Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI DHIDI YA CORONA. Kufuatia kuwepo kwa Viashiria vya Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla* amewataka...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Nazungumzia mfumo Wetu wa uajiri na siasa zetu za vyama namna lilivyoathiri. Ukweli ni kwamba tumeendekeza siasa ambapo chama kilichoshinda Iwe Kwa haki au mizengwe ndio kinaunda serikali na Kuwa...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Mimi binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Tanzania tuna corona. Nchi hii bwana watu wanaotutangazia kwamba tuchukue tahadhari ndio haohao unawakuta baa wanakunywa pombe na kukumbatia mpaka...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Nadhani sasa hatua zinazochukuliwa na Serikali dhidi ya Corona mnazisikia. Lakini katika awamu ilipita hali ilikuwa tofauti kabisa, Serikali ilitelekeza jukuma la kulinda raia wake. Licha ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenye nchi hii unaachane kumfuta machozi mtu kama Freeman Mbowe? Hata kama unamchukia kiasi gani ina maana aliyofanya na anayofanya hamuyaoni? Freeman Mbowe hili ni jina linalopaswa kuwa kwenye...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wahenga walisema "Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha", baada ya mjadala mrefu juzi Juni 22, 2021 Bunge la Tanzania lilipitisha na kuidhinisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Katika clip zinazorushwa kuonesha utendaji mzuri wa Sabaya ni pamoja na ile inamuonyesha mkuu wa takukuru wa sasa Salum Hamduni akimtunukia Sabaya cheti kwa utendaji wake kusaidia jeshi la polisi...
2 Reactions
7 Replies
594 Views
Wasalaam, mfanyakazi wa kawaida analipwa kima cha chini 370,000 na anakatwa kodi asilimia 9 lakini Mbunge analipwa mamilioni na hakatwi kodi hii sio sawa Serikali ya CCM mnanyonya maiti damu.
0 Reactions
8 Replies
850 Views
Wakuu heshima kwenu naomba hardcopy ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Asanteni
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tanzania Ni moja ya nchi maskini Duniani. Si umasikini wa kipato tu Bali upo umasikini wa maarifa unaopelekea kuhusianisha utulivu na unyekekevu Kama sifa za Kiongozi. Ninachotaka kujua, sifa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MBUNGE AACHIE JIMBO! Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbongwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika...
7 Reactions
55 Replies
5K Views
Bado naendelea kujiuluza hilii swali jamani hivi mawaziri hawastaafu? Na vipi wabunge wawe na kikomo cha uongozi badala ya kuendekeza mtu mmoja anakufa unasikia alikuwa mbunge miaka 30 unawaza...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimesikitishwa sana na hotuba na mchango wa mbunge wa Mbongwe bwana Nicodemas Henry Maganga wakati akichangia leo bungeni. Sidhani kama amefanya utafiti wa kutosha kuhusu mchango wake. Kawaaudhi...
8 Reactions
67 Replies
9K Views
Wanabodi, Nimesikitishwa sana na kitendo cha yule Mbunge juzi kutoa hoja ya wao wabunge waongezewe mishahara maana wana kazi nyingi sana. Kama hilo halitoshi Mbunge yule ameenda mbali akisema...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Chama Cha Mapinduzi kimesema kinaridhishwa na kutambua jitihada kubwa zinazochukuliwa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya uwekezaji ambapo mazingira...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
.......kabla ya kupanda jukwaani mjini Ludewa wilayani Mbalali, Kikwete alikuwa akizungumza na simu na baada ya kumaliza aliwaambia wananchi kuwa alikuwa akizungumza na balozi wa Marekani nchini...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Lissu amesema hayo baada ya kuongea na mmoja wa viongozi waandamizi wa Wizara ya Fedha. Hivyo taarifa za kulipwa stahiki zake si za kweli. Maoni yangu ni kwamba taarifa hii haina ukweli wowote...
3 Reactions
77 Replies
8K Views
"Kwa Madaraka makubwa aliyonayo Rais kutokana na Katiba iliyopo akiwa ni Rais mzuri haina shida, ila akiwa ni Rais Katili au Chizi anaweza kuipeleka nchi kubaya sana " Chanzo: BBC Dira ya Dunia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni wazi kwa sasa Tanzania imeungana na nchi nyingine katika kufata taratibu zinazoitwa za kuzuia maambukizi ya mlipuko wa corona wimbi la tatu katika jamii. Imekua ni week iliyoanza kwa tahadhari...
3 Reactions
6 Replies
955 Views
Jengo la Ofisi ndogo ya CCM iliyoko Mtaa wa Lumumba Kati ya vyama vyote vya siasa vilivyopo Tanzania,CCM ndiyo chama kinachoongoza kwa kuwa na Utajiri Mkubwa sana wa Rasirimali vitu. CCM ndiyo...
7 Reactions
50 Replies
9K Views
Back
Top Bottom