Pongezi kwa Msando DC Mpya wa Morogoro, nakuomba ufanye haya

ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
2,981
2,000
Nakupongeza nikiwa kama mkazi wa Morogoro mjini na nikiwa kama mdau wa mitandaoni na mpenda habari nimekujulia huko kwenye kazu yako ya uwakili.

Naomba ukifika pitia ilani ya chama na angalia vinavyohitajika.

Naomba ukae na meneja wa TARURA nae mgeni, DED atakayeteuliwa, RC mgeni, TANROAD na DAS na RAS mtengeneze malengo ya kazi yako miaka 3 na yawe ni kipimo kwako kwa mkuu wa mkoa. Morogoro tunavyoifahamu inahitaji malengo hayo ili wateule wanapobadilika kuwe na plan isiyobadilika.

Morogoro ni wilaya ya kisiasa na changamoto nyingi zimetanda kwa walio DSM na Watendaji wa Morogoro.

Naomba msisahau haya.

Barabara ya kutoka Kilakala njia panda hadi library iwe ni njia nne.

Km 10 za maingilio ya pande zote za Morogoro basi ziwe za njia NNE. Namaanisha kutoka Kingolwira kuja Msamvu na Msamvu kuja mjini stand ya zamani pawe na njia nne ni Km 10 tu hizo.

Kutoka Mkundi kuja mjini kupitia Msamvu 10KM.

Sangasanga to Mjini ziwe njia NNE.
Iringa road kutoka maungio ya Mazimbu kuja msamvu pawe na Njia NNE.

Ile njia ya kupunguza msongamano wa magari mjini ya Kingolwira Tungi Kihonda ikamilike ili kupunguza msongamano wa magari yanayokwenda Dodoma kupita kwa ulazima Msamvu.

Kama utakumbuka bajeti hii ya sasa sisi wananchi ndio wachangiaji wakubwa wa barabara kupitia hizo tozo za kwenye mafuta kama itakavyo tekeleza na ni kama km KM 60 TU. Tukiacha siasa zetu za ngoja tukae huku tukisaini posho tunaweza kujenga ndani ya miaka 3.

Morogoro panahitaji reserve parking ndeefu za ndani ya mji kwa wenye malori kupumzika au kufanya service ya magari yao. Napendekeza ili mji ukue Mkambarani, Kingolwira, Nanenane, Tungi, Sanga sanga, Mkundi pajengwe road reserve ndefu za MITA 500 yaani 250 kila upande magari yapaki kwa ajili ya mapumziko. Magari hayo yataamsha uchumi wa wakazi wa jirani na mifano ni Tanga michungwani na pongwe. Pongwe imekuwa kwa kupitia magari yanayosimama hata chalinze pia ni wasafiri ndio wanapaamsha.

Kwenye ELIMU, MAJI, AFYA waachie watumishi wao watekeleze ya wizara zao wewe komaa na barabara tutakukumbuka.

Kitu cha kuepuka,
Waepuke wamasai, wanapesa nyingi hawachelewi kukuchangishia mzigo jambo lao lipite.

Natumai utatutendea haki wana MOROGORO.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
nashicha

Senior Member
May 29, 2021
107
250
Huyu msando kwa ulevi ule sijui Kama atamudu mbio za mama maana kanapenda pombe sana halafu ulevi wake hauna staha
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,717
2,000
ofisa,

..umetoa maombi na ushauri mzuri.

..tatizo ni kwamba mkuu wa wilaya hana bajeti ya maendeleo ya wilaya husika.
 
Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
823
1,000
Nakupongeza nikiwa kama mkazi wa Morogoro mjini na nikiwa kama mdau wa mitandaoni na mpenda habari nimekujulia huko kwenye kazu yako ya uwakili.

Naomba ukifika pitia ilani ya chama na angalia vinavyohitajika.

Naomba ukae na meneja wa TARURA nae mgeni, DED atakayeteuliwa, RC mgeni, TANROAD na DAS na RAS mtengeneze malengo ya kazi yako miaka 3 na yawe ni kipimo kwako kwa mkuu wa mkoa. Morogoro tunavyoifahamu inahitaji malengo hayo ili wateule wanapobadilika kuwe na plan isiyobadilika.

Morogoro ni wilaya ya kisiasa na changamoto nyingi zimetanda kwa walio DSM na Watendaji wa Morogoro.

Naomba msisahau haya.

Barabara ya kutoka Kilakala njia panda hadi library iwe ni njia nne.

Km 10 za maingilio ya pande zote za Morogoro basi ziwe za njia NNE. Namaanisha kutoka Kingolwira kuja Msamvu na Msamvu kuja mjini stand ya zamani pawe na njia nne ni Km 10 tu hizo.

Kutoka Mkundi kuja mjini kupitia Msamvu 10KM.

Sangasanga to Mjini ziwe njia NNE.
Iringa road kutoka maungio ya Mazimbu kuja msamvu pawe na Njia NNE.

Ile njia ya kupunguza msongamano wa magari mjini ya Kingolwira Tungi Kihonda ikamilike ili kupunguza msongamano wa magari yanayokwenda Dodoma kupita kwa ulazima Msamvu.

Kama utakumbuka bajeti hii ya sasa sisi wananchi ndio wachangiaji wakubwa wa barabara kupitia hizo tozo za kwenye mafuta kama itakavyo tekeleza na ni kama km KM 60 TU. Tukiacha siasa zetu za ngoja tukae huku tukisaini posho tunaweza kujenga ndani ya miaka 3.

Morogoro panahitaji reserve parking ndeefu za ndani ya mji kwa wenye malori kupumzika au kufanya service ya magari yao. Napendekeza ili mji ukue Mkambarani, Kingolwira, Nanenane, Tungi, Sanga sanga, Mkundi pajengwe road reserve ndefu za MITA 500 yaani 250 kila upande magari yapaki kwa ajili ya mapumziko. Magari hayo yataamsha uchumi wa wakazi wa jirani na mifano ni Tanga michungwani na pongwe. Pongwe imekuwa kwa kupitia magari yanayosimama hata chalinze pia ni wasafiri ndio wanapaamsha.

Kwenye ELIMU, MAJI, AFYA waachie watumishi wao watekeleze ya wizara zao wewe komaa na barabara tutakukumbuka.

Kitu cha kuepuka,
Waepuke wamasai, wanapesa nyingi hawachelewi kukuchangishia mzigo jambo lao lipite.

Natumai utatutendea haki wana MOROGORO.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Duh! Waepuke wamasai? Ushauri mbaya sana katika hadithi yako hii. Mwambie namna ya kufanya nao kazi. Sio kuwaepuka. Wamasai wa Tanzania are very less political na hawafanyi jambo kwa ajili ya kumuumiza yeyote. Mara zote hufanya jambo kwa ajili ya their common good.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom