Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nasikitika sana, na ninakishangaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kujiona kuwa kina hati miliki ya nchi na wananchi. Eti CCM kinasema hakina mpango na Katiba mpya. Ambayo hata walio asisi hii nchi...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Kati ya matatizo tunayoyaona leo kwa wateule wanaopewa nafasi za uongozi nchini mwetu ni kushidwa kuelewa majukumu ya kazi zao mpya, maadili na nini maana ya viapo vyao kabla ya kuingia ofisini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mhe Rais nadhani huu Ni muda sahihi wakujua ni mteule yupi uliyemteua anaishi fikra zako na yupi anaishi fikra za tumbo lake na familia yake. Watumishi wachache wa Umma wamegawana kumbi za...
11 Reactions
47 Replies
5K Views
Baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hasani kuruhusu chanjo ya COVID-19 nchini baada ya kushauriwa na watalaamu wetu, na kwamba mashirika ya kimataifa yalioko hapa nchini yanaruhusiwa kufanya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki ni lini na kwa namna gani Mbowe, Lipumba na Mbatia walikwamisha "nia njema ya CCM" ya kuunda katiba mpya. UVCCM hebu mjifunze kusoma matukio hata kama mlikua...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Mimi kama mwana CCM namfahamu sana Mchopanga nje ya tasnia ya filamu, Mchopa ni msomi mzuri wa chuo Kikuu. Wasanii wote wa kampeni mtu anaye organize ndani ya CCM ni Mchopanga, Huwezi tenganisha...
18 Reactions
48 Replies
15K Views
Taarifa kutoka ikulu ya uteuzi wa wakuu wa wilaya ya ubungo na Mtwara
0 Reactions
81 Replies
26K Views
Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti. Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Mnamo mwaka 2015 kutokana na nchi ilipokuwa imefikia wengi tulitaka nchi iende UKAWA ( Umoja wa Kitaifa Wa Wapinzani). Kilichotokea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Ni wengi hatukutarajia. Jaji...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi baada ya kuchekecha nimeona hii kauli iliyo tolewa na bwana yule kule Bukoba baada ya watu kupata maafa ya tetemeko wakiomba msaada yeye akiwajibu kijeuri akisema hivi "Kwani Mimi ndio...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo leo Bungeni amesema mwaka kesho serikali itashindwa kuwapeleka watoto Form one kwenye shule za serikali kwasababu mpango wa elimu...
6 Reactions
82 Replies
8K Views
Ni swala la demokrasia tu. Marais wanastaafu wakiwa bado na nguvu mfano Dr Shein na JK. Hata mh Karume,mh Sumaye na mh Pinda hata yule Vuai Nahodha wa Zanzibar bado wako fiti. CCM ingebadili...
0 Reactions
3 Replies
945 Views
Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa ametikisa mji wa Musoma Mjini Leo kwa kufanya mkutano mkubwa wa historia katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo! Tazama picha mbalimbali...
33 Reactions
450 Replies
55K Views
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM inatarajia kukutana kesho Jumanne Juni 22, 2021 chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Matunda ya maono mazuri ya gwiji wa siasa za upinzani nchini (Mwamba) Mh. Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kuwekeza kwa Rasirimali watu haswa wasomi vijana leo imekuwa na...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanabodi, Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais. Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote...
19 Reactions
78 Replies
6K Views
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa kampuni za Wilmar International ya Singapore, Kuok Khoon Hong. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione.. Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'.. Mwenye nayo please naomba...
10 Reactions
82 Replies
19K Views
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka...
114 Reactions
324 Replies
31K Views
Naomba kuwakumbusha Wana jukwaa MCHAKATO wa Katiba Mpya ni Ajenda ya CCM wakati wa awamu ya nne Chini ya Rais Mstafu Jakaya Mrisho Kikwete Chini ya utashi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom