Historia ya baada ya Uhuru Tanzania iko vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Historia ya baada ya Uhuru Tanzania iko vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WomanOfSubstance, Nov 22, 2009.

 1. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Ukiachilia mbali historia ya kabla ya uhuru ( utawala wa machifu, biashara ya utumwa, ukoloni na process zake kama kuja kwa wamisionari na wavumbuzi, vita mbalimbali kama majimaji na mapambano dhidi ya wakoloni) historia ya kujitafutia uhuru na harakati za watu mbalimbali kama Nyerere na wengineo, tukaja kwenye uhuru na kujitawala, ninatatizika sana kupata picha kamili ya contemporary history ya Tanzania.

  Naombeni ushauri na darasa katika yafuatayo:

  1. Nini sources nzuri za contemporary history ya Tanzania hasa kuanzia 1970s mpaka leo?
  2. Kama mtu angetaka kuandika historia kwa kuangalia michango ya watu mbalimbali, ni watu gani ambao tunaweza kuwaandika na kwa michango gani?
  3. Wanawake gani Tanzania wanaweza kuwa in the limelight as having contributed in shaping the history of Tanzania?

  Nitashukuru kupata majina ya watu kwa mambo yao mema na hata yale ambayo siyo mema sana.

  Natanguliza shukrani za awali za dhati kabisa kutoka moyoni kwa michango yenu iliyojaa hekima na busara, isiyokuwa na kejeli wala utani usiokuwa na tija.

  VC
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Hata mimi natamani kujua historia ya mwanamke
  mmoja ambaye nimeambiwa alikuwa ambassodor wa tz un.
  Nasikia alikutwa na sex scandal akafukuzwa na historia yake ikafutwa.
   
 3. Companero

  Companero Platinum Member

  #3
  Nov 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  VeraCity rudi pale uliposoma shule ya Msingi utakutana na vyanzo unavyotafuta. Wanahistoria hawa wameandika sana kuhusu historia yetu: Isaria Kimambo, Arnold Temu na Boniventure Swai. Pia wapo Wanasosholojia na Wanasheria ambao kwa namna moja au nyingine nao wameandika historia yetu. Katika kundi hili la pili kuna Let the People Speak: Tanzania Down the Road to Neo-Liberalism cha Issa Shivji na Capitalism, Socialism and the Development Crisis in Tanzania kilichohaririwa na Norman O'Neill na Kemal Mustafa.

  Kwa upande wa wanawake huwezi kuandika historia ya nchi bila kuwataja watu hawa: Titi Mohammed, Sophia Mustafa, Sofia Kawawa, Lucy Lameck, Thecla Mchauru na Maria Kamm. Ili kupata usuli mzuri wa baadhi yao tafuta kitabu cha TANU WOMEN: Gender and Culture in the Making of Tanganyikan Nationalism, 1955-1965 cha Susan Geiger.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Sophia mustapha?????
  Who is she?
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  See, in JF you learn something everyday.
   
 6. Companero

  Companero Platinum Member

  #6
  Nov 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sophia Mustafa (1922-2005) was a writer, literacy and political activist of high acclaim. She is author of the novel In the Shadow of Kirinyaga (Tsar Publications, Toronto, 2002), a story set in early colonial Kenya, told from the perspective of a Muslim family. She was one of Tanzania’s first women members of parliament. Of Kashmiri Indian origin, she grew up and lived in East Africa, where she was active in developing literacy, libraries and newspapers in rural areas.

  Source: http://msupress.msu.edu/authorbio.php?authorID=2294
   
 7. Companero

  Companero Platinum Member

  #7
  Nov 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG][​IMG][​IMG]
  The Tanganyika Way spans the political events of 1958–1961 that led to Tanganyika's independence from Britain. Sophia Mustafa participated in those events, and her account offers
  a rare insider's perspective of the political drama. She covers large international and national issues, which, coupled with the smaller personal details of her life, open a window into
  a time and an experience that are emblematic of an unique historical moment.

  Source: http://www.tsarbooks.com/TheTanganyikaWay.htm
   
 8. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Muulize Zakumi. Kipindi hicho anakiita lost decades.
   
 9. Companero

  Companero Platinum Member

  #9
  Nov 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Acha kudesa!
   
 10. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Kilikuwa ni kipindi cha one man show.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  VC, hii ni mada nzuri sana lakini kama zakumi alivyosema watanzania (tutake au tusitake) tuna about 3 lost decades in a way, the 80s, 90s na 00s... Hata hiyo ya sabini ni yale yaliyohusiana na siasa na utawala zaidi!!!


