Mbunge wa Mpwapwa hii ndiyo bajeti yako ya kwanza

EngutanK

Member
May 3, 2021
99
244
Bajeti yako ya kwanza katika utawala wako wa ubunge bado haionyeshi dira, unapapasapasa tu mambo hugongi penyewe hii ni kwa sababu hatujakusaidia kuchagua vipa umbele, hatujakusaidia kutambua matatizo. Umeonyesha kujipendekeza kwa mawaziri, hauko sahihi jipendekeze kwa makatibu wakuu ndiwo wenye mafungu mawaziri wako kama wewe tu mbunge nao huenda kuomba kwa makatibu wakuu wao.

Mambo ambayo unatakiwa ushambulie katika kipindi chako cha mwaka wa kwanza na ambayo yatakupa alama nyingi:-

  • Mikokoteni , baiskeli, power tiller na pikipiki zenye kubeba madumu ya maji njia ya kikombo (kikombo road) zimeongezeka sana kipindi chako hadi barabara zimeharibika, imekuwa ni hatari kwa wenye kubeba maji hasa waendesha baiskeli wanaobeba maji wanakoswakoswa sana na pikipiki (bodaboda). Hapa nina maana maji baridi wanajamii wanakoyatoa huko na hivyo vyomba vya usafiri nilivyovitaja wamesababisha hadi uharibifu wa barabara.
  • Usafiri kutoka Dodoma kuja Mpwapwa unachukua muda mrefu,fikiria mnatoka wote stand ya Ndugai muda mmoja huyu anaenda kondoa na mwingine Mpwapwa , KM toka Dodoma kwenda Kondoa ni 164 na toka Dodoma kwenda Mpwapwa ni 118 lakini wa Kondoa anatangulia kufika unafiri ni kwa sababu gani? Hili sijui mbunge unalielewa maana wewe umejikita sijui ujenzi wa Sekondari zilizopo zenyewe hazina waalimu wewe eti umeanza na kutaka zijengwe zingine matatizo ya msingi unayaacha.
  • Wagonjwa kusafirishwa kwenda Dodoma ( REFFERAL CASES) wameongezeka sana kipindi chako. Kuna hospitali ya wilaya yenye madaktari wa kutosha lakini wagonjwa wengi wanatumwa(referral) kwenda kutibiwa Dodoma aidha General au Benjamini Mkapa ambapo kuna madakitali kama hawa hawa wa Mpwapwa. Hivi mbunge tatizo hili la kusafirisha wagonjwa kwenda kutibiwa Dodoma unajua sababu yake, nitakueleza kama utaweza ulitatue au usaidie kutatua ili kipindi chako cha ukaguzi wa utekelezaji wa kazi za Mbunge kipindi cha mwaka wa kwanza alama ziongezeke.
Yatokanayo na kuchagua wewe kuwa mbunge wetu inaonyesha huna uzoefu wa mienendo ya utumishi serikalini ndio maana unaelemea kwa mawaziri badala kujiegemeza kwa makatibu wakuu, umetokea kwenye kuwa mhasibu wa kwenye makanisa kwa hiyo huna uzoefu wa utumishi serikalini , kumbe kuwa na mbunge aina hii ni kosa, uzoefu huo unatakiwa sana ili kupata mafanikio chanya kwa muda mfupi ndio mana wanzetu Kondoa wanatupiga bao sana hii ni kutokana na aina ya wabunge wao wanaowachagua hawaendi kujifunza majumu ya ubunge wanaenda kutekeleza majukumu ya ubunge moja kwa moja bila kuchelewa na ndio maana muda wa safari kutoka Dodoma kwenda Kondoa ni mfupi ukilinganisha na Dodoma kuja Mpwapwa japokuwa Kondoa KM ni nyingi.

Ili utatue tatizo namba moja hapo juu linalohusu maji inabidi ujitahidi uwasogezee maji hayo watu walipo wasiyafuate Ng`ambo area kwa kuwasogezea kwa njia ya mabomba ya maji au kwa visima vifupi (mikwichi) kama Kondoa walivyofanya., ufumbuzi wa tatizo hilo ni wa gharama zinazohimilika,jitahidi kufuata ushauri huu li mwisho wa mwaka tutakavyokutathimini alama ziongezeke, kiashiria cha mafanikio katika kutatua tatizo hili ni mikokoteni na baiskeli za kuuza madumu ya maji baridi mitaani kupunguwa.

