Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanaotaka katiba mpya na wasioitaka wote ni watanzania. Katiba mpya siyo chokochoko wala chanzo Cha uhasama, isiwe chanzo cha machafuko au kupeana majina mabaya kama ya usaliti, adui wa maendeleo...
1 Reactions
1 Replies
729 Views
Leo waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa anazindua kituo cha Tanzanite Mirerani mkoa wa Manyara, kuwa nami... ======= Waziri Mkuu: Nimekuja na salam zenu kutoka kwa mheshimiwa Rais, mama...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania...
39 Reactions
109 Replies
7K Views
Watu wengi wanaotuongoza kwa ridhaa yetu au bila ridhaa yetu, wanabaki kuwa Viongozi katika kipindi hicho. Wengi wana hulka za kibinadamu za kujipendelea wenyewe kunufaisha mfumo wao na familia...
4 Reactions
12 Replies
899 Views
Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema. Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika siku 100 kwanza za Rais SSH alipata uungwaji mkono mkubwa kutoka makundi mengi kwa muda mfupi. Ilikuwa kama nchi ndo imetoka kupata uhuru kutoka kwa mkoloni. Kumkosoa katika jambo lolote...
17 Reactions
58 Replies
5K Views
Endapo CHADEMA inataka kufikia malengo yake ya kisiasa basi wanapaswa kubadilika au kubadili aina ya style waliyo izoea kuitumia. 1. Waachane kabisa na lugha za matusi na kejeli ambazo tangu...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa Mama Samia anaweza kuwa anayo nia njema na ya dhati kuhusiana na haki, uhuru na usawa wa watu, kizingiti kitaendelea kuwa wale wahafidhina wanaomzunguka. CCM hao watakuwa ndiyo...
9 Reactions
44 Replies
3K Views
MKUU WA WILAYA YA MOSHI KIPPI WARIOBA AFUNGULIWA KESI MAHAKAMA KUU. -NI BAADA YA KUDAIWA KUZUIA WANANCHI WA JIMBO LA VUNJO KUFANYA SHUGHULI ZA MAENDELEO. -TAASISI YA MAENDELEO YA VUNJO CHINI YA...
7 Reactions
58 Replies
11K Views
IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine. Sirro amesema wenyeviti wa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Huo ndio ukweli, kwa sasa wanasiasa ndio wanataka katiba mpya kwa lengo lao moja tu tamaa ya kushika DOLA lakini sisi wananchi kwa sasa tunataka maendeleo kwanza, tunataka maisha yetu duni ya...
6 Reactions
67 Replies
4K Views
Yawezekana waliopewa nafasi nakutuongoza kwa haki nakupewa nafasi yakuweka misingi ya haki na utawala wa sheria nchini wanaamini Wana muda mrefu wakula salary,posho na kutembelea mashangingi...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Karibuni hapa katika kujulishana mambo yanayojiri katika Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo hii Mjini Dodoma. Niko hapa na nitajitahidi...
2 Reactions
550 Replies
80K Views
Katibu Mkuu wa CCM ameonekana Zanzibar na kwingineko katika ziara za chama chake, ameonekana akitumia usafiri wa ndege za ATCL ambalo ni shirika la umma. Sasa ili kuondoa minong'ono ya chini...
12 Reactions
55 Replies
5K Views
Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM...
20 Reactions
81 Replies
9K Views
Kwa ufupi Akizungumza katika mhadhara wa tatu wa Mwalimu Nyerere leo Dar es salaam, Warioba aliyekuwa Mgeni rasmi amesema tofauti na zamani kulipokuwa na ubaguzi wa makabila, siku hizi watu...
44 Reactions
275 Replies
52K Views
Samia suluhu Hassan ni Rais. Ni mwanamke ndio. Lakini haijakaa vyema kuanza kumuita mama. Kumtambua kwa jinsia yake ni kujaribu kuficha title yake. Ndio ni Mama lakini pia ni Rais. Katiba...
3 Reactions
13 Replies
952 Views
Au labda ni teknolojia kama ya Mossad , CIA? isije ikawa zina satellite ndani, taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000.
12 Reactions
206 Replies
22K Views
Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu. Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati...
93 Reactions
391 Replies
38K Views
Kwanini nasema hivyo? Kwa sababu hakuna mtu ataenda kununua vocha ya Tsh. 1000 dukani wakati anajua kabisa atakatwa kiasi cha Tsh. 100 au zaidi wakati huohuo hakuna kifurushi cha sh 900. Hayo...
5 Reactions
88 Replies
15K Views
Back
Top Bottom