“Kuhusu Mchuchuma na Liganga nimeshatoa maelekezo, Serikali inaendelea na mazungumzo na Wawekezaji kuona tatizo ni nini!, Serikali inaweza kujitoa hadi wapi Mwekezaji ajitoe hadi wapi na kwa sasa...
Magufuli alikuja na Hapa kazi na Kisha mama Samia kaja na nawasalimu kwa jina la jamuhuri kazi iendelee..swali langu Ni je Kuna mtu maalumu hutunga haya maneno au ni utashi wa rais mwenyewe?
Wote tuliona hadi hotuba zote za Rais na maaskofu jana walipokutana pale Kurasini, TEC.
Wote nadhani mmeona baada ya kila kitu kumbe kukawa na kikao kingine cha Rais Samia na haohao maaskofu...
Hello
Tupo na Mkutano hapa Dodoma Uboreshaji wa Mtaala wa Elimu Awali, Msingi na Sekondari
Wapenda kujenga nchi mnaombwa kutuma maoni yenu kwa namba hii
0735041169
Unaweza kutuma maoni yako...
Spika wa Bunge anapotumia Bunge kunyamazisha wanannchi nikinyume kabisa na Katiba. Anapoingilia Uhuru wa vyombo vya habari ni kinyume kabisa na sheria za nchi. Kitendo cha spika kuanza kuvifunga...
Kuna mambo kama hatuwezi kuyakomalia basi hata mengine tuachane nayo. Maana yake hatujui tunataka kufika wapi! Suala la wabunge kukatwa kodi si la kupunguzia sauti. Si kwa mapato ya taifa tu bali...
Leo Krav Maga nipo Kiuchumi (Kiubahili) zaidi hivyo nawataka Political and Economic Pundits wa JamiiForums hapa mnidadavulie Kiundani ili nijue nani anauharibu Uchumi na nani pengine ndiyo...
"Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge...
Nilipoandika makala yangu ya ILIYOPITA kuhusiana na ugonjwa utokanao na virusi vya korona (COVID-19) Tanzania ilikuwa haijtangaza kuwepo kwa mgonjwa yeyote nchini na kuwa makala ile ililenga...
Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa...
"Nilitembelea Hospitali ya Mwananyamala, kuna wodi daktari mfawidhi alikuwa ananiingiza akaniambia humu kuna wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Nikwambia kuwa muwazi, ni COVID[19] kasema, ndio...
Ndugu yangu mmoja alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akituhumiwa kukwepa kodi kwenye biashara zake. Lakini yeye anadai ni kesi ya kisiasa. Mwaka 2015 aliombwa kusupport kampeni za CCM akakataa lakini...
Moyo wangu umeanza kutahaharika. Kutokana na yale ninayoyaona. Mafisadi wote ndiyo wenye furaha kubwa ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania.
Hili limenifikirisha sana. Why asilimia kubwa ya...
Mh.Mbowe amesikitishwa na hotuba ya Rais Magufuli siku ya jana kuhusu hali ya corona Tanzania. Mbowe anasema sababu za kuendelea kuwaacha watu huru hazina mashiko kwani maisha ya watu yapo hatarini
Wanabodi,
Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi...
Tusipotoshwe kua Korona haikua na athari, huende sisi tuliadhirika zaidi kuliko mataifa menginge ni kwa vile hatukua na takwimu za walipoteza maisha walizificha. Ni kweli tulimpoteza ndugu zetu...
Mwenyekit MBOWE Akikagua mirad ya maendeleo iliotekelezwa kwa Ilan ya CCM Chini ya uongozi wa DR JOHN POMBE MAGUFULI
Hongera Mbowe kwa kua mzalendo kuendelea kuwaonyesah Wana Hai jinsi Rais...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake...
Msema kweli mpenzi wa Mungu. Kwa sasa tunaanza kutengeneza hofu ya Corona ambayo haikuwepo. Muda mrefu sasa hatujapata tena taarifa kuwa watu wanakufa kwa Corona.
Labda sababu Dr. Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.