Mbowe kumbuka Rais Samia ni mwenyekiti wa CCM

Narumu yetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
2,448
Reaction score
5,146
Namshangaa Mbowe akimlaumu Rais Samia kuhusu kauli zake ambazo hawakutegemea

Pili anataka waonane na mama, nikuulize Mbowe wewe ni gwiji la siasa unajitoa vipi ufahamu kwa kutokujua Rais huyu huyu ndiye mwenyekiti wa CCM kitaifa!

Unategemea atawapa nafasi ya kutupa makonde, embu fikiria njia nyingine za kisiasa zenye uhai ikiwemo kuimarisha mashina yenu. Mashina mengi ya CHADEMA yana udhaifu sana,ukilinganisha na CCM

Pili msiwe na haraka haraka ya kubeba nchi wakati chama hakijakomaa kisiasa, kiuongozi na intelijensia za CHADEMA ni dhaifu mno.

Kiufupi CHADEMA hamna mkakati wa muda mrefu wa kuchukua nchi, mmejaa uchu wa madaraka na njaa nyingi. Ushaidi ni viongozi wenu wanavyokisaliti chama, eti unakimbilia Katiba Mpya badala ya kuwapika wananchi wajue ubovu wa Katiba ya zamani.

Haraka haraka tuu mnataka mambo yawe freshi, mambo siyo mepesi hivyo bwashee
 
Samia aliapa kutawala kwa mujibu wa katiba na alitamka hivi:

"".. Nitawatendea haki watu wote kwa mujibu wa sheria, mila na desturi za watanzania... "

Sasa anatoka hapo anavunja sheria inayovipa vyama vya siasa haki kufanya shughuli zake. Lazima akumbushwe kiapo chake
 
Ndio LAKINI ni mwenyekiti wa CCM
 
Mama ajiandaye kunyolewa kwa wembe na Mdude.

1625294077091.png
 
Namshangaa mbowe akimlaumu raisi samia kuhusu kauli zake ambazo hawakutegemea ,pili anataka waonane na mama ,nikuulize mbowe wewe ni gwiji la siasa unajitoa vipi ufahamu ,kwa kutokujua raisi huyu huyu ndiye mwenyekiti wa ccm kitaifa, unategemea atawapa nafasi ya kutupa makonde ,embu fikiria njia nyingine za kisiasa zenye uhai ikiwemo kuimarisha mashina yenu ,mashina mengi ya CHADEMA yana udhaifu sana,ukilinganisha na ccm ,pili msiwe na haraka haraka ya kubeba nchi wakati chama hakijakomaa kisiasa,kiuongozi,na intelligences za chadema ni dhaifu mno,yaan kiufupi CHADEMA hamna mkakati wa muda mrefu wa kuchukua nchi ,mmejaa uchu wa madaraka ,na njaa nyingi ,ushaidi ni viongoz wenu wanvyokisaliti chama,eti unakimbilia katiba mpya badala ya kuwapika wananchi wajue ubovu wa katiba ya zamani ,haraka haraka tuu mnataka mambo yawe freshi ,mambo siyo mepesi hivyo bwashee
Mbowe asipokuwa makini atapotea kaushawishi alichonancho,kutaka kumlazimisha mama afanye anavyotaka mbowe ni upuuzi wa kupitiliza ,na kwa lugha yetu ,binadamu anapokuwa mjinga huwa anaitwa TONDO ,Kwa wakati huu meshimiwa anastahili kuitwa ITONDO yaani jitu jinga
 
Namshangaa Mbowe akimlaumu Rais Samia kuhusu kauli zake ambazo hawakutegemea

Pili anataka waonane na mama, nikuulize Mbowe wewe ni gwiji la siasa unajitoa vipi ufahamu kwa kutokujua Rais huyu huyu ndiye mwenyekiti wa CCM kitaifa!

Unategemea atawapa nafasi ya kutupa makonde, embu fikiria njia nyingine za kisiasa zenye uhai ikiwemo kuimarisha mashina yenu. Mashina mengi ya CHADEMA yana udhaifu sana,ukilinganisha na CCM

Pili msiwe na haraka haraka ya kubeba nchi wakati chama hakijakomaa kisiasa, kiuongozi na intelijensia za CHADEMA ni dhaifu mno.

Kiufupi CHADEMA hamna mkakati wa muda mrefu wa kuchukua nchi, mmejaa uchu wa madaraka na njaa nyingi. Ushaidi ni viongozi wenu wanavyokisaliti chama, eti unakimbilia Katiba Mpya badala ya kuwapika wananchi wajue ubovu wa Katiba ya zamani.

Haraka haraka tuu mnataka mambo yawe freshi, mambo siyo mepesi hivyo bwashee
Mnaogopa makonde , majukwaa ya kisiasa ndio yataibua vijana wengi kwenye chama chenu Cha ccm wenye UWEZO wa kupangua hoja , leo mna vijana wajivika kwenye kivuli Cha Uvccm ila hamna kitu, twende majukwaani ,vinginevyo chama chenu kinazidi poteza mvuto KWA vijana wengi wanaojitambua
 
Namshangaa Mbowe akimlaumu Rais Samia kuhusu kauli zake ambazo hawakutegemea

Pili anataka waonane na mama, nikuulize Mbowe wewe ni gwiji la siasa unajitoa vipi ufahamu kwa kutokujua Rais huyu huyu ndiye mwenyekiti wa CCM kitaifa!

Unategemea atawapa nafasi ya kutupa makonde, embu fikiria njia nyingine za kisiasa zenye uhai ikiwemo kuimarisha mashina yenu. Mashina mengi ya CHADEMA yana udhaifu sana,ukilinganisha na CCM

Pili msiwe na haraka haraka ya kubeba nchi wakati chama hakijakomaa kisiasa, kiuongozi na intelijensia za CHADEMA ni dhaifu mno.

Kiufupi CHADEMA hamna mkakati wa muda mrefu wa kuchukua nchi, mmejaa uchu wa madaraka na njaa nyingi. Ushaidi ni viongozi wenu wanavyokisaliti chama, eti unakimbilia Katiba Mpya badala ya kuwapika wananchi wajue ubovu wa Katiba ya zamani.

Haraka haraka tuu mnataka mambo yawe freshi, mambo siyo mepesi hivyo bwashee
Na hivho chama ambacho bado kinaomba nafasi ya kuboresha maisha ya wananchi baada ya miaka sitini ya kushindwa kuwapatia wengi wao angalau maji salama. Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema kama ambavyo Samia ni Mwenyekiti wa CCM. Nae anastahili heshima ile ile mnayompa Mwenyekiti wenu. Na wote wawili ni raia wa Tanzania kwa hiyo wana haki sawa ya kuwa na mawazo na misimamo yao.

Muachiane Mbowe afanye kazi ambayo chama chake kimemtuma.

Amandla...
 
Back
Top Bottom