Kwanini nasema hivyo? Kwa sababu hakuna mtu ataenda kununua vocha ya Tsh. 1000 dukani wakati anajua kabisa atakatwa kiasi cha Tsh. 100 au zaidi wakati huohuo hakuna kifurushi cha sh 900.
Hayo...
Obama alikuwa anatoa hotuba kuhusu Uhamiaji huko California 2013,vijana 2 wakaingilia hotuba yake na kuanza kupiga kelele kwa kukosoa.Watu wa usalama wakata kwenda kuwatoa lakini Obama...
Friends and Enemies,
Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu sana nchi hii tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa...
Wakuu jana kuna maongezi ya simu yamevuja kati ya mbunge wa Arusha, M. Lema na moja ya wajumbe wa kamati kuu wakim mock Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Tundu Lissu
Lema ni mtu wa karibu sana...
Na Mwandishi Wetu,
Kaskazini Unguja.
Ndugu wana habari.
Mtakumbuka wiki ya Jana Sekreterieti mpya ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa ilizuru kikazi hapa Zanzibar pamoja na kufanya kazi nyingine za...
Binafsi nilifarijika sana uwepo wa Marais Wastaafu Kwani ni TUNU kwa RAIS aliyopo madarakani na wananchi kwa Ujumla.
Binafsi niliamini Marais Wastaafu hao ndio watakuwa mstari wa Mbele...
Habari zenu
Binafsi nimefurahishwa sana na kitendo cha Serikali kuamua kujenga sanamu ya Magufuli katika viwanja vya sabasaba.Hivyo ninashauri isiishie hapo tu bali sanamu hizo zijengwe maeneo...
Wakili Peter Kibatala ameweka wazi nini maana ya mtu kusimama na anachokiamini:
Wako wapi kina Kabudi na kina Pole pole wa tume ya Warioba? Yuko wapi Bashiru wa kabla ya kuteuliwa?
Uzalendo wa...
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu anaendelea na ziara jimboni ambapo Leo amekutana na Viongozi wa dini za Kiislam na kikristo zaidi ya 40 wa Kata ya Puma.
Viongozi hao...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema wana mpango wa kuondokana na mtandao wa 2G ambao unatumika kufikia mawasiliano kwenye simu za tochi
Amesema wanataka kuwa na Mtandao wa...
Niliandika kama mara 4 hivi kuhusu COVID-19 sasa wanaiita Delta Variant. Nikaandika kiufupi tu kuwa hatuishi kwenye dunia ya peke yetu, nikaendelea kuhusu ugonjwa huu kuingia nchini kutoka Uganda...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewaonya Watanzania wenye tabia za kuwasajilia laini watu wengine kwa kutumia vitambulisho vyao vya Taifa (Nida) kwamba, watakapotumia laini zao kukopa na kushindwa...
Kwa nijuavyo mimi siasa ni mchezo wa kusoma vizuri alama za nyakati, tangu wanasiasa wakomavu hata wachanga hutafuta mambo mazito na magumu anayokabiliana nayo mwananchi siku kwa siku.
Hayo...
Chanzo kimoja kutoka huko nchini Haiti moja ya sababu ya Assassination hiyo ni Kitendo cha Rais huyo Kutengeneza Makundi kuanzia katika Chama chake, Idara yake ya Usalama wa Taifa, Jeshini na pia...
RAIS Samia. Morogoro tunashida hizi;
KIWANDA CHA MAZAVA KUFUNGWA
Kiwanda hiki kilikuwa kinatengeneza nguo(jezi), kiliajiri zaidi ya watu elfu kumi(10000)
Kwa sasa kimefungwa kwa kile...
Sijui Kama huwa unaingia na humu JF, ila nahisi huwa unaingia pia,mengi yamesemwa Tangu ulipoapishwa na kuwa Rais wa kwanza mwanamke kuiongoza Tanzania.
Je?! Una habari kuwa kuna kundi kubwa mno...
Wakuu , Tunaomba radhi sana kutokana na usumbufu wa Taarifa zetu nyingi sana kuhusiana na Operesheni haki , mtusamehe sana , hatuna namna ya kufanya zaidi ya kuwahabarisha jambo hili muhimu.
Leo...
Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na...
Udhalilishaji na Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa katika nchi yetu, sote tunawajibu wa kuwafichua wadhalilishaji. Natoa maagizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini yoyote atakae kamatwa kwa kosa la...
SABAYA FOR CHANGE (S4C)
Another day, better than Yesterday. Katika simu na jumbe nyingi nilizopokea swali lililojirudia mara nyingi ni "Iwapo Sabaya anashtakiwa na Serikali, je nyinyi mliosimama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.