Mafanikio ya utatuzi wa tatizo namba 2 hapo juu ni muda wa safari kutoka Mpwapwa kwenda Dodoma kupunguwa, ukiweza kulimudu tatizo hili sugu utajihakikishia kukaa mjengoni mika 40 usipoweza basi Mh. JUNE FUSSI na Mh. CHARLES MAGAYA waanze kupasha kukupokea kijiti hao wawili wanauwezo mkubwa sana kulimaliza tatizo hili kwa muda mfupi kutokana wao ni wa hapahapa na wote ni watoto wa mjini.

Tatizo namba 3 ni la kiufundi zaidi, wagonjwa wengi kwenda Dodoma ni kutokana na teknologia ya matibabu hasa ya upasuaji imebadilika mambo ya kukatakata wagonjwa kama bucha yamepungua sana teknologia ianayotumika hivi sasa ni operation ya vitobo. Kukatakata siyo sana kwa hiyo wogonjwa wengi bora waende Dodoma kupata huduma ya upasuaji kwa njia ya vitobo kuliko kuwakatakata kama nyama za buchani, kulitatua tatizo hili ni kuwaongezea wahumu vifaa vya kisasa na kuwasogezea wataalamu.Yatizo hili Mh. Juni Fussi na Mh. Charles Magaya wanauwezo mkubwa sana kulitatua aidha kwa kuwapeleka wataalamu wakasomee au kuwasogezea wataalamu eneo la tukio.

Kwenye group mtandaoni inaonekana memba wanakupamba sana kama unaweza kumbe unamapungufu makubwa. Tatua matatizo haya matatu au onyesha unaanza kuyatatua vinginevyo Mh Juni Fussi au Mh, Charles Mgaya waanze kupasha wajumbe wasituzingue tena Hatukubali.

Engutan-K

Mpwapwa
 
Bajeti yako ya kwanza katika utawala wako wa ubunge bado haionyeshi dira, unapapasapasa tu mambo hugongi penyewe hii ni kwa sababu hatujakusaidia kuchagua vipa umbele, hatujakusaidia kutambua matatizo. Umeonyesha kujipendekeza kwa mawaziri, hauko sahihi jipendekeze kwa makatibu wakuu ndiwo wenye mafungu mawaziri wako kama wewe tu mbunge nao huenda kuomba kwa makatibu wakuu wao.

Mambo ambayo unatakiwa ushambulie katika kipindi chako cha mwaka wa kwanza na ambayo yatakupa alama nyingi:-

  • Mikokoteni , baiskeli, power tiller na pikipiki zenye kubeba madumu ya maji njia ya kikombo (kikombo road) zimeongezeka sana kipindi chako hadi barabara zimeharibika, imekuwa ni hatari kwa wenye kubeba maji hasa waendesha baiskeli wanaobeba maji wanakoswakoswa sana na pikipiki (bodaboda). Hapa nina maana maji baridi wanajamii wanakoyatoa huko na hivyo vyomba vya usafiri nilivyovitaja wamesababisha hadi uharibifu wa barabara.
  • Usafiri kutoka Dodoma kuja Mpwapwa unachukua muda mrefu,fikiria mnatoka wote stand ya Ndugai muda mmoja huyu anaenda kondoa na mwingine Mpwapwa , KM toka Dodoma kwenda Kondoa ni 164 na toka Dodoma kwenda Mpwapwa ni 118 lakini wa Kondoa anatangulia kufika unafiri ni kwa sababu gani? Hili sijui mbunge unalielewa maana wewe umejikita sijui ujenzi wa Sekondari zilizopo zenyewe hazina waalimu wewe eti umeanza na kutaka zijengwe zingine matatizo ya msingi unayaacha.
  • Wagonjwa kusafirishwa kwenda Dodoma ( REFFERAL CASES) wameongezeka sana kipindi chako. Kuna hospitali ya wilaya yenye madaktari wa kutosha lakini wagonjwa wengi wanatumwa(referral) kwenda kutibiwa Dodoma aidha General au Benjamini Mkapa ambapo kuna madakitali kama hawa hawa wa Mpwapwa. Hivi mbunge tatizo hili la kusafirisha wagonjwa kwenda kutibiwa Dodoma unajua sababu yake, nitakueleza kama utaweza ulitatue au usaidie kutatua ili kipindi chako cha ukaguzi wa utekelezaji wa kazi za Mbunge kipindi cha mwaka wa kwanza alama ziongezeke.
Yatokanayo na kuchagua wewe kuwa mbunge wetu inaonyesha huna uzoefu wa mienendo ya utumishi serikalini ndio maana unaelemea kwa mawaziri badala kujiegemeza kwa makatibu wakuu, umetokea kwenye kuwa mhasibu wa kwenye makanisa kwa hiyo huna uzoefu wa utumishi serikalini , kumbe kuwa na mbunge aina hii ni kosa, uzoefu huo unatakiwa sana ili kupata mafanikio chanya kwa muda mfupi ndio mana wanzetu Kondoa wanatupiga bao sana hii ni kutokana na aina ya wabunge wao wanaowachagua hawaendi kujifunza majumu ya ubunge wanaenda kutekeleza majukumu ya ubunge moja kwa moja bila kuchelewa na ndio maana muda wa safari kutoka Dodoma kwenda Kondoa ni mfupi ukilinganisha na Dodoma kuja Mpwapwa japokuwa Kondoa KM ni nyingi.

