The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,874
Hivi masuala ya anga ni ya Muungano?
Zanzibar hawawezi anzisha shirika Lao la ndege??
Hatuwezi rekebisha wakawa na shirika lao la ndege?
Binafsi naona kama Utalii sio suala la Muungano basi na masuala ya biashara ya ndege na anga itenganishwe..ibaki kwenye ulinzi Tu...
Zanzibar ikiwa na shirika lake itawasaidia Sana kwenye Utalii ...wakiwa serious..
Sheria zikoje??