Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu nimeona Waziri Waitara akihangaika na Watu wa Latra ili kuondoa urasimu wa kupata leseni za usafiri siku hizi unaomba kupitia mfumo wa online lakini imekuwa ni mateso makubwa kwakuwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mhe. Waziri wa Utumishi, ili kuondoa manung'uniko, upotashaji na sintofahamu iliyotokea baada ya mishahara ya mwezi huu wa June kutoka huku baadhi ya watumishi wakiwa wamepandishwa madaraja na...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Je, msimamo wa bunge kuhusu mradi mkubwa wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni upi? Nawatakia Dominica yenye baraka!
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa Serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM. Lakini CHADEMA wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili...
15 Reactions
29 Replies
3K Views
Mradi wa Bagamoyo ni drama za ajabu sana huwezi kupata faida kwenye mkataba kama unaongea na mwekezaji mmoja tu. Kama China na Oman wanajua wako peke yao serikali itakuwa kwenye wakati mgumu sana...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Chama cha Wamiliki Malori Tanzania(TATOA) Wameiomba Serikali kuingilia kati Sheria iliyotungwa Zambia ya kusimamia Uingiaji na utokaji wa Mizigo Nchini Zambia. Sheria hiyo inataka...
6 Reactions
51 Replies
8K Views
Ndugu zangu, Aidha kwa kujua au kutokujua ndugu Lissu kageuzwa bidhaa au chanzo cha kupata hela. Kwenye miji na majiji kumeibuka mtindo wa watu wenye ulemavu au wanaoongopa ulemavu kusukumwa...
6 Reactions
82 Replies
6K Views
July 19, 2019 Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma, ameelezea ziara yao ndefu ya kikazi mikoa ya kanda ya ziwa iliyoanza mapema Julai 4, 2019. Mahakama imebaini aina ya adhabu...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanabodi habari za mchana. Huu uzi nauandika ili umsaidie kaka yangu Melo!! Mimi ni mdau wa JF kwa muda mrefu sana nimesoma nyuzi nyingi humu na zimenisaidia sana kama Mtanzania japo imenichukua...
7 Reactions
66 Replies
5K Views
Wengi watashangazwa na na mada ya hapo juu. Taratibu fuatilia Tare 21/04/2021 siku ya juma tano, Dada yangu Fatma Said alifariki dunia Nchini Ethiopia akitokea Dubai kuja Zanzibar (Tanzania)...
53 Reactions
299 Replies
21K Views
Mh Jokate ndo kwanza una wiki ya kwanza kwenye wilaya hii baada ya uteuzi. Nakushauri ungeanza kujikita na kufanya assesment ya matatizo mbalimbali kwenye wilaya yako na kuyatafutia tiba. Instead...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Wazee. Mnakumbuka zile heka heka za gesi ya Mtwara? Kipindi hicho Kinyerezi kulikuwa busy si kawaida. Haya, Mama yetu tuambie hayo manufaa ya gesi kwa Wananchi wa kawaida ni upi? Wana Mtwara...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona. Hii ni kulingana na ripoti ya kila mwaka ya faharasi ya amani duniani iliyochapishwa Alhamisi na taasisi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni kawaida kwa Rais, mara tu anapoanza awamu yake ya uongozi, kuteua Waziri Mkuu wake,mtu anayemwamini,atakayeenda na falsafa yake, bila kumuwekea makundi. Marais huwa wanaachana na Mawaziri...
9 Reactions
53 Replies
5K Views
Ninakishangaa sana chama ambacho ndicho kinatakiwa kua kinara katika kutii katiba ya nchi lakini kinafumbia na kukumbatia mambo ya ajabu kabisa. Ni uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi kuona...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Poleni na Majukumu ya kikazi. Katika kuijenga nchi yetu nzuri Tanzania. Moja kwa moja kwenye. Haya ni maoni yangu binafsi. Kama mwananchi wa Tanzania niliye na Uhuru wa kutoa maoni. Kama...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni CHADEMA. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo. Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda...
10 Reactions
110 Replies
13K Views
Kumekuwa na movement na msukumo kutoka makundi mbali mbali ya kutetea haki za nimadamu, NGO na vyama vya siasa hasahasa vya upinzani kutaka katiba mpya. Ni jambo zuri sana japo kwa upande wa CCM...
0 Reactions
12 Replies
808 Views
Na Emmanuel J. Shilatu Tunaendelea kumulika mambo mengi yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kuona namna alivyoupiga mwingi ndani ya siku 100 za utawala...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Bajeti yetu ya mwaka huu ni jumla ya dola za Kimarekani 14.1 Billioni Bajeti ya Kenya ni jumla ya Dollar 30 Billioni. Bajeti ya Kenya kwa miaka mingi imekuwa zaidi ya bajeti ya Tanzania zaidi ya...
7 Reactions
107 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…