  Kwa upande wangu naweza kusema kwamba sababu kuu ya lost decades ni mfumo wa utawala uliokuwapo ambao uliunganisha vitu vingi sana around politics mfumo mzima wa utawala uliopo na licha ya mageuzi bado mengine hayakuwa ya yakibadilika ipasavyo;

  Lakini si haba kwani twaweza kuifufua kwa kutumia taasisi zilizopo has Vyuo kikuu, Maktaba ya taifa, taasisi za takwimu, makumbusho na idara za serikali zinazohusu antiquities. other sources ni TBC (wana nakala nyingi sana za matukio ya kihistoria), Taasisi ya JK Nyerere, ofisi za ma-REO na ma-DED na wizara ya utamaduni na michezo

  Baadhi ya watu ninaodhani wanahaki ya kuwa kwenye historia ni

  • Michezo - Bayi, Sembuli, Mambosasa, Njohole, Mtagwa, Titus Simba,Simba iliyoingia finals na CAF, taifa stars ya 1981,
  • Ulinzi na usalama - vit vya uganda, wapiganaji walionda mozambique, michango yetu UN nk.
  • Jamii na utamaduni = Zawose, vikundi vya utamaduni, rasilimali zetu na documentaries zake nk, Nyirenda, Sarakikya, Matonya**
  • Siasa - Hapa hakuna kitu tangu nyerere na sokoine waondoke!!

  Kwa wanawake = Nzael Kyomo, Tibaijuka, Migiro, Lucy lameck, Makinda, sitti saad, sitti mwinyi*, Maria Nyerere, Prof Semesi, Mongela, Mbatia, chiku abwao**, MEWATA, TAMWA, rubani w kwanza mwanamke, engineer wa kwanza mwanamke, Hawa the bus driver etc

  Kwakweli hata nikijitahidi vipi naona kama nina very vahue history ya nchi yangu na kweli umetoa changamot nitaanza kusoma
   
 12. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  VeraCity, abbreviations zako zinatisha, nilivyoona VC nikadhani Vice Chancellor, ( With a light touch)

  On a serious note Vera I once asked the same question in one of my threads about the history of this country. As a nation we do not have history books. I think and i stand to be corrected, we just have some thesis lying in university shelves but not yet published in which case you can not see any history book in bookshops in Tanzania.

  It is a shame, I once visited Bookshops and asked for serious history books i couldn find one, with the collective plea and or request academicians may come up with something.
   
 13. Companero

  Companero Platinum Member

  #13
  Nov 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Lost Decade ya 1980 was a one man's show? Let the old man rest in peace. Kulosti kwetu ni kwa sababu yetu wenyewe. Its more than 2 decades since he left power and yet we are having lost decades!
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  ZA10..NA ndio sababu haswa ninataka kujua zaidi.
  Lete story!
   
 15. Companero

  Companero Platinum Member

  #15
  Nov 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Comrade, with due respect, you are being unfair to Professor Emeritus Isaria Kimambo and his fellow historians who are writing against all odds:

  Bibliography

  [SIZE=-1]Single-Author Books [/SIZE]

  [SIZE=-1]Kimambo, I. N. 1969a. A Political History of the Pare of Tanzania, ca. 1500-1900. Nairobi: East African Publishing House. [/SIZE]
  [SIZE=-1]-. 1971. Mbiru: Popular Protest in Colonial Tanzania. Nairobi: East African Publishing House. [/SIZE]
  [SIZE=-1]-. 1991. Penetration and Protest in Tanzania: The Impact of the World Economy on the Pare, 1860-1960. London: James Currey. [/SIZE]
  [SIZE=-1]-. 1993. Three Decades of Historical Research at Dar es Salaam. Dar es Salaam: University of Dar es Salaam Press. [End Page 278] [/SIZE]
  [SIZE=-1]-. 2003. ed. Humanities and Social Sciences in East and Central Africa: Theory and Practice. Dar es Salaam: University of Dar es Salaam Press.[/SIZE]

  [SIZE=-1]Co-Edited Books [/SIZE]

