Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali yetu ikiwa inaangalia namna ya kuongeza vyanzo vipya vya mapato kwa ajili ya kukuza Uchumi na kuboresha huduma za kijamii kama maji, umeme, afya na elimu, hivyo kama wananchi hatuna budi...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha,John Mongela amewapisha wakuu wapya wa wilaya katika Mkoa wa Arusha na kuonya kuacha kiburi na majivuno wanapokuwa madarakani bali wajenge umoja na mshikamano katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakusalimu kwa jina la JMT Jana mheshimiwa rais ulitoa mkeka wa ma-DC.Pongezi kwa waliobahatika kwenye huo mkeka. Kwa upande wetu sisi maskini,Mikeka yetu ni ya aina nne zifuatazo: 1.Ualimu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwanasheria nguli amekuwa mbogo na kutaka watu kutozua uongo kuwa hamkosoi mama Samia kuwa anakubaliana nae. Bali ametaka watu wamshauri ili waliompiga risasi wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Pia...
24 Reactions
161 Replies
12K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel Luhumbi ameagiza uchunguzi dhidi ya upotevu wa Tsh. Milioni 353.2 zilizotekwa kwa ajili ya maendeleo ya Wilaya ya Sengerema lakini hazikutumika. RC amesema...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Ushauri wenu wakuu! Ni DC mteule. Ila kwa bahati mbaya naona hii fursa ni mwiba mkali kwa kesho (future) yangu, nafikiria kuipiga chini. Nimefikiria sana hadi sasa bado sijafikia uamuzi...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi. Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani...
20 Reactions
66 Replies
7K Views
Ninashauri ni wakati wa serikali kufikiria namna nzuri kufanya teuzi mbalimbali katika nafasi za serikali kwa kuzingatia uzoefu wa Kazi serikalini, uadilifu ili kutengeneza uzalendo. Kwa mfano...
45 Reactions
106 Replies
9K Views
DPP kuachia mabilioni ya fidia Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Sylvester Mwakitalu akizungumza na waandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd wakati wa mahojiano maalumu Ofisini...
2 Reactions
78 Replies
8K Views
Nimekuwa nikijiuliza mawaswali mengi pamoja na hayo ya utanguzi. Je, hii inatokana na Katiba mbovu? Au wananchi hatuzijui haki zetu ndani ya Katiba? Viongozi Wana kiburi Cha madaraka? Maana...
1 Reactions
1 Replies
925 Views
Ndugu wa Sabaya pamoja na marafiki zake na watu wa chama wanajiwekea utaratibu wa kumhudumia mtuhumiwa aliyeko mahabusu kinyume kabisa na taratibu na tunaamini Kuna usawa? Aliyeruhusu mpishano wa...
10 Reactions
52 Replies
6K Views
Wakati makusanyo ya mapato katika wilaya ya Kakonko kwa mwaka 2020/21 yalikua ni Milioni 539, ujenzi wa nyumba ya mkuu wa wilaya umetengewa milioni 700. Fedha hizi ni mara tatu ya fedha...
19 Reactions
80 Replies
8K Views
Salaam, Nimekuwa nikiona mijadala mingi baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia S. Hassan, kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya siku ya Jumamosi, tarehe, 19.06.2021. Kabla wengi...
0 Reactions
3 Replies
923 Views
Kwanza napenda kuwapa hongera, hongereni sana kwa wote mlioteuliwa kuwa maDC nendeni mkachape kazi. Wote mlioteuliwa mimi nawafahamu vizuri ni vijana mnaojituma sana kwenye jamii. Jamii...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MKOA MPYA NA MAKAO MAKUU MAPYA NYAKANAZI: Anaandika Msakila M Kabende - Economist KWA WAHESHIMIWA:- (i). Aloyce Kamamba - Mbunge wa Jimbo la Buyungu (ii). Ezra John Chiwelesa - Mbunge wa Jimbo la...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari Wakuu, Watu wa Arusha inaonekana bado wanamhitaji sana Jerry Muro. Nimepitia Kwenye blog moja hivi kuna habari nimesoma watu wa Arusha wanaomba Jerry Muro arudi Arusha awe Mkuu wa Mkoa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi. Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu...
22 Reactions
199 Replies
16K Views
Habari wakuu, Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote...
10 Reactions
62 Replies
7K Views
Kwa machozi na damu nchi yetu inahitaji muelekeo mpya. Mwelekeo wa kuwaandaa watu wetu na mabadiriko ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Katika ndiyo mwarobaini. Katiba itakayomtambua na...
6 Reactions
14 Replies
867 Views
SPIKA kuna baadhi ya sheria kandamizi na za ovyo sijui zilipitaje. Yeye ndiye alikuwa Spika. RAIS Bunge halina afya kabisa. Ameona nini? N/SPIKA Wabunge wanapiga sana kelele,wabunge...
0 Reactions
7 Replies
928 Views
Back
Top Bottom