Naandika kwa ufupi leo.
Tanzania inapiga hatua za maendeleo ambazo hazijulikani kama twaenda gizani au nuruni.
Watanzania hasa wanasiasa wanapambania kufanyika amankutofanyika mikutano ya siasa...
Mbunge wa Handeni Mjini CCM, Reuben Kwagilwa, ameishauri Wizara ya Fedha na Mipango, waangalie namna ya kufadhili miradi mikubwa kwa mfumo wa dhamana ya miundombinu ‘infrastructure bond’...
Jicho la tatu linaonesha kiu ya wanaodai katiba mpya ni madaraka na wanaosema iliyopo inafaa pia wanataka kubaki madarakani. Suruhisho ni nini!??
Katiba iliyopo na hata mpya inayopiganiwa...
Hongera sana DC wa Mwanga Abdallah Musa Mwaipaya kwa Kuja na Moto Mkali huko Mwanga ila Krav Maga nakushauri ipunguze hiyo Spidi yako ya kutaka Sifa za haraka kwa Mama zitakuponza na utaharibikiwa...
Sijui. Mimi huwa napenda kuyaangalia mambo kwa upeo wa tofauti kidogo.
Mbowe ni kiongozi mkubwa tu kitaifa kwa CHADEMA. Najiuliza hiyo kuvamiwa kwake na kupigwa miguu lengo lilikuwa nini...
Wanaukumbi.
Je umeshawahi kujiuliza ni kwa nini CHADEMA hawajawahi kudai Katiba Mpya kipindi cha takribani miaka 6 ya Mhe. Jiwe Madarakani?
Rais, SuluhuSamia, yupo madarakani miezi 3 tu...
Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa...
Katika kipindi fulani hivi kuliibuka watu ambao wanaotumiwa vibaya na wanaotumiwa na maadui wa Taifa hili wakawa wana-question sana ulinzi wa Rais, mara ooh mbona analindwa sana mara oooh mbona...
Ndugu zangu,
Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu. Waliamini wao ni...
Wanasiasa uchwara jaribuni kufumba vinywa vyenu ili kuficha aibu kama hizi zisiwatafune ninyi na vizazi vyenu. Yaani mlikuwa mnapigia debe uvunjifu wa katiba?
Msukuma upo?
Kinanasi upo?
Hivi mpaka ninaitwa chama cha mapinduzi kilipindua nini hadi kikaitwa chama cha mapinduzi maana ukiangalia kama ni uhuru tuliupata bila kumwaga damu.
Naomba kujuzwa kwa nini kikaitwa Chama cha...
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewashtukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.
Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa...
Kitu wapinzani wanachofeli ni kuongozwa na hasira na ushindani na kupigania maslahi binafsi ya kisiasa hivyo kukosa logic na plan nzuri kufanikisha mipango yao.
Jakaya Kikwete alianzisha mchakato...
Kandarasi nyingi hasa za barabara zinafanywa chini ya viwango na wakati mwingine hawana hata vifaaa kwa ajili ya kazi.
Hii imepelekea adha na Usumbufu kwa watumiaji wa barabara hizi zinazofanyiwa...
Ni kweli katiba mpya na bora inahitajika kulingana na mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kitekinolojia nchini na duniani kote. Inawezekana kabisa tangu 1977 nchi imepita kwenye...
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa...
Wabunge 19 waliofukuzwa na chama chao CHADEMA kwa mujibu wa Katiba walistahili kuondolewa Bungeni kutokana na kupoteza sifa kwani ili uwe Mbunge ni pamoja na kuwa mwanachama wa chama cha siasa...
Habari wadau.
Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen.
Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka...
Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile.
Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja...
Moja ya kauli za mwanzo kabisa za Rais Samia ambazo zilileta msisimko nchini ni kusudio lake la kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani.
Msisimko ulitokana na ukweli kwamba Rais Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.