Kwanini kiliitwa Chama cha mapinduzi (CCM)? Kilipindua nini?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Hivi mpaka ninaitwa chama cha mapinduzi kilipindua nini hadi kikaitwa chama cha mapinduzi maana ukiangalia kama ni uhuru tuliupata bila kumwaga damu.

Naomba kujuzwa kwa nini kikaitwa Chama cha Mapinduzi.
 
Magufuli alikua sahihi kusema historia itazamwe upya huyu akili zake kama za makaburu ya south africa hajui kinachoendelea ....

Mambo ya toka shule ya msingi ... hata kama unatfuta hela sio kwa kushindwa kujua historia...

Au wewe born town umesoma nje maana na sisi wabongo kwa kuja na majibu ya moja kwa moja

Hembu msaidieni kijana kuna kazi nafanya hapa.
 
Sema ilichopindua, ilimpindua nani?
 
Hivi mpaka ninaitwa chama cha mapinduzi kilipindua nini hadi kikaitwa chama cha mapinduzi maana ukiangakia kama ni uhuru tuliupata bila kumwaga damu.

Naomba kujuzwa kwa nini kikaitwa Chama cha Mapinduzi.
Mchonga meno alipindua meza km masikhara
 
Magufuli alikua sahihi kusema historia itazamwe upya huyu akili zake kama za makaburu ya south africa hajui kinachoendelea ....

Mambo ya toka shule ya msingi ... hata kama unatfuta hela sio kwa kushindwa kujua historia...

Au wewe born town umesoma nje maana na sisi wabongo kwa kuja na majibu ya moja kwa moja

Hembu msaidieni kijana kuna kazi nafanya hapa.
Wewe mwenyewe hujui
 
wa stendi huwa unauliza maswali madogo ambayo watu huyapuuza ila hawana majibu.

Kwa nionavyo, jina Chama cha Mapinduzi limekaa Kijamaa maana nchi hizo zina mavyama yenye majina tata. Ni ile kujifanya kimeleta mageuzi makubwa na tiyari kishafanya mabadiliko hivo hakuna mbadala wake atayekuja na kuleta mapya.

Ujamaa unacheza na ideology za kufikirika tu mfano kuamini watu wote ni sawa, nchi ina maadui na wanaoionea wivu, ukiwa na mali nyingi wewe ni mwizi, etc. Hivo mambo yao sio ya uhalisia na hapa CCM walijikuta walileta mageuzi na kufanya mambo ya maana sana kiasi kwamba wako irreplaceable.
 
Magufuli alikua sahihi kusema historia itazamwe upya huyu akili zake kama za makaburu ya south africa hajui kinachoendelea ....

Mambo ya toka shule ya msingi ... hata kama unatfuta hela sio kwa kushindwa kujua historia...

Au wewe born town umesoma nje maana na sisi wabongo kwa kuja na majibu ya moja kwa moja

Hembu msaidieni kijana kuna kazi nafanya hapa.
Huku mwisho mwisho umepatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom