Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haiwezekani kichwa kilichojaa nondo na busara kama Pascal Mayalla kiwe kwenye teuzi na kundi moja la wanasiasa kama hawa. Ukiangalia majina yalivyotoka ni wazi kuwa majina anapelekewa mwenye...
17 Reactions
63 Replies
7K Views
Katiba ya sasa ya Kenya ilipunguza kwa kiwango kikubwa sana vyeo vya kugawa kama Karanga. Katiba ya Kenya bado naamini ni moja ya katiba bora Africa na ni nchi chache Africa zina katiba ya aina...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna msemo wa waswahili kuwa mafahari wawili kamwe hawakai zizi moja. Hiyo ilijionyesha Iringa kati ya DC Kasesela na Mbunge mchungaji Msigwa. Leo hii Kasesera tayari amesha hamisha kila kilicho...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kipekee nampa Pongezi Heri James kwa kuteuliwa kuwa DC wa Wilaya ya Ubungo. Wananchi wa Ubungo wana imani kubwa na wewe haswa kwa uzoefu ulio nao na maono uliyo nao, ulifanya kazi kubwa ulipokuwa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Bila shaka aliyekuteua anafahamu machache sana kuhusu wewe ila mengi unayo wewe mwenyewe kwenye akili na moyo wako. LAKINI bila shaka aliyekuteua katanguliza IMANI kwako kuwa utaweza kumsadia yeye...
1 Reactions
0 Replies
702 Views
Nimeona umeandika ujumbe katika mtandao wa twitter huku ukimshushia tuhuma nzito yule RC wa zamani mwenye kashifa nyingi pengine kuliko wote. Wasiwasi wangu ni wahusika kukuhitaji wakitaka utoe...
16 Reactions
77 Replies
9K Views
Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi...
11 Reactions
51 Replies
13K Views
Kwanza nianze kwa kunena kuwa kwa mujibu wa muundo wa uongozi kwa katiba tuliyo nayo kwa sasa ni sahihi kuwa na wakuu wa wilaya. Kwa vile sasa tuko awamu mpya (ya awamu ya sita) ni sahihi pia kwa...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
TUJIKUMBUSHE: Maalim Seif alipata kunena haya > Maalim Seif: Ni afadhali nikae meza moja na CCM kuliko kukaa na Lipumba ====== Mwenyekiti Kamati ya muda ya uongozi wa CUF, Julius Mtatiro...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema watu wenye tabia ya kuunga mkono kila wakati ni wasaka fursa na hawana msaada wowote katika nchi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwakitalu, amekanusha habari zinazodai kwamba atarudisha mabilioni ya fedha za fidia zinazolipwa na washtakiwa wa makosa ya jinai wanaokiri mashtaka yao. Zaidi, soma; 1). MCL: DPP kurudisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wakuu, leo mda wa usiku wa manane sana baada ya kushtuka usingizini nikalala tena pamoja na kuota ndoto lakini Kuna ndoto nimeiota kwa msisitizo mkubwa Hadi nimeamka asubuhi nikiwa na...
4 Reactions
11 Replies
792 Views
Mh.Rais najua nimechukua hatua kubwa sana kukushtakia huyu bwanamdogo .anaekaimu Ofisi ya DSO Kiteto .anawaita watumishi Ofisini kwake na kuwatishia kuwapiga, vitisho visivyo na msingi...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
Lile genge maarufu lililoibukia tokea tarehe 09/03 baada ya fudenge kupiga kapu teke bado lingali lina nguvu. Ni jana tu wametoka kufanya kikao cha siri, hawa ni watu hatari sana kwa taifa letu...
27 Reactions
52 Replies
7K Views
Hii inafikirisha sana. Hivi inawezekanaje jambo hili. Kwamba nchi nzima watu wenye uwezo kuongoza wanatoka au kukaa Dar pekee. Pia uteuzi umeshindwa kubalance makundi ya kijamii. Tunajua haiwezi...
11 Reactions
65 Replies
5K Views
Kuna watu wanalalamika kuhusu Uteuzi wa Ma DC. Hebu tuongea Kidogo hapa..... Na Thadei Ole Mushi 1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza...
11 Reactions
52 Replies
6K Views
Serikali ya Tanzania imesema kuna viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona kuingia nchini kutokana na nchi jirani wananchi wake kuzidi kupata...
13 Reactions
113 Replies
9K Views
Asaalaam Aleykum wabarakatu! Awali ya wote nikupongeze kwa kazi nzuri mama yetu Mh. Rais pia nikupepole kwa kazi hio ngumu. Niende kwenye mada mama, nakuomba au nnaimani umepita pita mitandaoni...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Mh Rais kwa asili ya watu wa haya maeneo fujo, ubabe na kulindana pia hizi wilaya kuna baadhi ya wakulima wa bangi ,watumiaji na wasafirishaji na wizi wa mifugo, uvamizi na unyang'anyi wa kutumia...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanabodi, Unapotoa ushauri fulani ukapuuzwa, katika ushauri huo ukashauri the right thing to do na matokeo ya kutofuatwa kwa ushauri huo, halafu baada ya kupata matokeo, sasa ndio wanaamka...
9 Reactions
71 Replies
7K Views
Back
Top Bottom