John Munisi Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai, aliyepewa kesi ya ubakaji Hai afanya Misa ya Shukrani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,635
218,067
John Munisi ni miongoni mwa Wahanga wa kwanza kabisa wa utawala wa Marehemu John Magufuli kufanya misa ya shukrani kwa lengo la kumtukuza Mungu kwa ajili ya Matendo Makuu aliyomtendea.

John Munisi ni Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai ambaye alitengenezewa kesi ya Ubakaji ya kumjaza mimba Mwanafunzi aliyetengenezwa ili kumkomesha kwa kuwa kiongozi wa Chadema, Sabaya alipewa maelekezo na Mamlaka ya uteuzi kuwakomoa watu wote wanaomuunga mkono Freeman Mbowe kwenye jimbo la Hai, na ikibidi wauawe .

Munis alisota jela kwa muda mrefu hadi binti aliyetengenezwa alipojifungua, ambapo vipimo vya DNA vilionyesha kwamba Ndugu Munis hahusiki kabisa na ujauzito wa binti huyo, hivyo kuachiwa huru na Mahakama.

Misa hiyo Takatifu ya kumshukuru Mungu imesomwa katika Usharika wa Sonu.
 
Vijana wa chadema uongo hautawasaidia kumsingizia Magufuli kila kitu.

Maelezo yako yanasema Munisi ni wahanga wa mwanzo kabisa wa utawala wa awamu ya 5 lakini pia unasema Sabaya alimtengenezea kesi ili kumkomoa.

Sasa unajiuliza ubaya wa awamu ya 5 ulianza mwaka 2019? Maana Sabaya aliteuliwa 2019. Kama huyo munisi ni miongoni mwa wahanga wa kwanza maana yake utawala wa awamu ya 5 ulianza kuwatendea ubaya watu mwaka 2019.

Vinana wa chadema tungeni uongo unaoendana na uhalisia.

Leo nimeona mnamuombea M7 afe eti ni dikteta, sasa kama ni kutaka madikteta wafe mbona hamumuombei mwenyekiti wenu afe maana na yeye ni dikteta. Kiongozi yeyote aliekaa madarakani zaidi ya miaka 10 hata kama anashinda uchaguzi ni dikteta anatakiwa kufa.

Mnapoomba madikteta wafe msimuache/msimsahau mwenyekiti wenu kwani nae anatakiwa afe.
 
Vijana wa chadema uongo hautawasaidia kumsingizia Magufuli kila kitu.

Maelezo yako yanasema Munisi ni wahanga wa mwanzo kabisa wa utawala wa awamu ya 5 lakini pia unasema Sabaya alimtengenezea kesi ili kumkomoa...
Soma maada kwa utulivu uielewe maada mtoa post kaueleza yakua yule munis ni kati ya watu wa kwanza kufanya misa ya shukurani acha u mbumbumbu nyau wewe mfuasi wa kibwetele
 
Tatizo la chadema ni kuamini serikali inawatengenezea matukio na wala hawaamini kama hata Sabaya kwa sasa anatengenezewa matukio,yaani eti chadema hua ni Malaika wasio na dhambi.

Wachaga mna matatizo sana tena makubwa na yasiyo hata na maana yoyote.
 
Udikteta ni matendo sio kukaa madarakani muda mrefu.basi malkia elizabeth nae utasema ni dikteta
Malkia sio kiongozi wa kisiasa. Ni ceremonial figure.

Halafu hayo matendo ni nani anayaona na kusema haya ni mabaya na haya ni mazuri.
 
Malkia sio kiongozi wa kisiasa. Ni ceremonial figure.

Halafu hayo matendo ni nani anayaona na kusema haya ni mabaya na haya ni mazuri.Katiba ndio inajudge kama haya ni mabaya au mazu
Katiba ya nchi ndio inajudge,mbowe hajavunja katiba ya nchi wala ya chama chake kuwa pale,sasa magu alivunja katiba ya nchi kwa kuminya uhuru wa kujieleza,uhuru wa kuishi,ubaguzi wa kikanda,dini,vyama na eneo.huo ndio udikteta
 
Katiba ya nchi ndio inajudge,mbowe hajavunja katiba ya nchi wala ya chama chake kuwa pale,sasa magu alivunja katiba ya nchi kwa kuminya uhuru wa kujieleza,uhuru wa kuishi,ubaguzi wa kikanda,dini,vyama na eneo.huo ndio udikteta
Uhuru wa kujieleza ni relative term, hakuna general rule ya kusema huu ndio uhuru na huu sio uhuru. Hivi unajua kuminya uhuru wa habari kweli wewe? Jifunze Noeth Korea wanaminya vipi uhuru ndio utaelewa maana ya kuminya.

Uhuru wa kuishi upi? Ubaguzi wa kikanda ni kampeni ya watu wa kaskazini kumzushia Magufuli. Hivi kuna watu wabaguzi kama wachaga? Chadema 90% ya uongozi ni wakaskazini. 80% ya wabunge wa viti maalumu wanaoteuliwa hua ni wachaga.

Chadema hamna moral authority ya kumtuhumu na tuhuma za uongo za kikabila Magufuli. Mnajulikana wazi ni chama cha kichaga na hilo halina ubishi.

Chama gani cha kieneo Magufuli alianzisha?

Mtuhumuni Magufuli na tuhuma za ukweli, acheni hizi za kubumba bumba hazitawasaidia kujiondoa na tuhuma za ukabila.
 
Back
Top Bottom