Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimetoa mada "Rais Samia Suluhu Hassan, alama ya mwisho ya anguko la utawala wa siasa za CCM Tanzania...." Wengi hawajanielewa na kusema it's a delusional.... Dunia hii ina historia pevu sana...
23 Reactions
65 Replies
5K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amewasimamisha kazi Wakurugenzi wote wa Halmashauri za Wilaya za Unguja, baadhi ya Wakurugenzi wa Taasisi na Idara za...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania Anthony Mtaka ameagiza magari ya abiria yanayofanya na kuanzia safari zake mkoani hapo kutosimamisha abiria ikiwa ni hatua ya kupambana na corona. Mtaka...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Hili ni tatizo ambalo naona linazidi kukomaa, siasa za wanaharakati wa sasa iwe chama tawala ama wenye mirengo ya upinzani, wamekuwa ni watu wenye hoja za ku attack personality zaidi na kukosoa...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Hizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning. Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo? Sasa Rais anasema ziendeleeee. Swali ni kazi zipi na...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Ni kiongozi wa Jeshi Polisi aliyekosa weledi na asiye na uwezo wa kuona chanzo cha matatizo ya uchaguzi, intelijensia yake ni sifuri kabisa. Pamoja na kufahamika wazi kabisa kwamba chanzo cha...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Na Mwandishi Wetu, Mbozi-Songwe. Chama Cha Mapinduzi kimesema kwa hali inavyokwenda nchini kunataka kujengeka tabia ya kuonekana kuwa dawa na maji safi kwa wananchi ni suala la anasa wakati ni...
2 Reactions
8 Replies
759 Views
Kwenye maisha Kuna mambo mengi Sana Tunayapitia yakufuraisha na kuhuzunisha Katika Maisha yangu nimejifunza kua Kuna Mengi Bado ya kujifunza na pia nimejifunza kua changamoto Hua nyingi kuliko...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Sasa ni muda mwafaka Wazanzibar kuamua kuwa koloni la Tanganyika au walete Katiba ya Warioba yenye msingi wa Serikali 3 Mmekuwa mnalalamika kuwa Tanzania bara ndo Tanzania na Zanzibar imefanywa...
1 Reactions
2 Replies
790 Views
MAFISADI WA ELIMU Jana nilikinunua kijarida kilichoandikwa na Ndugu Msemakweli ambacho kina orodha ya majina baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri, Wakuu wa Mkoa na Wabunge ambao inadaiwa wana vyeti...
0 Reactions
64 Replies
8K Views
Leo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema...
26 Reactions
77 Replies
5K Views
Najua bado itatuchukua muda sana kwa watunga sera kulielewa hili suala, maana ni suala la kifalsafa zaidi. Fikiria kama ungekuwa na huduma ya Fire ambayo ni ya binafsi, ambao wana kandarasi ya...
13 Reactions
51 Replies
4K Views
Kama kuna kundi linajifanya lina uchungu na nchi hii zaidi ya makundi mengine ni wabunge. Wabunge wamekuwa wakijinafsi kuwa wako bungeni kuwapigania wananchi tena eti wanyonge na serikali kwa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Wakati umefika sasa baadhi ya viongozi wamemweleza Mbowe aache kuhadaa makamanda "kukubaliana na njaa, kuendesha chama kwa hela zao" ilihali yeye anatumia rasilimali za chama...
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Nawasalimu ninyi nyote kwa jina la katiba mpya.Watanzania na Wasiowatanzania sote kwa sauti moja tunapaswa kuungana na kudai katiba mpya.Bila katiba mpya tutaendelea kuishi Tanzania kwa hisani ya...
2 Reactions
3 Replies
884 Views
Naam wanajamvi, Naibu waziri wa afya, wazee jinsia na watoto leo hii alifika Hospital ya mkoa wa Arusha Mount Meru, Dkt Mollel alikuta ripoti ya juu ya wagonjwa arobain na wanne (44) ambao...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Tunaoweka kumbukumbu sawa kwenye hii Video. Tunakumbuka hizi kauli zikitoka timu ya kampeni ya Hayati JPM, zikiongozwa na Nape Moses Nnauye na Abdulrahman Kinana chini ya mwamvuli wa Afya na uhai...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika mapambano ya Ufisadi nchini Ufisadi wa Elimu ulikuwa haujulikani kama nao ni ufisadi hadi alipoibuka mpambanaji huyu na kutanua maana ya ufisadi katika kimo, urefu na upana wake. Kama...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina la CCM Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba nasisitiza hakuna hoja inayotamkwa bungeni kwa bahati mbaya. Mbunge akisimama na kuanza kuzungumza tukubali kwamba...
1 Reactions
2 Replies
657 Views
Mhe. David Silinde, Mwaka 2020 ulijivua Uanachama ukiwa bungeni nakisha kuhamia chama kingine nakuendelea na ubunge kinyume na Sheria huku ukijuwa kabisa ni kosa kisheria. Nguvu ya dola...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom