Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa...
Watanzania wameweza kusubiri kwa karibu miaka ishirini sasa kuweza kuanza mchakato wa kuandika Katiba Mpya. Bahati mbaya subira hii ya Watanzania inataka kuchukuliwa kama papara au haraka ya...
Salamu zangu kwenye Kongamano la Katiba Day
01/07/2021.
Ndugu Mgeni Rasmi Mh Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Mheshimiwa John Mnyika Katibu Mkuu Chadema Taifa
Watoa Mada wakuu...
Wengi tumetatizika na mapendekezo ya Muungo wa Tume ya Rais ya Kupitia Katiba kama inavyopendekezwa na Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba. Tuna tatizo jinsi Tume hiyo inavyoundwa, nguvu zake...
KANUNI ZA MSINGI KUELEKEA KATIBA MPYA
Na. M. M. Mwanakijiji
Ili kuweza kufikia Katiba Mpya itakayokidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye ya vizazi vya Watanzania ni lazima kuhakikisha kuwa...
Nimefarijika na moyo wa Mama Samia, kweli moyo wake una Bwana Mungu ndani yake.
Jana wakati wa kumuaga Eng. Patrick Mfugale alitumia Neno toka Biblia Takatifu, Neno liloleta faraja kwa...
Ndugu zangu,
Ilimpasa Mbowe aende jela ili kurudisha imani kwa wafuasi wa Chadema ambao walionekana kulalamika kuwa ''Mbowe mbona hakamatwi kama Lissu'' wengine ''Baba yake Mbowe alikuwa swahiba...
Kwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki...
Na. M. M. Mwanakijiji
Uchaguzi umekwisha. Na muda wa kulalamikia watawala unaanza tena. Cha kushangaza wapo watu ambao hawaoni uhusiano wa uchaguzi wao na matokeo ya uchaguzi huo. Watanzania...
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mh.Nikki wa Pili apokea Bilioni 1 kutoka kwa mheshimiwa Rais Mama Samia kwa ajili ya ujenzi wa madarasa.
Haya ni mabadiliko makubwa sana katika sekta ya elimu wilaya ya...
Kubwa alilozungumzia ni Bunge la Katiba linaloanza tena wiki ijayo.
Ni ndefu sana naangalia namna ya kuwaletea kwa muhtasari au kuleta yote kama ilivyo
HINTS ZA HOTUBA
- Bunge la katiba...
Ukiwasikiliza CHADEMA katika madai yao ya Katiba mpya, utakubaliana nami kuwa hawana wanachokijua kuhusu madai yao au hawako serious na wanachokidai. Wote Viongozi na Wanachama wanaimba wimbo...
Ilikuwa ni siku ya Desemba 9, 2010. Tanzania ilikuwa inasherehekea miaka 49 ya Uhuru wa taifa. Baada ya kukagua gwaride Uwanja wa Taifa, Rais Jakaya Kikwete alifanya dhifa ya kitaifa Ikulu na...
Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado.
Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila...
Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhan Dau amesema Fao la kujitoa limeondolewa ili kuendana na mfumo wa kimataifa kwani duniani kote hakuna Fao la kujitoa.
Amesema hata Zanzibar na Kenya hakuna kitu kama...
Kumekuwepo na ushinikizwaji wa kupatikana kwa Katiba mpya ambao umekuwa ukiendelea kufanywa na kundi kubwa la wanaharakati wakiongozwa na chama la wana CHADEMA huku chama cha mapinduzi (viongozi...
SUMATRA na Polisi mnaposhindwa kudhibiti kadhia ya ongezeko holela la nauli kipindi hiki Cha kurejea mashuleni kwa wanafunzi tunashindwa kuelewa mnapewa nn na wamiliki wa mabus.
Wanafunzi wasio...
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ...
Wakuu, salaam!
Nawakumbusha tu kwamba John Pombe Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - mara zote akiwa mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki na baadae Chato iwe ndani ya CCM au...
Kiimani yapo mapigo umfanya mwanadamu kuhojiana na Muumba kuhusu tafsiri ya kile kinachotokea. Kwenye bibla tunasoma miaka Saba ya njaa na Saba ya shibe, tunasoma kuuwawa kwa watoto wote wa kiume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.