Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni CHADEMA. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es Salaam hivyo total lockdown iwekwe.
Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?
Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.
My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.