Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenye 'Mwananchi' la jana, katuni ya kipanya inaonesha CCM (kombati la kijani) akishika remote control kuiendesha tv (Tanzania); huku nyuma ya huyo CCM akiwapo 'ponjoro' ambaye pia ana rimoti ya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye alialikwa kushiriki dhifa ya Kitaifa Ikulu wakati wa ziara ya Rais Barack Obama wa Marekani alifanya jambo kubwa muhimu kwa mustakabali wa Demokrasia...
23 Reactions
386 Replies
25K Views
Wanabodi, Watch Live on TBC- Spika wa Bunge, Mhe. Anna Makinda, ameliahirisha Bunge asubuhi hii, baada ya kipindi cha maswali na majibu ili kupata fursa ya kushiriki Public Hearing. Pia Mhe...
0 Reactions
110 Replies
12K Views
Hizi ni quotations za JK...Nime-attach press release 3 "Hatuwezi kamwe kuendelea kuwa nchi inayoishi kwa kutegemea hisani na misaada. Tumeishi hivyo kwa muda mrefu wa kutosha. Lazima tubadilike...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr. Wilbrod Slaa wakiteta Mbowe anatuangusha na anaangusha harakati za kuikataa CCM na serikali yake. Lakini zaidi anatutisha sisi wengine...
58 Reactions
958 Replies
77K Views
Natamani niwe na mzuka na katiba mpya ila ari haipo kabisa na ninaona wanaotaka katiba mpya wengi ni wapinzani. Je, hitaji hili ni la kisiasa na si haki kama inavyotangazwa? Kwanini wanaCCM...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hakika nyota ya Rais wetu inazidi kuwakuna wapinzani. Hatimaye Peter Msigwa ameona juhudi nzuri za rais wetu na kuamua kusifu. Msigwa alimwaga sifa hizo Mei 2, 2018 mbele ya Rais Magufuli...
11 Reactions
413 Replies
40K Views
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee, huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka. Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂 yaani imefanya nimkumbuke...
39 Reactions
138 Replies
12K Views
Ndiyo na ni ukweli kabisa, Katiba tunayojaribu kuitafuta kwa jasho jingi na Energy nyingi, nasikitika kusema, haitatusaidia popote kama nchi. Kama kuna mtu anapingana na mimi, Embu atusaidie...
28 Reactions
191 Replies
10K Views
"Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA. Yawezekana, wewe na washauri wako hamjaelewa maumivu tuliyopitia kwa miaka 5 ya mtangulizi wako!! Na ndiyo sababu tulikuomba sana utusikilize mapema!! Kauli...
28 Reactions
488 Replies
27K Views
Chama Cha mapinduzi pambaneni kwa hoja achaneni na dola. Mnatia aibu mambo madogomadogo yanayowekwa kimkakati na wapinzani wenu yawachafue kimataifa mnashindwaje kuyang'amua. Vimitego vidogo...
2 Reactions
4 Replies
980 Views
Moja ya vitu vya kustaajabisha hapa nchini,ni namna vyama vya upinzani vinavyoshindwa kula na kipofu na chama tawala na serikali pia Watanzania tunajijua na rahisi sana kutekwa kisiasa ni mbinu...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye hoja kuu iliyobebwa na kichwa cha habari...! Wahenga wanamkumbuka aliyeanzisha/kuruhusu mchakato wa Katiba Mpya (KM). Ishara za wazi zinaonesha yeye ndiye atakaesimamia...
1 Reactions
7 Replies
978 Views
Wanabodi, Mambo ya Rais kuanza kuomba kuombewa sikuwahi kuyasikia hapo awali kwenye tawala za Mkapa, Kikwete, Mwinyi na Nyerere. Nashangaa na nazidi kushangaa mtu mwenye akili na sifa timamu...
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Kama ni kipyenga tayari kimekwisha pigwa. Mtizamo wa serikali unajulikana kama ulivyo kwa sasa wa CHADEMA. Hadi sasa haipo tarehe wala uelekeo wa lini Rais anaweza kukutana na Chadema kama chama...
2 Reactions
7 Replies
838 Views
Baada ya kumsikiliza Mh Msigwa kwenye kongamano lililofana la Katiba mpya , nimetambua kisa cha uongozi wa ccm wa awamu ya 5 kutumia mabilioni ya pesa za umma kununua wapinzani . Hakika Chadema...
7 Reactions
7 Replies
2K Views
Amani kwenu, Mashaka makubwa sana kipindi cha nyuma waliokuwa viongozi na wanachama wa NCCR Mageuzi walikihama chama na kujiunga na Chadema halikuwa tatizo wala kuitwa wasaliti lakini leo hii...
11 Reactions
77 Replies
7K Views
Leo nimeshangazwa na aina ya uongozi wa JPM, nikawaza kwanini amemtenda hivi PM? Wakati wa zoezi la uapishaji, alikaribishwa PM kuongea machache! PM Majaliwa alijikita zaidi wenye Wizara ya...
189 Reactions
489 Replies
70K Views
Kama Samia atakuwa ni mtu wa kukaa chini na kufikiri kwa makini basi atagundua kuwa yeye kuwa hapo siyo accident, Bali Mwenyezi Mungu amemuweka hapo kwa sababu maalum. Machozi na vilio ambavyo...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom