Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu ni uzalendo. Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
10 Reactions
42 Replies
5K Views
Mh SPIKA, Bunge ni mhimili wenye idara na vitengo ndani ya ofisi ya Bunge. Mh SPIKA, Katibu wa Bunge anaweza kutolea ufafanuzi wa jambo la utendaji wa ofisi ya Bunge inapohitajika kwa waandishi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona video mtandaoni ya DC Morogoro akiwa kalewa chakari huku anashikashika sehemu za siri za binti/mwanamke. Inafahamika kwamba huyu DC ameoa, na aliyekuwa naye akimpapasa uchi sio mkewe...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wahenga wanasema kuwa tenda wema usingoje shukrani. Ndiyo msemo inabidi mh Mbowe na wana Chadema kuukubali na kuutumia ili maisha yaendelee. Huyo hapo chini ni ndugu Lijualikali ambaye sasa ni...
20 Reactions
86 Replies
11K Views
Serikali ya awamu ya sita imekuwa kitulizo kikubwa kwetu tusiopenda kujidanganya au kudanganywa kwa hoja nyepesi nyepesi. Ifahamike kuwa njia ile iendayo uzimani ni nyembamba na yenye dhiki kuu...
1 Reactions
2 Replies
991 Views
Ndugu Watanzania wenzangu nawasalimu, Zipo nadharia nyingi kuhusu Ugojwa wa Corona, na kumekuwa na jitihada nyingi za ndani na nje ya nchi yetu za kupambana na virusi hivi vinavyotishia ustawi wa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam kwenu wanajukwaa, Niende moja kwa moja kwenye mada yangu, siku sio nyingi zimepita tokea kutolewe lawama kwamba Chadema waliomba kukutana na Mh. Rais na wakaona ni kama wamepuuzwa lakini...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Kiza kimetanda, wananchi wanahaha mitaani, hawajui watakula nini kesho. Mama anaamka, huku amelala na njaa ya siku mbili. Maziwa ya mtoto yamekata. Anajikokota kutafuta unga apike uji wa mwanae...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Pichani ni Mhe. Tundu Lissu akisalimiana na Mhe. Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh...
12 Reactions
41 Replies
6K Views
Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli.. Katiba katiba Tunataka maendeleo ya sayansi na teknolojia sio maendeleo ya kubahatisha. Katiba inahitajika ili kuweka mambo sawa. Dunia...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Mama bila kumung'unya maneno leo akiongea na Baraza la Maaskofu (TEC), ametamka: "Corona ipo tuchukue hadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu." Kauli hii ni ya kijasiri kabisa. Heko mama...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
PART (1) Na Wolle Fernando __________________________________ Niseme kwamba kwa Sasa asilimia kubwa ya sisi Watanzania tunaamini corona ipo lakini tumezoea kuishi nayo na hatuiogopi kama mwanzo...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
George Michael Uledi. Tabora, Tanzania. June, 2021 Naweza nikasema mchakato wa ndani wa CCM wa kuchakata watia nia wa Ubunge mwaka 2020 ulikuwa bora sana pengine kuliko michakato mingi ya nyuma...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa ipo haja kwa watoto wadogo kuanza kuelimishwa juu ya umuhimu wa kulipa kodi ili watoto wakue wakijua kwamba ukwepaji wa kodi ama...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika kuongeza thamani ya zao la Korosho na ufuta hapa nchini serikali imesema katika msimu ujao wa uuzaji wa mazao hayo minada yake itafanyika kwa njia ya kieletroniki ambayo itaaanza mapema...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Akizungumza Alhamisi 24 Juni 2021 kupitia jukwaa la walimu waliofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya CCM Dodoma, Katibu Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini, Kama katiba yetu inavyosema kuwa 'kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake kwa uhuru', Mimi pia nina maoni yangu. Pale posta kwenye mnara maarufu wa Askari ninashauri mnara wa Askari...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Huo ndiyo ukweli. Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki. Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya...
34 Reactions
125 Replies
11K Views
Baadhi ya Watanzania wenzetu wana matatizo sana. Wanapenda kushadadia mambo bila kufanya tafakuri. Kama mtu anasema mtapata hasara mkivunja mkataba fulani ndio apigwe risasi? Mtu akisema...
27 Reactions
103 Replies
7K Views
Waziri Mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
Back
Top Bottom