Kama Samia atakuwa ni mtu wa kukaa chini na kufikiri kwa makini basi atagundua kuwa yeye kuwa hapo siyo accident, Bali Mwenyezi Mungu amemuweka hapo kwa sababu maalum.
Machozi na vilio ambavyo...
TAMKO ATOA AMIR AZZAM -MBUYUNI.
Viongozi wa jumuiya Uamsho.sh Amir Azzan ameipa serikali muda wa masaa 26 mpka kesho sa 10 laasir.Amir Farid awe kishaachiwa.
Ila amewataka wananchi wawe na...
Ni bahati mbaya sana kwa kuwa hatuna utaratibu wakusikiliza kwa umakini na kuchambua hotuba zinazotolewa na viongozi mbalimbali wa kisiasa nchini hasa wanapokua kwenye mikutano yao ya kujenga...
Huu ni ukweli mchungu lakini unasemwa na mimi meningitis kwamba haitatokea kamwe duniani mabepari wachache waliohujumu taifa na kuamua kutumia fedha zao kutaka kushika hatamu za nchi tukufu ya...
Hivi Serikali yetu ipo serious kupambana na ugonjwa wa Delta (Indian variant)yaani corona 3?
Wenzetu,ndugu zetu Waganda,DRC,Rwanda Serikali zao zimechukua hatua kali na madhubuti kukabiliana na...
Hayati Magufuli a.k.a mwendazake aliwahi kukiri kuwa hakutarajia kuwa Rais wa awamu ya tano. Wengi tunakumbuka yaliyotokea, mpambano wa Membe na Lowassa ndio uliomzaa Magufuli kama suluhu ya kambi...
Tuache kutoa Vijisababu visivyo na Tija kwa Taifa kwenye Mambo ya Msingi kwa TAIFA.
Suala la KATIBA MPYA ni Suala la Wananchi bila kujali ITIKADI yao KATIBA ni MALI ya WANANCHI na Sio CHAMA...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano.
Waziri wa Teknolojia na mawasiliano, jana alitangaza kua anawakaribisha watu kuwekeza kwenye mtandao wa 5G nchini Tanzania, na pia mpango wake wa...
Kesho ni Katiba day na katiba hakuna mtu yeyote ambaye hana maslahi nayo.
Waandishi wa habari kama Mwangosi na Azory Gwanda waliuawa kwa sababu ya katiba mbovu na mpaka leo hatujawai kuona...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia harakati mbalimbali za wanasiasa hapa nchini, zikiwamo oparesheni mbalimbali za vyama vya kisiasa na nyingi zikiisha kwa mafanikio makubwa, kwa faida ya vyama...
Ndege moja imetoka Dodoma kwenda Dar iko na Samia, nyingine Iko Burundi na Waziri Mkuu Majaliwa nyingine Ipo Ufaransa Makamu Wa Rais Dkt. Mpango nyingine ndo iko na Mzee Kikwete. Kwenye mazishi...
Ile Operesheni iliyotikisa nchi kwa kuhamasisha wananchi juu ya umuhimu wa katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, ambayo ishatikisa na kuamsha watu wa mikoa 24, sasa imeingia kwenye mkoa wa DSM...
Harakati za kisiasa za Tundu A. M. Lissu sasa ziko kwenye maandishi.
Kitabu chake "REMAINING IN THE SHADOWS: PARLIAMENTS AND ACCOUNTABILITY IN EAST AFRICA" kinachambua historia (history)...
Ni lini mh Mbowe na Chadema wameitisha mandamano ya kwenda kuwang'oa wabunge wake walioko bungeni,ambao anasema hawapo kisheria kwa mjibu wa katiba ya Chama anachokiongoza?
Ni kivipi suala la...
Naangalia television ya Taifa muda huu nashaangaa kukuta harusi inarushwa LIVE!
Ina maana television ya taifa haina kitu chochote cha kutuonyesha watanzania zaidi ya hiki kinachoendelea...
Mama Samia wewe ni jemedari wetu mkuu. Mwenye shaka na uwezo wako kuliongoza taifa hili atakuwa hajitambui tu.
Hata hivyo nisiache kunukuu tokea katika msahafu wa kikristo pasemapo "si kila aitae...
Bofya link (picha) uangalie mameno makali kuyoka kwa Kakoe kuhusu Nyerere na Mungano na Tnganyika pamoja na Zanzibar
Nyerere sio Mungu
Nyerere alikuwa shughuli.........:-Kakobe
Kwako DC Jokate
Kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya, binafsi nakukubali sana aina ya uongozi wako, umefanya kazi nzuri sana huko Kisarawe.
Pia, sina wasiwasi kuwa hata hapa Dar...
Uamuzi wa Mahakama hiyo ulitolewa Juni 28, mwaka huu, mbele ya Jaji Athumani Matuma baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili.
“Kama ripoti ya uhamiaji inasema mlalamikaji si raia na ripoti...
"Wengine kwa kujua au kutojua mnaingia mtego wa kupiga propaganda za kiCCM eti “mkosoe kwa staha” really!. Samia Suluhu ni mtumishi wa umma siyo malkia! Mamlaka yote aliyo nayo ni kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.