Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi
Mnamo Julai 05, 2021 waziri wa Utalii na maliasili Mhe. Dkt. Ndumbaro [Wakili na mmiliki/Partner wa Meleta and Ndumbaro Advocates iliyopo...
Kuna ubinafsi mkubwa ambao unashangaza wengi sana kwenye nchi zetu za Afrika na zinazoendelea. Mfano kwenye magari ya Serikali mimi naishi state ya Texas magari mengi ya Serikali ya hili jimbo ni...
Dunia inabadilika. Mazingira ya siasa ya nyakati za Kikwete, siyo yaliyokuwepo wakati wa Magufuli na siyo sawa na yaliyopo sasa, wakati wa Samia.
Wakati wa Jakaya, kilio cha uvunjwaji wa haki na...
"Tangu uingie madarakani, tumeshuhudia serikali yako ikichukua hatua dhidi ya viongozi mbalimbali wenye tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka." Askofu Alinikisye Cheyo.
My Take:
Ukiondoa Kakoko...
Kamanda heshima yako,
Napenda kukufahamisha kuwa tumekutumia email ya malalamiko dhidi ya maofisa wako wanajihusisha na vitendo vya rushwa. Email hii tuliyokutumia tumetumia dgeneral@pccb.go.tz...
Wanajamvi roho yangu ina huzuni sana kila nikiona hali wa Wananchi wa Tanzania ilivo kimaisha, aisee inasikitisha sana. Ndani ya Nchi hii watu wanalala njaa wakati Wana Ardhi ambayo ina Kila kitu...
Na Mwandishi wetu,
Rukwa. KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Godfrey Chongolo amewaagiza wabunge wote wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na CCM kufanya ziara katika...
Leo Rais Samia Suluhu ameshiriki kwenye Mkutano mkuu wa Jumuiya ya Kikristo na miongoni mwa maombi yao ni kushiriki kwenye Demokrasia na Chaguzi.
Jumuiya hiyo imesema ushiriki wa taasisi katika...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema wananchi hawa wanaoitwa " Wanyonge" ndio wenye nchi.
Warioba amesema Rais Samia amesimama imara kwenye utendaji wake baada ya kifo...
Vimbelembele au vihio vya CCM vinasambaza itikadi mbaya sana eti kila kitu cha Katiba wanakielekeza kwa CHADEMA.
Faida ya Katiba mpya ni faida kwa Tanzania wote tena jambo hili halihusiani na...
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amewaagiza Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa...
Nilimsikia Rais wetu Samia Suluhu akithamanisha uwepo wake kama Rais Mwanamke katika kuvutia vitega uchumi toka nje. Hiki ni kiinimacho tusije ruhusu uwekezaji usio na tija kwa maendeleo ya nchi...
Wakati nipo sekondari nilikuwa natamani niwe sehemu ya watunga sera za nchi au kuwa kiongozi serikalini, na hii ilisababishwa na jinsi nilivyokuwa naona mambo yanavyoendeshwa nchini. Niliona bila...
Rais anadanganywa na wanaomzunguka! Alianza akiwa na nia safi, anataka kufuta watu machozi kwa kutenda HAKI. Amekonga mioyo yetu kwa kuachia baadhi ya watu waliohujumiwa haki zao na vyombo vya...
"Chongolo" "baada ya kuona wabunge wamelalamika sana kuhusu bajeti ndogo ya TARURA, Mhe Rais baada ya kusikia kilio Cha wabunge ametoa shilingi milioni mia tano kwa kila jimbo kwa ajili ya...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali inazitoza kodi taasisi za dini zinazotoa huduma za afya na elimu kwa sababu baadhi zinafanya biashara na si kutoa huduma.
Rais Samia ameeleza...
Wanabodi.
CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka.
Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu...
Hakuna watu wabaya kama Wanasiasa, nina ushahidi wa kutosha wa rafiki zangu wawili mmoja yupo kada ya mifugo ni daktari wa kata na mwingine ni msimamizi wa jumuiya za watumia maji CWBOS'C Mkoani...
Wajumbe.
Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani.
JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.