Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ilikuwa ni siku ya Desemba 9, 2010. Tanzania ilikuwa inasherehekea miaka 49 ya Uhuru wa taifa. Baada ya kukagua gwaride Uwanja wa Taifa, Rais Jakaya Kikwete alifanya dhifa ya kitaifa Ikulu na...
0 Reactions
154 Replies
25K Views
Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado. Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhan Dau amesema Fao la kujitoa limeondolewa ili kuendana na mfumo wa kimataifa kwani duniani kote hakuna Fao la kujitoa. Amesema hata Zanzibar na Kenya hakuna kitu kama...
3 Reactions
245 Replies
23K Views
Kumekuwepo na ushinikizwaji wa kupatikana kwa Katiba mpya ambao umekuwa ukiendelea kufanywa na kundi kubwa la wanaharakati wakiongozwa na chama la wana CHADEMA huku chama cha mapinduzi (viongozi...
0 Reactions
1 Replies
599 Views
SUMATRA na Polisi mnaposhindwa kudhibiti kadhia ya ongezeko holela la nauli kipindi hiki Cha kurejea mashuleni kwa wanafunzi tunashindwa kuelewa mnapewa nn na wamiliki wa mabus. Wanafunzi wasio...
8 Reactions
68 Replies
5K Views
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ...
16 Reactions
137 Replies
8K Views
Wakuu, salaam! Nawakumbusha tu kwamba John Pombe Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - mara zote akiwa mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki na baadae Chato iwe ndani ya CCM au...
21 Reactions
215 Replies
18K Views
Kiimani yapo mapigo umfanya mwanadamu kuhojiana na Muumba kuhusu tafsiri ya kile kinachotokea. Kwenye bibla tunasoma miaka Saba ya njaa na Saba ya shibe, tunasoma kuuwawa kwa watoto wote wa kiume...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiachilia mbali historia ya kabla ya uhuru ( utawala wa machifu, biashara ya utumwa, ukoloni na process zake kama kuja kwa wamisionari na wavumbuzi, vita mbalimbali kama majimaji na mapambano...
0 Reactions
119 Replies
23K Views
Picha: Dkt Faustine Ndungulile Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndungulile ameeleza azma ya serikali katika kuanzisha Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bajeti yako ya kwanza katika utawala wako wa ubunge bado haionyeshi dira, unapapasapasa tu mambo hugongi penyewe hii ni kwa sababu hatujakusaidia kuchagua vipa umbele, hatujakusaidia kutambua...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Honestly, kila binadamu mwenye utu ukiona jambo baya na la uonevu linamtokea mtu hujisikii vizuri. Huyu kada wa Chadema naweza kusema, yupo tu kwenye siasa ila hazijui vizuri. Siasa za nchi hii...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sabodo amchambua Kikwete • Asema ni kiongozi anayecheka na rushwa na Waandishi wetu MFANYABIASHA maarufu na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mustafa Sabodo, amesema tatizo la rushwa...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
John Munisi ni miongoni mwa Wahanga wa kwanza kabisa wa utawala wa Marehemu John Magufuli kufanya misa ya shukrani kwa lengo la kumtukuza Mungu kwa ajili ya Matendo Makuu aliyomtendea. John...
38 Reactions
68 Replies
6K Views
James Mbatia alichaguliwa na JK kuwa mbunge na baada ya kula kiapo kuwa mbunge hakubadili chama chake napale alipoona JK na serikali yake wanakosea alikosoa vikali, alikua akiongea mpaka spika za...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Salaam wanajukwaa la Great Thinkers. Nimekuwa nikitafakari umuhimu wa katiba mpya, na mapungufu ya Katiba iliyopo, ambayo inampa Rais madaraka makubwa ya kufanya anachotaka bila kuhojiwa wala...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Namshangaa Mbowe akimlaumu Rais Samia kuhusu kauli zake ambazo hawakutegemea Pili anataka waonane na mama, nikuulize Mbowe wewe ni gwiji la siasa unajitoa vipi ufahamu kwa kutokujua Rais huyu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ole Sabaya mtu mwenye tuhuma zisizo na idadi , leo tena amefikishwa mahakamani huko Arusha akiwa amevaa Suti iliyopauka ili kusikiza kesi zinazomkabili. Kesi za aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai...
8 Reactions
147 Replies
15K Views
Muda wangu wa kuchangia nimeutumia kujibu maswali matano yanayoulizwa na wengi huko mtaani kuhusu Katiba (5 common questions). 1. Kwanini mchakato huu umeandaliwa na BAVICHA? Mnapigania Katiba ya...
15 Reactions
58 Replies
5K Views
Siasa za majitaka na za uchwara hatimaye zimapitwa rasmi. Hii mi kutokana na muitikio mdogo wa watu kujitokeza kwenye igizo lao la kudai kitu ambacho hata hawakijui. Hii ni meseji kwao kuwa...
14 Reactions
165 Replies
10K Views
Back
Top Bottom