Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wanaBodi.. Tumekuwa tuna wanasiasa wanafki na wabinafsi pia sana. Watanzania tuna changamoto nyingi za maisha ya kila siku mbali na suala la KATIBA, Yes Katiba ni muhimu lakini Katiba...
2 Reactions
6 Replies
968 Views
Hapo ni Bugando hospital,imeonekana mitungi inayosemekana ni ya Oksijen ikishushwa. Ikumbukwe wiki hii nzima kumekuwa na kelele nyingi mitandaoni kuhusiana na ukosefu wa au upungufu wa mitungi...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Binafsi sitashangaa kuona Rais Samia hayuko tayari kuanzisha mchakato wa katiba mpya kutoka na jinsi Serikali ya awamu ya 5 pamoja na ilani yake ya 2015 Kuwa na ajenda ya katiba lakini haikutaka...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Serikali na Barrick zathibitisha umuhimu wa kushirikiana Dodoma, Julai 7, 2021 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amekutana na...
12 Reactions
29 Replies
5K Views
Wadau mtakumbuka jinsi wazee wetu hawa walivyodhalilishwa na watu walio wachanga sana kisiasa hapa nchini, dharau hizo zilizidi hasa katika Serikali ya awamu ya tano. Je, sasa si wakati wa wazee...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Salaamu Watanzania! Duniani kote, habari kuu ni Wimbi la tatu la Corona, habari hizi zinaendana na mpango wa chanjo, mpango ambao unatumia matrioni ya fedha kufanikisha hili. Tanzania nayo...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimemsikiliza Mhe. Mwigulu Nchemba akimwagia sifa za umairi Jakaya Mrisho Kikwete, nimeshangazwa sana na kitendo hiki kwa sababu zifuatazo; Mwiguli alikuwa anawasilisha hotuba ya bajeti ambayo...
54 Reactions
163 Replies
16K Views
Ubora wa Katiba yetu ya mwaka 1977 na yaitwayo madaraka makubwa ya Rais. Funzo kwa wenzetu nchi ya haiti na kumpunguzia rais wao madaraka. Je, watungaji (constitutional framers) wa katiba ya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), imesema kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi, hivyo kushindwa kupatiwa matibabu. Kutokana na hatua...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Julai 8, 2021 anashiriki Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku Mbili Mkoani...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
KATIBA INARUHUSU LAKINI NI NGUMU SANA BUNGE KUMWONDOA RAIS MADARAKANI Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi, Leo nimeona nije na hili jambo la kusisimua lililopo kwenye katiba yetu lakini...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Zanzibar imeondolewa kwenye mashindano ya CAF.Sasa Mh.Rais Dr Hussein Mwinyi utambue tu kuwa Zanzibar ni nchi ndani ya Muugano. Usije...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia ameitaka serikali kutaja hadharani majina ya waliofisadi mabilioni ya fedha za benki kuu yaliyotajwa katika ripoti ya CAG. Mbatia amesema kuwasimamisha...
10 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
UN yaipa Tanzania karibu dola laki tisa kusaidia wahanga wa UVIKO-19. Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD umeipa Tanzania karibu dola laki 8 na 83 elfu kwa ajili ya kusaidia...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Ushauri kwa Rais na watu wake, hii itasaidia sana kusikiliza kero za Tanzania nzima kwa wakati mfupi. Anaweza kuwa live kwenye TV na radio. Kuliko sasa hivi anatupotezea muda bara barani anafunga...
1 Reactions
3 Replies
983 Views
Wakati Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan ameshatimiza siku 100 akiwa madarakani, wachambuzi wa masuala ya diplomasia, siasa uchumi na wananchi wa kawaida wamesema ndani ya kipindi hicho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaani tunataka kweli kurudi kule kule? ---- Update: 1 JamiiForums imezungumza na RPC Mkoa wa Njombe na amethibitisha kuwa Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe Rose Mayemba amekamatwa kwa Mahojiano...
13 Reactions
113 Replies
11K Views
Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu. Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata...
41 Reactions
540 Replies
36K Views
Naandika kwa ufupi leo. Tanzania inapiga hatua za maendeleo ambazo hazijulikani kama twaenda gizani au nuruni. Watanzania hasa wanasiasa wanapambania kufanyika amankutofanyika mikutano ya siasa...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom