Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Je, Heshima ya Cheo cha Ukuu wa Wilaya imepanda au imeshuka? 2. Je, mwenye Umri wa Miaka kuanzia 45 au 50 anastahili kuitwa Kijana? 3. Je, Kuteua Makundi Maalum Kiuweledi ( Professionally )...
35 Reactions
96 Replies
11K Views
Hawa ni Wasomi kutoka Stanford University na mungine Harvard University Prof Lipumba, Huyu ameishi Stanford University na Kufundisha hapo, Gharama za kusoma chuo hicho ni zaidi ya dollar za...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawapongeza wote mliopata bahati ya kuteuliwa kuwa wakuu wa wilaya. Hongereni sana. Kazi mliyopewa ni kubwa sana na enzi za kale (Kabla ya Kirsto) nafasi hizi walipewa vijana wenye akili na...
1 Reactions
2 Replies
559 Views
Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Naendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao! Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naona wote aliowarubuni Mwendazake kuihama Chadema waamekuwa rewarded. Hii ni kuwa encouragement ya wengine wavihame vyama vya upinzani in anticipation ya kupata vyeo. Tutegemee wimbi jipya la...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanabodi Salaam, Naandika haya nikitambua kuwa kwa Mamlaka ya Rais. Rais hatalazimika kufuata ushuri wetu pindi atakapo kuwa akitimiza majukumu yake kwa mujibu wa katiba. Hata hivyo ni muhimu...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Na Thadei Ole Mushi. 1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
KWA UTEUZI HUU UNAOENDELEA KUFANYWA NA RAIS WA JMT MAMA SAMIA, TANZANIA ITAKAA SAWA. Kwanza nimpongeze Mh Rais kwa uteuzi alioufanya ilikuendelea kusuka kikosi kazi chake chenye lengo la kuleta...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Uteuzi wa Dr Mashinji Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA kuwa DC ni kama kushushwa thamani. Ikumbukwe Dr Slaa alizawadiwa Ubalozi baada ya kuasi chama.Hii iliinyesha namna Serekali ilivyomchukulia Dr...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Uteuzi wa komredi Kheri James Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa (UVCCM) na Dr. Mashinji kuwa wakuu wa wilaya hii ni demotion( Kushushwa Vyeo), kwani hawa walikuwa viongozi wa juu na sasa...
10 Reactions
50 Replies
6K Views
Wengi ni wageni kabisa. Hawajawahi kabisa kufanya utumishi wa umma wala ABC za kuongoza wilaya. Ni vema wapigwe klash program Ili wafanye kazi yao kwa weledi. Tunahitaji viongozi ambao maendeleo...
3 Reactions
5 Replies
782 Views
La muhimu ni kwa Rais Samia kwa hii miaka minne, au mitatu, aipatie Tanzania katiba mpya. Asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025, hilo si lake. Awaachie wenyewe. Zaidi ajikite kwenye kuwekeza...
11 Reactions
76 Replies
7K Views
Kumekuwa na ubishi kuhusu kama kwa sasa Samia Suluhu anaongoza awamu ya tano au ya sita. Labda hilo sio jambo la maana. Jambo la msingi ni kwamba rais Samia Suluhu anaongoza awamu ambayo...
7 Reactions
93 Replies
8K Views
Ilitakiwa iwe hivi. Uwaziri uwe ni kazi ya utumishi, mtanzania mwenye elimu ya juu inayoendana na hiyo wizara, mwenye uzoefu na mwenye sifa za kuongoza wizara hiyo atume maombi kuomba kazi ya...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Makamanda baada ya orodha ya wateule ma DC kutoka kila mmoja ameanza kejeli ooh UVCCM wametoswa wamechukuliwa waliounga juhudi. Tatizo liko wapi, kwanza ni Watanzania sio Wakenya. Pili, mbona...
3 Reactions
7 Replies
677 Views
CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa...
32 Reactions
87 Replies
6K Views
Tulizoea toka enzi ya Nyerere mawaziri walikuwa wanadumu kipindi kirefu utadhani hakukuwa na watanzania wengine wenye uwezo wa kufanyakazi Tunaweza sema alikuwa anaweka misingi imara ya nchi ktk...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hakika yule aliyewahi kusema "Madara yanalevya, madaraka makubwa yanalevya zaidi" hakukosea Ukuu wa wilaya unahitaji mtu mbunifu, ukirizika na nafasi uliyoteuliwa utaishia kuishangaza jamii na...
6 Reactions
7 Replies
956 Views
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela, amesema kuwaza kuajiriwa kwa kijana anayehitimu chuo ni utumwa. Je, unakubaliana naye? Chanzo: EATV
5 Reactions
224 Replies
19K Views
Back
Top Bottom