Rais Samia, tujifunze kwenye gesi. Je, manufaa ya gesi yapo wapi kwa Wananchi wa kawaida?

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,036
1,782
Wazee.

Mnakumbuka zile heka heka za gesi ya Mtwara? Kipindi hicho Kinyerezi kulikuwa busy si kawaida.

Haya, Mama yetu tuambie hayo manufaa ya gesi kwa Wananchi wa kawaida ni upi?

Wana Mtwara vipi wanafaidika na gesi? Tujifunze kwenye gesi
 
..ajifunze pia kwenye manunuzi ya ndege.

..atcl inaendeshwa kwa hasara kila mwaka.
 
hayo majib hata wizara ya nishati yanapatikana. Unaweza kwenda pale wizaran wakakupa in details hayo majibu
 
Ni roho mbaya tu ya marehemu ili mtangulizi wake afadhaike. Hakuna umeme wa uhakika kama wa gesi. Huu wa maji kuna siku tutakumbushana.
 
Wazee.

Mnakumbuka zile heka heka za gesi ya Mtwara? Kipindi hicho Kinyerezi kulikuwa busy si kawaida.

Haya, Mama yetu tuambie hayo manufaa ya gesi Kwa wananchi wa kawaida ni upi?

Wana Mtwara vipi wanafaidika na gesi? Tujifunze kwenye gesi
Umeshajifunza kwenye uwanja wa chato kwanza?
 
Ni roho mbaya tu ya marehemu ili mtangulizi wake afadhaike. Hakuna umeme wa uhakika kama wa gesi. Huu wa maji kuna siku tutakumbushana.
Gesi ina muda mkuu, tuache porojo.

Kuna mtambo wa kwanza kabisa duniani wa kuzalisha umeme ulianza kuzalisha mwaka 1882 na mpaka leo huko marekani bado wanautumi, so ukileta issue nyeti tumia akili kuelewa which is which, gase inaweza kutumika kwa miaka 50 then ikadrop maji je?.
 
Mkuu unajua maana ya Bwawa kujaa mchanga/udongo/matope?
Hiyo gasi unajua kiwango chake ni muda gani?
Hakuna chenye mwanzo kisichokuwa na mwisho.
 
Wazee.

Mnakumbuka zile heka heka za gesi ya Mtwara? Kipindi hicho Kinyerezi kulikuwa busy si kawaida.

Haya, Mama yetu tuambie hayo manufaa ya gesi Kwa wananchi wa kawaida ni upi?

Wana Mtwara vipi wanafaidika na gesi? Tujifunze kwenye gesi
Mikataba yote imepigwa password unategemea nini zaidi ya kutoka matenga
 
Back
Top Bottom