Huu ni wito ambao naupeleka kwa IGP Sirro .
Anayotenda RPC Mambosasa DSM hayana tofauti na aliyotenda Aliyekuwa RPC wa Iringa aliyeitwa Michael Kamuhanda , huyu alisimamia kikamilifu mauaji ya...
"Nimesoma rufaa ya kesi ambayo Freeman Mbowe na wenzake walifungwa, Jaji wa mahakama kuu wanasema "nothing more is said in the judgement about evidence. They were convicted of those counts on the...
Napenda kuulizia ile miradi mikubwa iliyopangwa au kujengwa wilayani chato vipi inaendeleaje au ndiyo imeondoka na Mwendazake?
Watendaji wake kwa unafiki mkubwa na upendeleo walipigia sana...
Hongera kwa Mh. John Pombe Magufuli kuchaguliwa na wananchi kuwa Rais, na Mh. Mama Samia Suluhu kuwa Makamu wake.
Akina Mama, pigeni vigelegele! Tumepiga hatua kwa Mama Samia Suluhu kuwa Makamu...
Yale yaliyofichuliwa ndani ya CHADEMA sasa yanajidhihiri kwatika namna ifananayo ndani ya ACT-Tanzania. Kuna mgogoro mkali unafukuta hasa kuhusu uongozi. Wahusika mbalimbali wanaojiita Kamati Kuu...
Bandari ya Bagamoyo ingefilisi, kuuza nchi
Sunday May 19 2019
Kwa ufupi
Pamoja na kusamehewa kodi na ushuru mbalimbali kama zile za lazima kisheria, kulipwa fidia ya hasara ya kibiashara...
Tunaenda kujadili elimu na mfumo wa kujiajiri
Wadau wa elimu wahusika ambao ni Sector binafsi hawapo
Wamejazana wafanyakazi wa serikali walio chini ya waziri ndalichako.
Huu ni utoto tulitakiwa...
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kesho ataanza ziara ya siku sita mkoani Tanga
Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigekla amesema akiwa mkoani Tanga mama Samia atazindua miradi mbalimbali na programu za...
Kwanza nakupongeza kwa uamuzi wako wa kukarabati mapungufu yaliyoonekana katika awamu ya tano, ambayo wewe mwenyewe ulikuwa kiongozi mkuu.
Pili nakupongeza kwa kumali siku 100 za uongozi wako kwa...
Hii ndio taarifa mpya kwenda kwa Watanzania, ukitaka kadi ya kidigitali ya CHADEMA, ambacho ni miongoni mwa vyama vichache vya kisiasa vya kisasa zaidi barani Afrika kwa sasa, huna haja ya kulipa...
Kuna taarifa kuwa mradi huu ulikumbwa na ufisadi mzito na malengo yalikuwa ni yaleyale kusaidia kampeni za urais za CCM mwaka 2015!
Ufisadi huu wiki ijayo utafumuliwa na serikali hii ya awamu ya...
Ikumbukwe kabla ya ugonjwa wa Corona haujafika Tanzania, Bavicha na chadema kwa ujumla walikuwa wakikesha mitandaoni wakiombea Corona ije ili wamkomoe na kumcheka rais Magufuli!.
Mwana jamii...
Kwa wale ambao hamjasoma gazeti ala Mtanzania la leo J.pili kuna taarifa imenishitua kuhusu Taifa Letu Ebu ipitieni wandugu.
*Makachero wa kimataifa wabaini ni kituo dawa za kulevya
*Inapokea...
MACHI 19, 2021 wakati anaapa kuwa Rais wa Awamu ya Sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan, alikuwa mtu mwenye majonzi makuu. Hili lilieleweka kwa sababu alikuwa...
Nimekuelewa. Lakini the key message ni kwamba ktk uchumi uliopevuka kama USA au labda China ya sasa, a large sum of investment say $ 1 trillion will only produce marginal GROWTH of GDP amounting...
"Huwezi kusema serikali nzima inamsaliti Rais wetu aliyetangulia mbele ya haki. Mwaka jana wakati tunatumia ‘nyungu’ kulikuwa hakuna taarifa za chanjo, kulikuwa hakuna hata mmoja wetu aliyejua...
Saa 4:00 Asubuhi tutawaletea Kile kinachojiri moja kwa moja ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atashiriki Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara...
"Mbowe siku zote amekuwa kiongozi wangu na siwezi kubeza nafasi yake ktk kujenga demokrasia nchini. Tulipishana. Tulikoseana. Tusamehane"....Zitto Zuberi Kabwe
Hayo ni maneno ya ZZK katika...
#Siku100zaSamia: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo
THURSDAY JUNE 24 2021
Summary
Rais Samia Suluhu Hassan anaelekea kutimiza siku 100 tangu kuapishwa kushika wadhifa huo Machi 19, mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.