Nimeileta hii kwa makusudi baada ya kutazama hiyo video hapo chini ya kina Mama wakijitetea kwa maafisa wa polisi juu ya kuondolewa kwao kwenye ukumbi wa starehe kwenye hafla yao.
Waliagizwa kuwa...
FRIDAY, NOVEMBER 4, 2016
Lowassa now trails JPM by half in public rating
In Summary
Survey shows that 26.6 per cent of respondents who voted for Mr Lowassa in last year’s elections, would...
Katiba ni takwa kwa watu wote
Bila kuwa na katiba hakuna tafsiri sahihi ya muongozo wa nchi. Ukitaka uweke utaratibu wa uwajibikaji lazima tuwe na katiba dhabiti inayobeba mwelekeo wa wananchi na...
Yule wa kipindi kilee, aliyependa kusafiri kama Vasco da Gama aliungwa mkono na walioitwa wanamtandao.
Na yule aliyekuwa akipenda kazi na kuongea kwa kujiamini sana aliungwa mkono na abiria...
Ni aibu kubwa kwa mawanasheria nguli tena Profesa kukomaa bila hata aibu eti hii katiba ni madhubuti kisa tu baada ya msiba wa Hayati JPM hakukutokea rabsha.
Hivi kama tungekuwa na katiba...
Bara na Visiwani zinaweza kuwa nchi mbili majirani na zenye uhusiano wa karibu wa kihistoria. Zote zimewahi kuwa nchi mbili tofauti huko nyuma. Kweli zinahistoria ambayo imeiingilia kiasi kwamba...
Rais Samia Suluhu amehudhuria mchezo wa Watani wa Jadi kati ya #Simba SC na #Yanga SC unaochezwa Uwanja wa Taifa
Iwapo Simba itaondoka na alama 3 itakuwa imetawazwa Bingwa wa Ligi Kuu Bara kwa...
CCM ina makundi ya wanachama wa aina kadhaa lakini, haya makundi ndio 'prominent'.
CCM kindakindaki yaani hawa ni kama CCM lialia. Hawa wapo wengi kiasi na ni wazee wazee Kwa wingi wao. Hawana...
Tume huru ndio kila kitu.
Itajenga Tanzania imara na itakayo ogopeka na kila mtu.
Tanzania itarudi mikononi mwa wananchi.
Uchaguzi ufanywe tume huru ndio iwe inaamua, kura itakua adhabu kwa...
Chama Cha Wanasheria Tanganyika kimetangaza kwenda mahakamani kesho ili kutafuta uwezekano wa kutafasiri sheria juu ya nini kinatakiwa kujadiliwa na bunge maalumu katika mchakato wa katiba mpya...
Warioba aiumbua CCM
Asema muswada uliopitishwa bungeni unalenga kuifuta tume yake
na Irene Mark
Tanzania Daima
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba...
Kuanzia Jumatatu bila kuvaa barakoa stendi ya Magufuli hakuingiliki tena.
Hata hivyo inashangaza kwanini kuwataka wenye mabasi kuwa na sanitizers kwa ajili ya abiria.
Kama ilivyo kwa barakoa...
Ni wazi kuwa mtu kubeza kupatikana kwa katiba mpya ni matokeo ya kuwa na:
1. uelewa usio sahihi, au
2. maslahi kwenye katiba iliyopo.
Hapa chini ni ushuhuda wake bwana Extrovert. Heshima kwako...
Mambo mengine yanashangaza sana; leo kila mmoja wa watu mashuhuri anatafuta gia ya "kutokea"; mwisho Rais na wajumbe wa Kamati Kuu nao watakuja na kusema "wanataka Katiba Mpya". Nimekaa naangalia...
Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba (...
Je tutaacha alama hapa duniani pale muda wetu wa kuishi kulingana na wito na kusudi la kuwepo kwetu hapa duniani utakapokuwa umefikia ukomo? "Haijalishi umeishi miaka mingapi bali umeweka alama...
Hili ni swali ambalo jibu lake liko wazi; kuwa Rais Kikwete hakuwa na madaraka hayo. Hata hivyo, wapo wanaoamini kuwa kwa vile Rais kaamua kufanya kitu basi kitu hicho ni halali.
Mimi na baadhi...
Mh. Rais Samia, kwa muda mfupi ametenda mema mazuri. Yanaonekana ni mazuri ya pekee kutokana na utawala uliotangulia kuwa mbaya sana.
Kama umeshinda siku mbili bila kula, siku ya tatu ukapewa uji...
Baadhi yetu tulikataa na tunaendelea kukataa kutambua mchakato huu wa Katiba Mpya. Tulianisha sababu za kufanya hivyo mapema kabisa Mwenyekiti wa CCM alipotangaza kuanzisha mchakato huu; na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.