NIMKUMBUSHE MCHUNGAJI MWINGIRA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Wiki hii kumekuwa na video ambayo inazunguka ikimuonyesha Mchungaji Mwingira (mpakwa mafuta) akiwa kanisani akihubiri Waumini wake...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Mwanza anatafakari kuhusu Ramani ya Kimkakati (Strategy Map) iliyo muhtasari wa ukurasa mmoja wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 (uk. 70)...
Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania akiwasili Bungeni Kusoma Bajeti ya Serikali 2021/22
I. USULI: KWA NINI NAANDIKA BANDIKO HILI?
Bandiko langu lisemalo “Rais...
Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?
Kwanini imeacha jukumu la Msingi la kuanzishwa...
Kwa hakika wazee wetu hao wamekufa na kamwe hatutawaona tena na huo ndiyo ukweli!
Lakini pamoja na vifo vyao ukweli ni kwamba kuja kumpata Rais mwenye maamuzi na asiye mwoga wa matendo na kufanya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.
Nadhani katiba ya Mgeleza Malikia Eliza kwa miaka takribani sabini sasa inatosha, ipo haja ya kuwa na katiba ya watanzania na si ya Mgeleza wala wanasiasa.
Pia swala la muungano litazamwe upya kwa...
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt. Charles Stephen Kimei akizungumza na Azam TV ameeleza umuhimu wa serikali kuanzisha mfuko maalum wa kuwawezesha wajasiriamali na wafanyabiashara wa kati kwa...
Kwa Mheshimiwa Waziri wa Fedha na Mipango.Kwa kuwa vilabu hivi viwili yaani Simba na Yanga (Young Africans) ni vilabu vikubwa vya mpira wa miguu tena vina wapenzi kwa mamilioni nazo zitozwe kodi...
Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa badala ya kukimbilia kutoa MATAMKO kwenye mitandao ya kijamii. Vijana UVCCM wamekosa Elimu ya siasa ambayo ilikuwa inawaanda kuwa viongozi wa baadae...
Ukikutana na Kulwa Kikumba kwenye corido za Lumumba hujitambulisha kama Chief Connector na kwamba kama unahitaji fursa ni lazima upitie kwake.
Ndio nauliza hao machief connector wapo hadi taifani...
Mabibi na mabwana ni ukweli usiopingika kuwa kesho yetu iliyo bora zaidi inategemea sana uwepo wa katiba mpya. Kwa hali tuliyofikia kunahitajika zaidi mustakabala mpya wa utangamano. Ni wazi kuwa...
Hii imekaaje ?
Mtu anachaguliwa nafasi fulani, anafanya baada ya muda anajiuzulu kwenda kutafuta nafasi anayoitaka mwenyewe.
Cha kushangaza mtu huyo huyo teuzi nyingine zikifanyika unamuona...
Bila ya kuwa na chuki na mtu yeyote, ukweli ni kwamba Mama Samia ana bahati kubwa kwenye utawala wake.
Bahati yake kubwa ni utawala uliomtangulia. Utawala uliomtangulia ulikuwa ni utawala wa...
Nime towa wazo hilo ili utendaji una weza kuwa mzuri.
Kwanza nataka kujuwa hawa wakuu wamikowa na wakuu wawilaya wana ingia wapi katika serikali
Kuna madiwani ambawo huchaguliwa na watu hawa...
Nimejaribu kufikiri ni kwanini asilimia kubwa ya fedha za serikali znaishia kwenye matumizi ya kawaida, mojawapo ya sababu niliyoona ni uwepo wa utitiri wa viongozi wengi kwenye ngazi za juu hasa...
Nazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki...
Nimejitahidi kupitia kidogo rasimu ya katiba mpya ambayo kila mtanzania mwenye utimamu anatamani ipite.....
Sasa naomba maelezo kidogo wakuu kuhusu suala la muungano je kutakuwa na serikali...
Tanzania imebahatika kuwa na mwambao mrefu sana wa bahari kuliko nchi nyingi barani Africa. Sisi tuna Zanzibar yote iliyozunguukwa na bahari, tuna Tanga mpaka Mtwara maji ya bahari tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.