#COVID-19: TUWAJIBISHANE
Mnamo Tarehe 28/3/2020 niliwaeleza Watanzania kuwa nimemwandikia barua Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumshauri mambo makubwa 8 ili nchi yetu iweze...
Mwalimu Mwakasege ambaye leo anamalizia semina yake ya siku 4 kwa njia ya mtandao amesema dalili za Corona ni zilezile zinazokuwepo kwenye magonjwa mengine tofauti yake ni moja tu Covid 19 imejaa...
Kwa kweli hii nchi ilikuwa imefikia pabaya kwa baadhi ya makundi kutoa lugha za kashfa,dharau ,ubabe ,matusi kisa kumlinda au kumtetea mwendazake na maovu yake
Kuna mtu anatokea kanda ya ziwa...
Baadhi ya shule za private wanawasumbua wazazi dakika za mwisho mwisho
Mtoto anasoma kidato cha kwanza - cha tatu anapoingia kidato cha nne akipata div two au three anaitwa mzazi anaambiwa...
Tundu Lissu akipelekwa Nairobi
Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kuwa mvutano kuhusu Bunge kukataa kulipia gharama za matibabu yake kwa kukiuka taratibu za matibabu ya Wabunge na...
Kabla ya kutokwa na mapovu ni vema mkaisoma hii kitu mnapokuwa mnakazana kuinua uchumi wa nchi yetu. Nawaletea kwa Ufupi:
Overview Structural adjustment programs (SAPs) are a package of economic...
Ndugu wanachadema,
Miongoni kwa mipango mikubwa iwe nikujenga ofisi za chama (CHADEMA HQ)
Hapa ni mapendekezo ya mikoa:
1. MOROGORO
2. SINGIDA
3. KIBAHA.
4. DODOMA.
Kipaumbele ni No 1...
Wakuu mnogage.
Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo...
Hayati Magufuli alihudhuria Ibada za Wakatoliki karibu kila Jumapili hadi alipopotea tukaanza kumtafuta. Hakuna cha Padre wala Askofu aliyewahi kusimama mbele yake akamwambia maneno kama...
Namshukuru Mungu kwa siku ya leo kurejea CHADEMA rasmi. Kwa heshima kubwa Namshukuru Mungu kwa tukio la leo.
Namshukuru sana Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa heshima kwa kunikabidhi kadi mbele ya...
Hapa nina mawazo/maoni juu ya fedha iliyochangwa na wapenda haki na demokrasia ya kweli ili ninyi muwe huru kupigania demokrasia.
PESA HIYO IWE KWENYE MOJA YA;
1. Kujenga ofisi ya kisasa makao...
Things have changed for the better - so far - under Tanzania's new President Samia Suluhu Hassan, but it's too early to say for sure, says Maxence Melo, founder of Jamii Forums. Tanzanian laws...
Niliposoma gazeti la MWANANCHI la leo ni kuwa yupo DC mmoja mteule ambaye anatokea kwenye tasnia ya wasanii ambaye alienda nchini India kwenye chuo kikuu cha Bangalore akisomea shahada ya kwanza...
Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano.
Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la...
Kipimo Cha kujua kweli awamu ya sita Ni ya kishindo Basi Ni pamoja na kutimiza matumaini ya wengi ambayo kimsingi yanawezekana Kama utashi wa kisiasa utafanyika na sijui kwanini magufuli alifeli...
Hivi masuala ya anga ni ya Muungano?
Zanzibar hawawezi anzisha shirika Lao la ndege??
Hatuwezi rekebisha wakawa na shirika lao la ndege?
Binafsi naona kama Utalii sio suala la Muungano basi na...
Habari wanabodi,
Kumekuwa na trend ya muda kuhusu sakata lililoibuliwa na Mh Nicodemas Henry Maganga mbunge wa Mbongwe kuwa maslahi yao ni madogo kuliko inavyodhaniwa. Katika kuutanabaisha huu...
CHADEMA na wanaharakati wanamdharau na kupuuza ushauri wa Spika.
1. kwenye suala la akina Mh. Mdee kawashauri nini cha kufanya mnampuuuza nao wanaendelea kubaki bungeni GOOAL.
2. kwenye suala la...
Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu nimeziadhimisha kwakufanya uchambuzi kwa mahojiano ya Radio, Kuhusu Hali ya Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, na kuhusu vuguvugu la Katiba Mpya.
Sikiliza mwanzo hadi...
MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI
Nianze kwa kuipongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.