Rais Samia, tulikueleza mapema hawa CHADEMA sio wa kuwalegezea maana ni waganga njaa wasiojali maslahi ya taifa. Sasa mapema umeona madhara yao

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewashtukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.

Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama Hayati Magufuli hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tusikubali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
 
Hakuna siasa nyepesi Africa

Lazima watu wawe huru kufanya siasa nchini mwao

Wewe ni nani uwapangie watu cha kufanya kwenye taifa huru.

Mwambie bibiyako afute kwanza vyama Vingi vya siasa ndio aje hapa kuongea ujinga wake wa kuvunja katiba na sheria za nchi.

Pumbavu zako

Katiba sio ya chadema wala ccm katiba ni takwa la watanzania wanaojitambua sio wapumbavu kama wewe.!
 
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewahutukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.


Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama hayati JPM hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tuskibali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Wewe huna tofauti na marehemu jpm na utakufa kwa dhuluma na uonevu pia, acha roho mbaya na chuki.
 
Unataka awateke na kuwapoteza kwa kutumia wasiojulikana?

Mod hizi mada nyingine zinafaa kubaki kuwa ni comments tu mnaziachaje zinajaa kwenye jukwaa letu pendwa la Siasa?

Hizi mada zinapoteza mada zenye mashiko

Hebu fanyeni cleaning
 
Mnaot
Ukweli ni huu nchi ni yetu sote, katiba mpya lazima ipatikane apende asipende nchi siyo mali yake binafsi
Mnaotaka katiba mjipange tuwahesabu
Mko wangapi?
Katiba inatakiwa yenye akili na sio katiba njaa.
 
Hoja ya amani haina mashiko kwani ilianza tangu mawazo ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi. Vilipoanzishwa vyama vya upinzani bado hoja ikiwa hiyo hiyo ya amani na nyakati zote za uchaguzi hoja ya amani inapamba moto, lakini kwa nyakati zote hakujawahi kutokea uvunjifu wa amani!

Hivyo nyie CCM mwambieni Samia hoja ya amani imebuma!
 
Back
Top Bottom