Mwalimu Mwakasege: Dalili za Corona ni zile zile za magonjwa mengine tofauti yake Covid 19 imejaa Hofu kuu inayofanya wasio jasiri wajifiche

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,895
141,828
Mwalimu Mwakasege ambaye leo anamalizia semina yake ya siku 4 kwa njia ya mtandao amesema dalili za Corona ni zilezile zinazokuwepo kwenye magonjwa mengine tofauti yake ni moja tu Covid 19 imejaa hofu.

Mwakasege amesisitiza kuwa hofu haipaswi kuogopwa bali kuikabili ukiwa umechukua tahadhari na si kujificha.

Mwakasege amerudia tena kusema Covid 19 ni tauni kwa mujibu wa Biblia japokuwa wanasayansi wanaweza kuwa na tafsiri zao za kidunia. Hofu ya Corona ndio inayosababisha watu wamkimbie Mungu badala ya kumkimbilia kitu ambacho si sahihi.

Kujificha na kuacha kufanya kazi siyo njia sahihi ya kudhibiti Corona kwani kila nchi inapaswa kuwa na njia zake za kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.

Nitaweka video clip baadae.

Source: Upendo tv

My take;
Baada ya kusikiliza mafundisho haya sina shaka Rais Magufuli ni chaguo la Mungu.
 
Sasa bwashee Magufuli anahusikaje hapa? Kwani ni wapi Mwl. Mwakasege kasema kuna mtu amejificha "chuttle"?

" maendeleo haya vyama":cool::cool:
 
huyo ni mwakasenge kweli! lenyewe hapo liko uvungun linataka wengine wafe! mburula hili
 
Hawatupi shida hawa....si unajua biashara zao zimelala ndo maana....badala wasimamie ukweli janga liishe waendelee kupiga pesa za wajinga wao wanajipendekezaa..Za kuambiwa changanya na zako.
 
Mwalimu Mwakasege ambaye leo anamalizia semina yake ya siku 4 kwa njia ya mtandao amesema dalili za Corona ni zilezile zinazokuwepo kwenye magonjwa mengine tofauti yake ni moja tu Covid 19 imejaa hofu.

Mwakasege amesisitiza kuwa hofu haipaswi kuogopwa bali kuikabili ukiwa umechukua tahadhari na si kujificha.

Mwakasege amerudia tena kusema Covid 19 ni tauni kwa mujibu wa Biblia japokuwa wanasayansi wanaweza kuwa na tafsiri zao za kidunia. Hofu ya Corona ndio inayosababisha watu wamkimbie Mungu badala ya kumkimbilia kitu ambacho si sahihi.

Kujificha na kuacha kufanya kazi siyo njia sahihi ya kudhibiti Corona kwani kila nchi inapaswa kuwa na njia zake za kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.

Nitaweka video clip baadae.

Source: Upendo tv

My take;
Baada ya kusikiliza mafundisho haya sina shaka Rais Magufuli ni chaguo la Mungu.
Sasa Mwalimu mwakasege anatakiwa ajitafakari, mbona dalili za Ukimwi ni zile zile za TB ina maana UKIMWI haupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu muongo mtoa mada acha kumchafua mwl mwakasege hajasema ivyo nimesikiliza semina yote,Jana amesisitiza social distance akanukuu mpaka kwa Bible,na hofu aliyozungumza ni kwamba corona imekuja na hofu kwa kua dunia nzima imepigwa so watu wasiache toba au kuendelea kuomba kisa hofu ya corona,ndo maana hata yeye anajua corona ipo that why kafanya simina online
 
Back
Top Bottom