Ili utatue tatizo namba moja hapo juu linalohusu maji inabidi ujitahidi uwasogezee maji hayo watu walipo wasiyafuate Ng`ambo area kwa kuwasogezea kwa njia ya mabomba ya maji au kwa visima vifupi (mikwichi) kama Kondoa walivyofanya., ufumbuzi wa tatizo hilo ni wa gharama zinazohimilika,jitahidi kufuata ushauri huu li mwisho wa mwaka tutakavyokutathimini alama ziongezeke, kiashiria cha mafanikio katika kutatua tatizo hili ni mikokoteni na baiskeli za kuuza madumu ya maji baridi mitaani kupunguwa.

Mafanikio ya utatuzi wa tatizo namba 2 hapo juu ni muda wa safari kutoka Mpwapwa kwenda Dodoma kupunguwa, ukiweza kulimudu tatizo hili sugu utajihakikishia kukaa mjengoni mika 40 usipoweza basi Mh. JUNE FUSSI na Mh. CHARLES MAGAYA waanze kupasha kukupokea kijiti hao wawili wanauwezo mkubwa sana kulimaliza tatizo hili kwa muda mfupi kutokana wao ni wa hapahapa na wote ni watoto wa mjini na tatizo hili linawagusa sana LA BARABARA KIWANGO CHA LAMI sehemu iliyobakia.

Tatizo namba 3 ni la kiufundi zaidi, wagonjwa wengi kwenda Dodoma ni kutokana na teknologia ya matibabu hasa ya upasuaji imebadilika mambo ya kukatakata wagonjwa kama bucha yamepungua sana teknologia ianayotumika hivi sasa ni operation ya vitobo. Kukatakata siyo sana kwa hiyo wogonjwa wengi bora waende Dodoma kupata huduma ya upasuaji kwa njia ya vitobo kuliko kuwakatakata kama nyama za buchani, kulitatua tatizo hili ni kuwaongezea wahudumu vifaa vya kisasa na kuwasogezea wataalamu hao wa upasuaji kwa njia ya vitobo.Tatizo hili Mh. Juni Fussi na Mh. Charles Magaya wanauwezo mkubwa sana kulitatua aidha kwa kuwapeleka wataalamu wakasomee au kuwasogezea wataalamu eneo la tukio maana ni wazoefu mno na mambo ya utumishi serikalini.

Bajeti yako ya kwanza katika utawala wako wa ubunge bado haionyeshi dira, unapapasapasa tu mambo hugongi penyewe hii ni kwa sababu hatujakusaidia kuchagua vipa umbele...
Ingefaa sana huu waraka ungemfikia mhusika mwenyewe
 
Hilo gazeti ni ngumu kulichangia.
Watia nia waliokatwa hao
 
Bajeti yako ya kwanza katika utawala wako wa ubunge bado haionyeshi dira, unapapasapasa tu mambo hugongi penyewe hii ni kwa sababu hatujakusaidia kuchagua vipa umbele, hatujakusaidia kutambua matatizo. Umeonyesha kujipendekeza kwa mawaziri...
Sema we unataka kuwa chawa wa watu fulani. Ile tabia yenu ya ukagila naona hamjaiacha. Halafu ule mradi wa maji mliuhujumu wenyewe.
 
Back
Top Bottom