Kumbukumbu: Waliomvamia Mbowe kumpiga na kilichotokea Kiuhalisia

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,514
Sijui. Mimi huwa napenda kuyaangalia mambo kwa upeo wa tofauti kidogo.

Mbowe ni kiongozi mkubwa tu kitaifa kwa CHADEMA. Najiuliza hiyo kuvamiwa kwake na kupigwa miguu lengo lilikuwa nini? Hospitali huwa mtu anayepigwa kwa magongo au kitu kikubwa mwilini majeraha yake yanafahamika. Kitaalamu kabisa.

Kwa Mbowe haikuwa hivyo nini kilichotokea kiuhalisia? Hawa watu waliweza kuingia mpaka kwa Mbowe bila CCTV kuwa detect ilikuaje? Lakini inakuaje Mbowe anakosa CCTV pale kwake? Hakujifunza kwa lililotokea kwa Tundu Lissu?

Tuseme alivamiwa akiwa nje. Je, Mbowe hana Mlinzi hata mmoja? Aliposhushwa kwenye gari au alikuwa ana drive mwenyewe?alikuwa all alone kwa wakati wote huo?

Napata maswali mengi kuliko majibu. Mimi nina tatizo la kutoacha jambo kiporo. Nlikuwa najiuliza Serikali kama ndo ilikuwa imetuma watu basi ilikuwa inafanya mambo kipuuzi kabisa. Yaani mnatuma watu wakampige miguu Mbowe? Ili iweje?

Tunajua wale ambao walitumwa kwa Tundu Lissu walitumwa ili wamuue. Walitumwa na nani...hatujui. na mimi binafsi nashangaa Serikali mpaka leo imeona haina haja ya kufuatilia jambo hilo.

Je ni kweli Mbowe alivamiwa na hao mabaradhuli wakampiga piga tu miguuni? Ili iweje sasa? Lakini naye Mbowe anaishi peke yake sehemu hiyo tena bila Ulinzi? Mi kuna mambo huwa tu nakaa nawaza. Nasema hiii...

Hizi siasa za Kitanzania. Usanii vyama vyote vinafanya.yaani hakuna wa kumwamini. Inafikia hatua hata ukweli tunaanza kuu doubt.

Mambo kama haya mara nyingi sisi ambao tumebaki na akili zetu ndo tunawaza. Lakini wafuasi wa Chama na Mtu. Hawawezi pata muda huu wa kuwaza. Wataishia kutukana tu

1. Peopleeeeeeeeeeeee's ! Power.

2. Kidumu chama cha mapinduzi! Kidumuuuuuuuu.
 
Nakumbuka palikuwepo na uchunguzi wa jeshi la polisi kuhusu hilo tukio, polisi wakatoa waliyoiita ripoti ya awali wakimshutumu Mbowe, then wakatuahidi watakuja na ripoti ya pili yakufungia mjadala.

Baada ya hapo ndio kimya, sikuwahi kuiona wala kuisoma popote hiyo ripoti ya pili toka jeshi la polisi.

Nadhani Chadema baada ya kusubiri muda mrefu, wangeamua sasa waje na ushahidi wao kumaliza hii kadhia, au labda wameona haina umuhimu tena, sasa hivi tunajenga nchi chini ya awamu mpya isiyotaka mambo ya kupigana na kutenguana miguu.
 
Hivi mpaka leo hamjajua tu kuwa waliompiga ni wale vijana wa Swaswa Kundi lake Silinde wakishirikiana na Lijualikali? Acheni kujifanya hamjui hilo!

Oooooh....ushahidi ni nini? Kuna kesi gani ilifunguliwa? Kama Silinde tu na Likuakali wanaweza mwadhibu Mbowe hii inaonesha kuna udhaifu mkubwa sana. Siyo kidogo.

Mbowe na CHADEMA ni dhaifu sana. Kitu ambacho ni hatari. Mimi tu silinde au likuakali hawezi tuma vibaka waje wanisumbue.watapata shida sana. Sasa Mbowe maana yake hana Ulinzi?
 
Nafikiri kwa tukio lile Mbowe mwenyewe hakutaka kulichukua kupata political mileage ndiyo maana alikaa kimya kwa sababu anajua sababu ya kweli juu ya tukio ingemletea aibu kama kiongozi mkubwa. Vijana wa mitandaoni ndiyo walikuwa wanalipa sura nyingine.

Nafikiri kosa jingine kwa Mbowe ni kutokuwa na mlinzi kwa nyakati zile tena ukijua kabisa 'kichwa kimechangamka'
 
Chadema kimeundwa na kundi la wachumia tumbo, waongo na wahuni. Kama viongozi wa juu kabisa wa chama kama vile Mbowe, Lisu, mch Msigwa ni waongo wa kishamba hivi, je utawezaje kuwaamini viongozi wao wa chini kama kina Yericho Nyerere na wengineo?

Hawa jamaa wanasiasa za kipuuzi na kijinga sana. Kwa bahati nzuri wanafanikiwaga kuwadanganya wajinga ambao hawana upeo na siasa. Sisi wengine toka miaka 90 tunafatilia siasa ndio maana mtu akivunjika mguu kwenye vijiwe vya gongo na kuja kuipakazia serikali hatukubaliani nae.


images (12).jpeg


images (11).jpeg


images (10).jpeg


images (8).jpeg


images (7).jpeg


images (7).jpeg
 
Watu wengine ni wajinga hakuna mfano, ulevi wa mbowe utufanye tujadili upumbavu wako, mbowe ni levi lile siku ile aliupiga mwingi akashindwa kujitambua matokeo yake ni ajali ya kuvunjika mguu, anakuja kuaminisha wapumbavu eti kapigwa, alipigwa na konyagi yule
 
Watu wengine ni wajinga hakuna mfano, ulevi wa mbowe utufanye tujadili upumbavu wako, mbowe ni levi lile siku ile aliupiga mwingi akashindwa kujitambua matokeo yake ni ajali ya kuvunjika mguu, anakuja kuaminisha wapumbavu eti kapigwa, alipigwa na konyagi yule
Wewe ni baamedi kwenye bar aliyolewea?
 
Mbowe alianguka baada ya aidha kulewa au kufarakana na Joyce Mukya, siasa zilichomekwa tu ili kuua soo.

Hata Mkapa aliwahi kupigana na mke wake Ikulu, asubuhi wananchi wakashangaa Rais ana PoP.

Wakati wa Magu, Janet alilazwa Muhimbili hivyo hatujui aidha aliugua kweli au alipigwa.

Wanasiasa ni wasenge
 
Back
Top Bottom