  [SIZE=-1]Kimambo, I. and A. Temu, 1969. A History of Tanzania. Nairobi: East African Publishing House. [/SIZE]
  [SIZE=-1]Ranger, T.O. and I. Kimambo, 1972. The Historical Study of African Religion. Berkeley: University of California Press. [/SIZE]
  [SIZE=-1]Maddox, G., J. Giblin, and I. Kimambo, 1996. Custodians of the Land: Ecology and Culture in the History of Tanzania. Dar es Salaam: Mkuki na Nyota. [/SIZE]
  [SIZE=-1]Spear, Thomas and I. Kimambo, 1999. East African Expressions of Christianity. Dar es Salaam: Mkuki na Nyota. [/SIZE]

  [SIZE=-1]Single-Author Articles [/SIZE]

  [SIZE=-1]Kimambo, Isaria, 1968. "The Pare." In Tanzania Before 1900, ed. Andrew Roberts. Nairobi: East Africa Publishing House, 16-36. [/SIZE]
  [SIZE=-1]-. 1969b. "The Interior Before 1800." In A History of Tanzania, ed. I. Kimambo and A. Temu. Nairobi: East African Publishing House, 14-33. [/SIZE]
  [SIZE=-1]-. 1969c. "Historical Research in Mainland Tanzania." In Expanding Horizons in African Studies, ed. Gwendolen Carter and Ann Paden. Evanston: Northwestern University Press, 75-99. [/SIZE]
  [SIZE=-1]-. 1987. "The Mfecane in a New Perspective." In J.R. Mlahagwa, L.M. Sago, F. Lutatenekwa, and G.T. Mishambi, eds. Landmarks in Southern African History. Dar es Salaam: Historical Association of Tanzania, 56-76. [/SIZE]
  [SIZE=-1]-. 1996a. "Environmental Control and Hunger." In Custodians of the Land, 71-95. [/SIZE]
  [SIZE=-1]-. 1996b. " Conclusion." In Custodians of the Land, 241-54. [/SIZE]

  Source:http://muse.jhu.edu/journals/history_in_africa/v032/32.1mapunda.html
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa, lakini kumbuka ita takes time kuweka mfumo sawa... hata watoto wa mama huwa hivyo hata form some few year baada ya kuanza maisha yao wenyewe

  nadhani kwenye 90s hali ilikuwa mbaya zaidi ukiondoa matukio ya kisiasa (positives and negatives)... labda tuangalie na juhudi binafsi kama waliookoa mali za nchi, waliojitolea maisha nk
   
 17. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Nimejikuta nashindwa kuelewa hasa historia ya nchi yetu ukiacha party politics ina mambo gani mengine.Ndio nikaona niulize wenzangu kama kuna kitu ninakosa kwa maana ya kupitwa.
  Basi natuanze kujiukumbusha matukio muhimu na watu muhimu walioendelea kufanya historia katika the lost decades -
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Yaani, its unbelievable jinsi tulivyokuwa entangled na siasa hapa kwetu.. nadhani labda tungejaribu kunyambulisha hii mada in pieces of 5 years, and watu waweke memorable events hata kama ni za kimkoa eg. 7-79, 80-84, 85-89, 90-94 nk.

  ndio maana nikasema mwenye kutaka matukio haya kiundani ili aandike historia itakuwa ni PhD nyingine tena apite kwenye kila wila na mkoa kukusanya, kabla ya kwenda kwa senior citizens na baadae sehemu kama taasisi maalum na vyuo

  its painful when we fail to read our history to our kinds... utashangaa tunamkumbuka zwangendaba halafu tunasahau akina brigedia karubi, dr. makene nk.
   
 19. Companero

  Companero Platinum Member

  #19
  Nov 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Matukio muhimu:

  1975: Kusaidia Ukombozi wa Msumbiji na Angola dhidi ya Wareno
  1979: Kuikomboa Uganda kutoka kwenye Makucha ya Nduli Amin
  1980: Kufanikisha Ukombozi wa Zimbabwe kutoka kwa Ian Smith

  "If I protect Africa for anybody, it will be to protect it for Africa" - JK Nyerere (1978) in 'Crusade for Liberation'
   
 20. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Camarade, the problem is not writting, wameandika sana tena extensively, tatizo vitabu havipatikani, natafuta kitabu a short history of tanzania by kimambo lakini dukani hakuna.

  Kwa ajili ya kutojua historia ya nchii hii na dunia kwa ujumla wengi wetu tunakwenda kichwa kichwa tu, lakini ukiangalia makosa waliofanya mababu zetu enzi hizo tutakuwa makini sana kwenye kila kitu.

  I salute the academicians and i have very high respect on them let the books be distributed and people be encouraged to read them and when they see how colonialism came to our country and what the leaders are doing, at least now, the hatred to the so called chama itazidi. I swear.
   
Loading...