana wako na nimapungufu ya kibinadam na endelea mbele.

Kwa kadri ya uwezo wako umeifanyia mengi sana UVCCM na endelea kutoa mchango wako ka chama na UVCCM pale utakapo ona kuna haja ya kufanya hivyo. WE SHALL MISS YOU COMRADE
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
8,820
2,000
Jamaa ndo anasogezwa nje ya ulingo wa siasa.

Wote ambao walikuwa na mahubiri mabaya wakati ule, mahubiri yenye kiburi na ukatili mama hawaachi salama.

Huyu huwenda anatolewa kwenye system ni jambo la muda tu.

Mama hawezi kumuacha huyu jamaa akadumu hapo.
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,977
2,000
Ukitolewa kwenye nafasi ya juu kwenye chama na kupewa uDC ni kushushwa huko na kuandaliwa mazingira ya kutumbuliwa pale unapobugi step

uDC hauna guarrantee na safari kurudi kwako inaweza kuanza kwa kauli tu ya jukwaani
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
31,293
2,000
Ni Sindanoo Pyaaa!!...Safari hii sasa Wapinzani mnaoishi Ubungo jiandaeni inaweza ikatiwa hata kwenye Chanjo😁

Ngoja tujikumbushe
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
43,163
2,000
Ilikuwa ni lazima upishe urekebishaji wa chama kwa mwenyekiti mpya wa CCM na hiyo ni kawaida sana kwa kila REGIME kupanga safu yake.

Baada ya Bashiru Ally na Humphrey Polepole wing ya vijana kwa maana ndani ya CCM ilikuwa lazima iguswe kama ulikuwa bado hujajianda basi ulikuwa bado mchanga sana wa siasa.

Taifa hili linakutegea sana kuwahudumia wananchi wa Ubungo kama DC wao. Kama kuna makosa uliyoyafanya ilikuwa kwa sababu ya ujana wako na nimapungufu ya kibinadam na endelea mbele.

Kwa kadri ya uwezo wako umeifanyia mengi sana UVCCM na endelea kutoa mchango wako ka chama na UVCCM pale utakapo ona kuna haja ya kufanya hivyo. WE SHALL MISS YOU COMRADE
Copy and Paste ya Ole Sabaya imehamia Ubungo. Nilitamani kweli aletwe Kwetu Kinondoni ili 'Masela' tumnyooshe vizuri bahati mbaya / nzuri tumeletewa Mlokole Gondwe.
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,506
2,000
Copy and Paste ya Ole Sabaya imehamia Ubungo. Nilitamani kweli aletwe Kwetu Kinondoni ili 'Masela' tumnyooshe vizuri bahati mbaya / nzuri tumeletewa Mlokole Gondwe.
Gondwe aache usnichi kutumia ITV kuwafanya wenzake hawafanyi kazi anawapa lead kuwaharibia wenzake.....kisa anataka RC kwa nguvu.....muda mwalim mzuri
 
MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
686
1,000
Copy and Paste ya Ole Sabaya imehamia Ubungo. Nilitamani kweli aletwe Kwetu Kinondoni ili 'Masela' tumnyooshe vizuri bahati mbaya / nzuri tumeletewa Mlokole Gondwe.
Sidhani kama atatumia Sabaya style. Tutegemee mazuri sana kutoka kwa Heri James
 
MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
686
1,000
Labda awe ameshaungama kwa Mungu.
Mambo hubadilika sana kiongozi, unaweza kuta akawa bonge la kiongozi akawa role modal kwa wenzie. Muda huwa ni mwalimu mzuri sana. Tusubiri kwanza afanye kazi baada ya hapo tutampima
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom