Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana Jukwaa Bingwa, Miradi ifuatayo imetupwa kapuni au giza limetanda wananchi hawaoni? 1. Barabara ya mzunguko (Ring road) Km 100-Dodoma 2. Uwanja wa Michezo wa Kimataifa (Dodoma International...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Inaripotiwa kuwa jijini Arusha kada maarufu wa Chadema John Mushi almaarufu "kadogoo" usiku wa kuamkia jumatatu tarehe 21 June, 2021 nusura ajiue kwa sumu baada ya waliokuwa wabunge...
19 Reactions
86 Replies
7K Views
Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa...
26 Reactions
174 Replies
15K Views
Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro. Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani. Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni...
29 Reactions
101 Replies
8K Views
Igweeeee baada ya mama kukutana na wajumbe ya kamati kuu na kulalamikiwa sana kwamba ametusahau UVCCM Sasa mama ameamua na kuahidi kwamba tuwe wapole nafsi hizi zinatoka kwaajili ya makada na...
0 Reactions
2 Replies
546 Views
Mh. Rais, umekamilisha teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya. Na sasa bado nafasi za wakurugenzi wa Halmashauri, miji, manispaa na majiji. Teuzi zilizotangulia, zilikuwa ni teuzi za ulaji na shukrani...
19 Reactions
36 Replies
5K Views
Wamekimbia vituo vyao, wamejazana Dodoma eti wanasema wanapigana ili warudi. Vituo vingi vinakaa bila watu, kazi hazifanyiki. Wapo huko wanaingaikie teuzi
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari za mda huu wakuu. Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada. Na Mimi pia naafiki ipo siku...
4 Reactions
84 Replies
7K Views
Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi. Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki...
18 Reactions
75 Replies
6K Views
Maafisa ardhi wanataka kuiingiza serikali kwenye mgogoro mkubwa na wamiliki wa viwanja wanaovimiliki kwa title deed za miaka 66 huko kizwite. Maafisa ardhi wanashirikiana na matapeli wa ardhi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Upinzani kwenye serikali yoyote ile ni lazima uwepo ili kuharakisha Maendeleo, achana na yale maneno eti upinzani ulituchelewesha. Miaka yote CCM wanatawala wao ila hakuna jipya zaidi ya...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watapendekeza kuanzisha chjombo cha msuluhishi wa masuala ya kikodi ili kuepuka kero zilizopo. Mwigulu amesema hali ilivyo kwa sasa mtu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati umefika sasa kama kweli tunataka maendeleo basi hatuna budi kuachana na kufanya kazi kwa mazoea. Wakurugenzi ni watu wenye taaluma ni wakati sasa watu wote wanaotaka kazi ya ukurugenzi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
One of the biggest problem decelerating development of oil and gas sector in Tanzania is negotiation with investors who have willing to make an investiment. In reality negotiation processes are...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Kuna kitu ambacho sikielewi kwa hawa viongozi wetu hususani katika Muhimili wa Bunge, hawa wabunge hawalipi kodi yoyote katika posho zao na wanapokea posho nyingi tu ambazo hazina makato. Lakini...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajanvi napenda kuweka kumbukumbu ya jinsi nilivyopiga kura baada ya mfumo wa vyama vingi kurudi. Hii ni kwa ajili ya kura za urais tu 1. Mwaka 1995 - Augustino Mrema 2. Mwaka 2000 - Prof...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo Spika wa Bunge, Job Ndugai amempiga mkwara waziri wa maliasili na Utalii kutokana na kukanusha vifo kwenye hifadhi nchini, Spika amesema kabla huko nyuma alikuwepo Kagasheki ambae nae...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumekuwepo na ongezeko la mauaji ya raia yanayosababishwa na askari wa wanyamapori na wale wanaolinda hifadhi za taifa. Hii siyo picha nzuri na imewafanya wananchi wanaoishi maeneo hayo kuishi...
0 Reactions
1 Replies
955 Views
MTOZI! Ni mda muafaka sasa wafuatao waalikwe kwenye kipindi chako ili uwasukumie maswali. Wabunge 19 Spika Mahera Waziri wa Sheria Msajili wa Vyama Takukuru Katibu wa Bunge Mwanasheria wa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
📍Dodoma KAMATI Kuu ya Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), itakutana kesho Jumanne, tarehe 22 Juni 2021, jijini Dodoma Chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan.
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Back
Top Bottom