Wanasiasa uchwara wakwama kwenye igizo lao huko Tabata

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,173
27,223
Siasa za majitaka na za uchwara hatimaye zimapitwa rasmi. Hii mi kutokana na muitikio mdogo wa watu kujitokeza kwenye igizo lao la kudai kitu ambacho hata hawakijui.

Hii ni meseji kwao kuwa wananchi wamechagua maisha, pesa na amani kuliko hiyo sijui katiba. Hivyo niwaombe wananchi wote waendelee kuwapuuza hawa wanasiasa uchwara.

Na Kama wataendelea kushupaza shingo basi huu mwaka ni rasmi chama chao linaenda kuzikwa. Hivyo nitoe rai pia kwa wote waliolaghaiwa na hawa wanasiasa uchwara kujikita zaidi kwenye kutafuta pesa na kuinua uchumi wao badala ya kuwa oyaoya kwa vitu vya ajabu ajabu.

#kazi iendelee#
Uchumi kwanza

Screenshot_20210701-130116_1.jpg
 
We huna akili. Unashauri watu waendelee kufanya kazi kukuza uchumi, upi? Hukusikia uchumi kipindi cha jpm ulikuwa unaporomoka kwa speed kubwa kisa hakuna demokrasia wala katiba yenye misingi ya kukuza uchumi.

Sasa unawashauri watu wafanye kazi zipi ambazo hazipo. Katuba mpya ndo inaleta kazi na shughuli za kufanya mana wawekeza watawekeza kwa wingi na uhuru kiasi ambacho weww na mimi tutapata kazi za kufanya ama kwa kujiajiri au kwa kuajiriwa.

Huoni kipibdi cha jpm ajira zote ziliyoyoma mpaka graduates wanajiua kw stress huka anatupiga kamba eti uchumi unakua.

Uwe unajifunza uchumi maana yake nini hata kama una akili kisoda ila angalau ujifunze usibaki na akili mgando.
 
Mkuu nawew unashabikia huu ujinga? Daaaah cjui akili mnaazimaga wap, hiyo ni picha ya maandalizi tu ipo mitandaon sometimes tafuteni hoja za msingi za kuwa prove wrong CDM
Hao ndiyo UVCCM.

Hawa vijana wamerithi uongo,ulaghai ,utapeli,uuaji na ujambazi toka kwa baba wa uongo,ibilisi aka shetani aka mwendakuzimu.
Mbona UVCCM ya miaka ya 1990 kurudi nyuma haikuwa hivi?

Ngoja nikikutana na mdogo wangu "Khumalo" nitamwambia awanyooshe hawa "vijana mchicha mwiba".
 
We huna akili. Unashauri watu waendelee kufanya kazi kukuza uchumi, upi? Hukusikia uchumi kipindi cha jpm ulikuwa unaporomoka kwa speed kubwa kisa hakuna demokrasia wala katiba yenye misingi ya kukuza uchumi.

Sasa unawashauri watu wafanye kazi zipi ambazo hazipo. Katuba mpya ndo inaleta kazi na shughuli za kufanya mana wawekeza watawekeza kwa wingi na uhuru kiasi ambacho weww na mimi tutapata kazi za kufanya ama kwa kujiajiri au kwa kuajiriwa.

Huoni kipibdi cha jpm ajira zote ziliyoyoma mpaka graduates wanajiua kw stress huka anatupiga kamba eti uchumi unakua.

Uwe unajifunza uchumi maana yake nini hata kama una akili kisoda ila angalau ujifunze usibaki na akili mgando.
Hivi unaweza kueleza kwa kina ni kwa namna ipi Katiba ya sasa inakukwamisha wewe binafsi kupiga hatua za kimaendeleo na kutimiza ndoto zako ?
 
Hao ndiyo UVCCM.
Hawa vijana wamerithi uongo,ulaghai ,utapeli,uuaji na ujambazi toka kwa baba wa uongo,ibilisi aka shetani aka mwendakuzimu.
Mbona UVCCM ya miaka ya 1990 kurudi nyuma haikuwa hivi!!???

Back
Top Bottom